Mkurugenzi wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Moses Mwasaga wakati akifanya mahojiano na kituo cha redio cha Mjini FM ameeleza kuwa moja ya hasara kubwa za habari potofu kwenye taifa ni kusababisha maandamano na taharuki katika jamii.
Sasa najiuliza kwa nchi nyingine ambazo zimefanya maandamano na...