maandamano tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Hellen Kijo Bisimba: Serikali inaogopa maandamano na maandamano ndiyo njia pekee iliyobaki kuishinikiza serikali

    Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Dkt. Hellen Kijo Bisimba amesema "Kwa uzoefu wa Tanzania, serikali huwa na hofu kubwa dhidi ya maandamano na maandamano ndiyo njia pekee iliyobaki kuishinikiza serikali"
  2. W

    PostGE2025 Dorkas: Unasema kwanini wazazi hawakuzuia watoto wao, utawaambia mtoto wako asiingie kwenye maandamano wakati ndiyo watawala wa kesho?

    Dorkasi ameeleza kuwa utawazuiaje watoto ambao ni watu wazima tayari wenye miji yao kuwa wasiandamane wakati wao ndiyo watawala wa kesho, ameeleza hii kufuatia hoja iliyotolewa mbele ya wazee wa jiji la Dar es salaam kuwa kwanini hawakuwazuia watoto wao wasishiriki kwenye maandamano. "Unafikiri...
  3. N

    PostGE2025 Mwigulu propaganda zako tumezikataa, watanzania wa leo si wajinga kama unavyofikiria

    Cheki hii orodha iliyotolewa na Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu idadi ya vitu vilivyochomwa moto wakati wa Maandamano ya Oktoba 29, 2025. 1. Ofisi za Serikali 756 2. Vituo vya mwendokasi 26 3. Vituo vya Polisi 159 4. Vituo vya mafuta 672 5. Magari Binafsi 1642 6. Pikipiki binafsi 2268 7...
  4. Think2

    PostGE2025 Mtoto mdogo kama huyu anapigwa risasi, mmeondoa uhai wake kikatili sana

    Huenda shetani ndie binadamu mwenyewe haiwezekani kuua watoto wadogo kwa risasi sasa huyu mtoto kosa lake nini lbd? Afu kuna watu wanashabikia hii serikali ya wauaji. Samuya kaa ukijua auaye kwa upanga hufa kwa upanga pia R.i.p dunia haina huruma najua nafsi Inalia huku ahela wanadamu...
  5. Heparin

    PostGE2025 Ama kweli hii Serikali ni sikio la kufa. Kwanini bado mnawinda vijana usiku wa manane?

    Hali bado ni tete mtaani. Polisi wakishirikiana na wajumbe wa Serikali za Mitaa wanawinda watu, hasa vijana wa kiume, usiku wakiwa wamelala. Mbaya zaidi wanabeba kila mtu bila kujali lolote, na ole wako wakukute na jeraha lolote cha moto utakiona. Vijana hawa wakichukuliwa hawaonekani kwenye...
  6. Mto wa mbu

    Habili ni nani? Je, anaishi Kawe kweli? Kuingilia mifumo ya ulinzi ya nchi mbona ni hatari kwa Taifa

    Daa Tanzania will never be the same again. Uko TikTok Kuna jamaa anajiita Habi, huyu mtu ana kiswahili Fulani hivi Cha kimagaribi. Jamaa ana confidence hatari saana lakini pia anaonekana ana buck up si ya kitoto. Mtu huyu anasema anaishi kawe-Dar es salaam, ametamba kuingilia mifumo ya ulinzi...
  7. Heparin

    PostGE2025 TEC: Maandamano yaliyotokea nchini chanzo ni ukosefu wa demokrasia ya kweli na usalama, wasiojulikana, utekaji pamoja na kupotea na kuumizwa kwa watu

    Baraza la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 imeliingiza Taifa katika hali ya maandamano yaliyozaa vifo, watu kujeruhiwa, kupotea na uharibifu wa mali, hali ambayo imepelekea Taifa kuwa kwenye masononeko, na maumivu kwani wapo walioawa na kuumizwa...
  8. Busu la Kenge

    PostGE2025 Mzee maarufu muuza pilau Buguruni naye aliuawa kikakitili siku ya maandamano

    Kuna mzee maarufu Buguruni maarufu kwa kuuza pilau toka miaka mingi ya nyuma aliuawa kikatili kwa kupigwa risasi na kupoteza maisha siku ya maandamano. Wazee wa kiislamu maeneo ya hapo Buguruni wamesema wanajiandaa kusoma albadili ya hatarii. Source: club house
  9. Abraham Lincolnn

    Ni vigumu CDF, IGP na wote walio katika mfumo wa ulaji kuharibu ugali wao kisa kusimamia haki na amani ya kweli kwa watanzania

    Mtu ameteuliwa siku si nyingi kuwa CDF au IGP au afisa Mkubwa serikalini, Amepatiwa nyumba za kifahari magari ya kifahari posho na mshahara mnono, leo hii umwambie hiyo system uliyopo ni corrupt na matendo yake ni kinyume na Katiba, Haki na Utu wa Mtanzania. Nakuhakikishia mtu huyo atatafuta...
  10. M

    PostGE2025 Tanzania si salama tena, intelijensia imelala usingizi wa pono; Inawezekanaje mamia ya vijana kutoka nchi jirani kuingia nchini kufanya maandamano?

    Kwa miaka mingi Tanzania imejivunia kuwa nchi tulivu na yenye amani barani Afrika. Hata hivyo, mjadala mpya kuhusu usalama wa taifa umeibuka kufuatia kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyosema kuwa baadhi ya vijana walioshiriki maandamano nchini walitoka nchi jirani. Kauli hiyo imezua maswali...
  11. Carlos The Jackal

    GE2025 Kuna Matukio ya Utekaji yanaendelea, Watekaji wanapitia Video Clips za Maandamano na kuwatafuta watu Mtaani. Vijana kuweni tayari kwa lolote!

    Sikio la Kufa halisikii Dawa !!. Hawa Wapumbavu wanadhani Mbinu zao zitawasaidia , Hawajui, hawajui kua mambo yamebadilika sana. Kwani Vijana ,situmekufa?? Situmeuliwa ?. Hata hili pia Muwe nalo tayari, Msigopeshwe, msirudi Nyuma!!. Njia tuloichagua ,ndio njia sahihi, Lazima tupambane...
  12. Genius Man

    Day 3: Tunaelekea Ikulu. Jamani njooni, njia ni nyeupe na tupo wa kutosha hakuna wa kutuzuia. Chakula kitakuwepo

    Mlio dar maelfu ya wananchi wanaelekea kuchukua Ikulu yao jitokezeni kwa wingi tuchukue nyumba yetu kwa mafisadi.
  13. Mzee Mwanakijiji

    GE2025 Wito wa mwisho: Askari Polisi msitolewe kafara… Wekeni Silaha zenu chini

    Wananchi wana hasira nyingi na nyinyi mnachukuliwa kama alama ya uovu wa serikali. Wengi wenu ni vijana wadogo mnaopewa maelekezo na maafande na mnafuata. Mna nafasi moja tu..tu ajua wapo askari wengi wazuri lakini hatuwajui ni kina nani hadi watakapoweka silaha chini. Nawaita wekeni silaha...
  14. R

    GE2025 Watangazaji radio47 Kenya: Watanzania mkienda kuandamana mkumbuke Polisi wenu hawana huruma kama Kenya, Muacheni Samia amalize muda wake

    Wakuu, Huyu mbona kama kalipwa afanye promo, nakataa hii siyo akili ya Kenya ------------- Watangazaji wa kipindi cha Maaskani cha Radio47 nchini Kenya, Billy Miya na Mbaruk Mwalimu, walitoa onyo kwa wananchi wa Tanzania wanaotaka kuandamana, wakikumbusha kuwa Polisi wa Tanzania hawana huruma...
  15. Matovu Godfrey

    GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

    Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju. Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake kwa hivyo...
  16. ngara23

    Magomeni: Vurugu zazuka, ofisi ya mabasi ya mwendo kasi yavamiwa na kupelekea kuvunjwa vioo

    Kutokana na kero ya usafiri na uhaba wa mabasi ya mwendo kasi, wananchi wenye hasira kali wamevamia ofsi za tiketi na mabasi ya mwendo kasi na kuanza kupasua vioo na kuumiza wafanyakazi wa kampuni hiyo. Fujo zimezuka usiku huu, polisi Bado hawajafika Wanasiasa endeleeni kujidanganya ati...
  17. Genius Man

    GE2025 Je, askari laki 2 wanawazeje kuzuia maandamano nchi nzima kwa pamoja na kwenye vituo vya kupigia kura nani atalinda

    Je, askari laki 2 wanawazeje kuzuia maandamano nchi nzima watakuwa kwenye vituo vya kupigia kura na barabarani nchi nzima kwa idadi hiyo ? Sasa inamaana wananchi watawaogopa askari wawili watatu barabarani au kuruhusu mmoja wao apigwe au kukamatwa, kumbuka maandamano sio kosa la jinai...
  18. Mashamba Makubwa Nalima

    Kumbe TikTok sio ya kinyonge, sikutegemea itakuwa ya kiharakati namna ile

    wamenishangaza, sikutegemea, nilijua content zao ni za SOFT life na udaku pekee, wamenifurahisha. Kumbe vijana mnapenda HAKI, kumbe vijana unapenda DEMOKRASIA, basi mmetisha. Hakuna ubaya kuwa na mizuka na mambo mengine, ila kupotezea kabisa mambo ya nchi na maisha yako ni upumbavu zaidi na...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    PreGE2025 Matukio yanayoongoza wakati huu ni utekaji, mauaji, teuzi, maandamano na kesi. Je, nini kinafuata?

    Kwema Wakuu! Pattern za Kisiasa Mwaka huu kuelekea uchaguzi zimekaa kiajabu sana. Katika intelejensia patterns hizo zinaweza kuonyesha lengo au matokeo yanaweza kuwa kitu gàni. Kwa siasa za Miaka ya hivi karibuni yàani miaka kumi hii patterns hizo zinafanana kwa kiasi fulani. Ukiangalia miaka...
  20. W

    Suala la maandamano tuwaachie wakenya pekee, maandamano ya Uganda yameshatulizwa, Maandamano Tanzania hatuna muda nayo

    Nimeona na vijana wa Uganda wametaka kuwaiga wenzao wa Kenya, kwa video kadhaa nilizoziona zinaonesha wazi vijana bado wana uoga sana, kitendo cha kuwaona tu polisi ni nduki !! wachache sana wana ujasiri. Kwa Tanzania suala la mandamano halina kipaumbele kabisa, Vijana bado ni waoga, wengi...
Back
Top Bottom