Mpo salama bila shaka.
Inapotokea migomo ya nyakati hizi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ni muhimu kuiendea kwa umakini.
Wanasiasa wanaelewa nazungumzia nini.
Watatuzi wa migomo lazima wawe na ujuzi, uwezo na hekima za kuongea mbele za Watu.
Sio unachagua mtu asiye na...
Kila mtu anajifanya kulalamika ooh watanzania waoga.
Ooh watanzania hawajielewi.
Ooh watanzania hawajui haki zao.
Sababu tumeona Kenya vijana wanaandamana.
Lakini hapa Tanzania Rais ameruhusu watu kuandamana, nyinyi mnaolalamika kuhusu watanzania nini kinawazuia kuanzisha hayo maandamano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.