maandamano oktoba 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jinsi comedy inavyotumika kufikisha ujumbe wakati huu wa Uchaguzi. Ukishindwa kote hapa huwezi kukwama kuelewa

    Wakuu, Hapa hata kama unakuwa huelewi matamko makubwa makubwa, sijui maandiko marefu, hapa unaelewa! Ujumbe unafikishwa kama utani lakini ndio umefika hivyo, na unakaa akilini vizuri. Kama wanavyotumia sanaa kuhamasisha watu kuachana na maandamano, amani bila haki, na propaganda za kipuuzi...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Simba SC wamesaidia kusambaza taarifa ya Maandamano na MO 29 ikimaanisha Maandamano Oktoba 29. Hutaki kula jiwe!

    Wakuu, Kwani jamaa kasema uongo hapa Wakuu? Jezi za Simba zilizoandikwa MO 29 maana yake ni M - Maandamano O - October 29 - Hii haitaji hata tafsiri inajieleza, siku ya tar 29 ndio yenyewe! Simba wameupiga mwingi kuhakikisha Watanzania hata wa Nanjilinji wanapata taarifa kuhusu maandano...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nassibu Kitabu: Samia ni lulu, msitishike na kitu chochote dola ipo, mkapige Kura

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Jangwani, Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Nassibu Hassan Kitabu, ametoa wito kwa wananchi wa kata hiyo kutoogopa vitisho vinavyoenezwa na baadhi ya watu wanaopanga kuzuia Uchaguzi Mkuu kupitia maandamano. Akizungumza...
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ezra Chiwelesa: Kuandamana ni kuwanyima wengine Haki ya Kikatiba

    Mgombea Ubunge wa Biharamulo Mhandisi Ezra Chiwelesa amesema kuandamana siku ya kupiga kura ni kosa kisheria maana huko ni kuzuia uchaguzi na pia jambo hilo litafanya kuwanyima wengine haki ya Msingi ya Kupiga Kura.
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Albert Chalamila: Nimesoma mitandaoni kuhusu fujo Oktoba 29, ndugu zangu mji wenu uko salama

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kumekuwepo na baadhi ya maandiko mbalimbali mtandaoni kuwa Vijana na Makada wa Vyama vya siasa wanahamasisha maandamano siku ya Uchaguzi Mkuu Octoba 29, 2025 ambapo amewaonya wanaotaka kujaribu kufanya vitendo hivyo kwani hawatofanikiwa. Chalamila ameyasema...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkeka Oktoba 29: Nani atatamba na odds zake?

    Wakuu, Ikiwa zimebaki siku 15 Watanzania tuamue jinsi tutakavyosonga mbele, bado hakuna anayeweza kusema kwa 95% kuwa jambo fulani ndio litajiri. Wanaoingia kwenye uchaguzi hawana uhakika, kwa upande mwingine mwanga unaonekana ila bado pia kusema kwa for sure jambo litakuwa hivi. ile tar 29...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Bina: Wanaotaka kuandamana Oktoba 29, Samia usiwahuruhusu, walegezwe kidogo, ningepewa hata unaibu IGP ningewavunja asubuhi tu!

    Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Nchini (FEMATA), John Bina, amemwomba mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, kuchukua hatua dhidi ya watu wanaodaiwa kupanga maandamano Oktoba 29, 2025, siku ya Uchaguzi Mkuu. Bina ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 13...
  8. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mnaolitegemea Jeshi imekula kwenu!

    Wiki iliyopita nilileta mada kuhusu matumaini hewa waliyojipa watu kutokana na ile video ya mtu aliyejiita Kapteni Tesha. As time passes by, those sentiments will age like fine wine. On the contrary, the sentiments of those who ridiculed me, dismissed me, abused me, etc., are aging like...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Vijana tukalinde Amani, tusikubali kushawishiwa kuharibu Amani yetu

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni leo Oktoba 12, 2025, Runzewe, Mkoa wa Geita amesema; "Nchi inayoitwa JMT iko moja peke yake, na toka nchi hii imeundwa tumepigana vita moja tu na Idi Amin na kwasababu...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Regina Mikenze: Hatutaki kumpoteza kijana hata mmoja katika maandamano, tunawaomba mkaitunze amani ya Tanzania

    Mgombea ubunge viti maalum kupitia CCM, Regina Henry Mikenze, akiwa kwenye kampeni Bukombe, Geita, leo Oktoba 12, 2025, amesema: "Serikali ya Samia imewekeza sana kwa vijana; iwaje leo wakalipize kwa kufanya vurugu katika nchi. Naomba niongee na vijana Wanawake wa Mkoa wa Geita, tunawaomba...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji Victoria: Tutapata wapi sadaka mkiandamana? Sisi tunaishi kwa kula sadaka

    "Sisi Tunakula Sadaka, Maisha Yetu ni Sadaka” Mtumishi wa Mungu Mchungaji Victoria Joseph wa Life Center International Bible College pamoja na wengine wamesema kuwa wao kama viongozi wa dini, endapo amani itatoweka kutokana na kelele za mitandaoni, watakosa sadaka. Wakizungumza na waandishi wa...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wanatroti na kupasha misuli kila siku, wananchi tumeanza mazoezi?

    Wakuu, Safari hii polisi karibu kila siku wanaonekana barabarani wakifanya 'mazoezi' na kujiweka fiti, yote haya ni kujiandaa kukabiliana na wananchi watakaoandamana siku hiyo, pamoja na kuwatisha ofkoz, kuwa msisubutu kwani tutakuwepo barabarani kuwakabili. Wakati polisi wakiendelea na...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Toka Oktoba 1 hadi 9, 2025 wametekwa watu 13! Ni karibu watu wawili kila siku!

    Salam Wakuu, Hali imezidi kuwa mbaya nchini aisee! Yaani kila siku wanatekwa watu wawili, tumekuwa nchi ya ajabu sana! Na hawa ni wale wanaorekodiwa, halafu kuna wale ambao wanapotea kimyakimya taarifa hazifiki mtandaoni! Tuendelee kuchukua tahadhari na kujilinda huku tukikosoa yanayofanyika...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fanya hivi ili usidakwe kirahisi na 'wanamtandao' wanapokutafuta kupitia Instagram

    Wakuu, Jamaa kaelezea kwa lugha rahisi huku ukiwa unaona jinsi watu wanavyoweza kukudaka ukiwa umeachia sehemu ya location kutumika kwenye mtandao Instagram. Fuata maelekezo, jilinde. Mbali na hili, tofauti na biashara acha kupenda kupost maeneo unayopenda kutembelea au unapopoa mara kwa...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sasa polisi wataanza kuvaa kiraia kwenye Mwendokasi kama kwenye kesi ya CHADEMA kufuatilia nyendo za wananchi

    Wakuu, Mliona jinsi polisi walivyoanza kuvaa kiraia na kujaza nafasi kwenye kesi ya Lissu ili kuzuia wananchi na wanachama wa CHADEMA kuhudhuria kesi hiyo huku wakifuatilia kwa ukaribu mazungumzo ya wananchama hao? Mara tukaona na mpiga picha wa polisi akiwa na nguo kabisa za kipolisi...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uteuzi UDART: Pius Ng'ingo Mkurugenzi Mkuu, Waziri Kindamba atenguliwa. Said Tunda ateuliwa Mtendaji Mkuu, Dkt. Kihamia atenguliwa

    Wakuu, Wananchi mmeoana vile nguvu yenu inayoweza kufanya! Kidogo tu wametema bungo, Murilo anaongea kistaarabu kama anaongea na wananchi wa Tanzania😂🤣🤣. Raia hawakuogopa kitu jana, polisi hata baada ya kupiga risasi moja juu, walijua nini kinaenda kutokea baada ya raia kudinda, wameona...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi kushambulia mwendokasi media kubwa zote hadi TBC wameuchuna, waliopost wameepuka kuandika wananchi washambulia!

    Wakuu, Hii inashangaza! Chalamila alipoenda kutembelea mwendokasi jana Oktoba 1 asubuhi media zote zilipost,na uchawa wa kutosha kwenye maigizo na maagizo yaliyotolewa! Sawa, walitimiza wajibu wao, wananchi tukahabarika. Mambo yakageuka wananchi walipogomea mwendokasi na kufanya vurugu...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Magomeni: Vurugu zazuka, ofisi ya mabasi ya mwendo kasi yavamiwa na kupelekea kuvunjwa vioo

    Kutokana na kero ya usafiri na uhaba wa mabasi ya mwendo kasi, wananchi wenye hasira kali wamevamia ofsi za tiketi na mabasi ya mwendo kasi na kuanza kupasua vioo na kuumiza wafanyakazi wa kampuni hiyo. Fujo zimezuka usiku huu, polisi Bado hawajafika Wanasiasa endeleeni kujidanganya ati...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Media kupiga kelele raia kugomea maandamano, Serikali na CCM wamepaniki kuwa safari hii Watanzania wapo serious?

    Wakuu salam, Vuguvugu la maandamano lilianza miezi michache iliyopita baada ya CHADEMA kuja na kampeni ya "No Reforms, No Reforms" huku Lissu akisema watawashawishi watanzania waingie barabarani siku ya uchaguzi na kupinga uchaguzi huo kufanyika mpaka pale mabadiliko ya sheria na katiba...
  20. Criss

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa mara ya kwanza tarehe 29 Oktoba nitashiriki maandamano

    Mimi ni mwana CCM kiasili kwa maana ya kuwakuta wazazi wangu wakihudumu kama wanachama na viongozi wa Taifa langu kwa upande wa chama cha mapinduzi Binafsi nitajiona ninazo sababu nyingi ambazo kwa unyenyekevu wa ndani kabisa wa moyo wangu najiona nisiposhiriki kwenye maandamano ya October 29...
Back
Top Bottom