maandamano oktoba 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mliokuwa karibu na wanapozika au kuchoma miili ya watu kwa wingi tupate picha/video za ushahidi

    Maneno yaliyopo mtaani ni kuwa kinachoendelea sasa ni kuwa polisi wanazika watu makundi kwa makundi ili kufuta ushahidi kwa yaliyotekea - mass grave, na maeneo mengine wanachoma maiti. Na hili linathibitishwa zaidi maana watu wakienda hospitali kudai maiti zao-maitti hakuna! Yaani hospitgali...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 PICHA: Sura za wanaodaiwa ni Askari walioshiriki kuua maelfu ya Watanzania

    Hawa watu kwenye hizi picha ni Polisi na TISS. Hawa ndo walikuwa wanapita mitaani na kuwaminia risasi ndugu zetu, hawa watu wameuwa maelfu ya Watanzania. Ukizoom sura zao zinaonekana, umemtambua yeyote?
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya wananchi wakiwapelekea Polisi maiti ya waandamanaji waliopigwa risasi

    Baadhi ya wananchi wakiwapelekea Polisi maiti ya waandamanaji waliopigwa risasi wakati wa maandamano yaliyokuwa yakiendelea huku wakisema mmeua chukuweni.
  4. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya kuonyesha kilichojiri kwenye Uchaguzi 2025, chaneli ya Al-Jazeera yazuiwa (blocked) kwenye visimbuzi vya Tanzania

    Baada ya kuonekana Al Jazeera hawapepesi macho wala kuuma maneno, wameona waiondoe kwenye ving'amuzi vingi Tanzania ili watu walio Tanzania wasione video za kutisha. Kila siku Al Jazeera walikuwa wanaelezea na kuonyesha video za mauaji Tanzania.
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 LHRC: Tume huru ichunguze mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu Uchaguzi Mkuu 2025 na wahusika wawajibishwe

    TAARIFA KWA UMΜΑ Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Kimesikitishwa na matukio ya mauaji na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba mwaka 2025. Wakati Rais akiahidi maridhiano tunatoa wito wa kuundwa kwa Tume huru ya Kijaji kuchunguza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pumzika kwa amani Kelvin Lameck, mwandishi wa Baraka FM - Mbeya aliyeuawa akiwa kazini

    Huyu anaitwa Kelvin Lameck alikuwa mwandishi wa radio inaitwa Baraka FM. Ameuawa akiwa kazini kufuatilia maandamano wakati wa Uchaguzi. Kifo chake kimeacha simanzi kubwa miongoni mwa familia, marafiki, na wasikilizaji wake waliompenda kutokana na ucheshi na bidii yake kazini. Kelvin alikuwa...
  7. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania GE2025 Onyo kwa Serikali, Viongozi wake, na Chawa kilichotokea ni mfano ikiwa wananchi wataendelea kupuuzwa

    Nitoe onyo kwa serikali na viongozi wake wote bila kuwasahau machawa. Kilichotokea ni mwanzo na ni mfano. Hiyo ilikuwa kama zoezi tu; sasa mechi kamili inakuja ikiwa serikali itaendelea kuwapuuza wananchi. Kifuatacho kitakuwa hatari zaidi kwa sababu Watanzania wameishapata uzoefu wa maandamano...
  8. Piere. Fm

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Polisi Wanajihami na kile walichokifanya?

    Jamaa Leo wamewasha mtandao lakini pia zimeanza kutiririka meseji kutoka jeshi la Polisi la kuwaasa watu kuepuka kutuma picha au video mtandaoni zenye kuweza kuzua taharuki. Je, hii si ishara kuwa wanawatisha kisionekane kile Walichokifanya dhidi ya watanzania?
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuseme ukweli: Maandamano ya Uchaguzi ni vijana wetu siyo kutoka nje ya nchi

    Tuseme ukweli maandamano ya chaguzi ni vijana wetu na wala siyo wakutoka nje ya nchi. Hatuwezi kuishi maisha au kubadilika kama tunaficha ukweli ambao upo wazi. Ukificha moto moshi utakuumbua Alisema yametimia
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tarime, Mara: Wananchi wawaambia wanajeshi - Sisi tunakemea utekaji, tunataka Demokrasia

    Hii imetokea leo Oktoba 30, 2025 huko Tarime mkoani Mara Sikiliza, angalia:
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanza: Maandamano yanaendelea usiku huu (Oktoba 29, 2025)

    Awali ilikuwa hivi: Hali iko hivi:
  12. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna jaribio la kutumia Nguvu Kubwa usiku huu kuzima Maandamano

    Inahotajika hekima sana kutoka kwa watawala. Wasijaribu kutumia nguvu kubwa na kusababisha umwagikaji mkubwa wa damu kwa vijana Watanzania. Wajue wasije wakafika kwenye point of no return na majuto Endapo maandamano hayatazimwa usiku huu, Masaa 48 yajayo yatakuwa ya kukumbukwa!
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hongera JWTZ kwa ukomavu mliouonyesha kwenye maandamano leo!

    Hongera nyingi sana kwa askari wa JWTZ kwa ukomavu mliouonyesha kwenye maandamano ya wananchi, Mmeonyesha kweli ninyi ni Jeshi la wananchi wa Tanzania. Hongereni sana kwa kazi iliyotukuka wananchi wameona kazi yenu nzuri!
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dar: Maandamano yanaendelea usiku huu

    Vijana hawajalala, maelekezo ya IGP yamepuuzwa
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali ya mpito ya mwaka mmoja ni muhimu Tanzania

    Serikali ya mpito ya mwaka mmoja ni muhimu Tanzania. Jeshi litangaze kwamba hakuna tena serikali ya Samia na badala yake kuundwe serikali ya mpito kutoka kwa wadau wazalendo. Lengo ni kupata katiba ambayo ndiyo itatumika, team napendekeza hawa; 1. Dr Slaa 2. Warioba au Butiku 3. Anna Makinda...
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Namuona Tundu Lissu akiwa Rais wa Tanzania

    Hii siku nitafurahi kwa kulia machozi na ndiyo Tanzania itakapopata uhuru wake wa wa kweli. Mungu akiamua kitu hakuna wa kumpinga imebaki muda tu. Mungu nipe maisha marefu nikalishuhudie hili.
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi latangaza curfew (amri ya kutotoka nje) kuanzia Saa 12 jioni kwa wakazi wa Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi limesema kuanzia leo tarehe 29 mwisho wa watu kuwa nje ni saa 12 Jioni.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

    Leo Oktoba 29, 2025 Wanaingia katika zoezi la kupiga kura na kutimiza haki yao ya kikatiba kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais watakaoongoza kwa kipindi kingine cha miaka 5. Wakati hayo yanaendelea kuna kundi jingine lilipanga kufanya maandamano ya amani kwa kile kinachoelewa kupika mauaji, hali...
  19. JF Summary

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025: Matukio na taarifa Mubashara za Uchaguzi

    Utangulizi Oktoba 29, 2025 Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu katika mazingira yanayoelezwa kuwa yenye hali wasiwasi mkubwa na taharuki. Uchaguzi huu unakuja takriban mwaka mmoja baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, uliosababisha mijadala mikubwa kutokana na matukio ya...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbona mnatukatisha tamaa mapema hivi wakati ndio kwanza siku imeanza? Tulieni Polisi wapate surprise!

    Wakuu, Yaani asubuhi asubuhi mshasema maandamano yamefeli? Ndio kwanza siku imeanza mbona mnatukatia tamaa mapema hivi? Hamuamini kuwa wanannchi tunaweza kuleta mabadiliko wenyewe? VItuo si vinafunguliwa, tunaamka na kutoka na vitambulisho vyetu huko huko tunaungana barabarani, mlitaka watu...
Back
Top Bottom