maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nisipokula tungi huwa nakabwa na majinamizi ya kichawi. Ina maana tungi ni kiboko ya wachawi?

    Mwili huwa unatetemeka na kuwa kama unapigwa shoti. Huwa naota ndoto za ajabu na kupiga makelele. Lakini kama nipo matungileee huwa nalala vizuri asubuhi napiga mishe zangu tu.
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Kipanya ana maana gani hapa?

  3. JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali ya Awamu ya 6 tuiache ifanye kazi. Maana katika Mikutano yetu tutaikosoa Awamu ya 5

    Mpaka sasa hatuna cha kukosoa Serikali ya Awamu ya 6. Ndio maana ukija kwenye mikutano yetu tunaizungumzia zaidi serikali ya awamu ya 5 ambayo haipo. Hata kwenye Kampeni 2025 tutaiponda tutakuwa tunashindana na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo haipo kuliko ya Awamu ya 6 ambayo ipo. Sababu ya Awamu...
  4. JamiiForums Tanzania Tuliwaonya hawakusikia walipendwa wakadeka wanaaibika mwisho wa ubaya ni aibu! poleni Chadema hii ndio maana ya kufariki kwa chadema

    walijifanya wajuaji waliambiwa kuongelea na kusimamia misingi ya Kero za wananchi wakakengeuka wakawa hawaambiliki wakashupaza shingo wakafikiri wanapendwa ndugu zangu bora msingeomba maridhiano uchwara mnaaibika wananchi wa mwanza wana hasira na nyie hawataki kuwasikia uwanja mweupe hakuna mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Majibu kwa thread, "Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?"

    Miongoni mwa masuala ambayo wamishenari wa Kikristo wanayatumia kupinga Qur'ani Tukufu ni kifungu kifuatacho. "Wanakuuliza juu ya Zul-Qarnain. Sema nitakusomea khabari zake. Hakika sisi tuliuweka uwezo wake katika ardhi, na tukampa njia na njia za kila jambo. Njia moja (hiyo) akaifuata. Hata...
  6. JamiiForums Tanzania Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

    Quran inasema kwamba jua hutuama kwenye kisima ama dimbwi la matope kazito na asubuhi huamka. Mwenyezi Mungu Subhanahu Wa Ta'ala kwenye Quran kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring): “83-Na wanakuuliza khabari za...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi mwanamke akikuambukiza UTI si ina maana amechepuka?

    Baada ya kukutana nae tu, siku mbili mbele nikaanza jisikia ovyo, nimepima nimekutwa na UTI, na hapa si inamana nipime na UKIMWI? Hii sio ishara ya kuchepuka?
  8. JamiiForums Tanzania Vishkwambi sita kwa walimu zaidi ya 20, nini maana yake?

    Inawezekana ni kweli wana nia ya dhati kuwawezesha walimu katika TEHAMA, lakini kwa ugawaji huu haitasababisha mgawanyiko au upendeleo? Naona shule x leo wamegawiwa walimu watano na mkuu wa shule! Je, ni sawa?
  9. JamiiForums Tanzania Mke wa mtu akiwa Danga Ina maana anaitia nuksi familia yake na watoto

    Nisogee Moja Kwa moja kwa. Mada ya mke wa mtu anajua ana mume na watoto baba hatoi mahitaji mke anapata ks Danga inamaana pesa wanatokula Ina kisilani.
  10. JamiiForums Tanzania Ushawahi kuziona picha zisizo na caption, zenye maana chochezi?

    Wasalaam wandugu, Mwajionaje na Hali? Nyuzi hii ni kwa ajili ya picha ambazo hazina Caption au text yoyote kuielezea lakini zina ujumbe unachochea, kuvuta, kuelimisha, na Kutafakari. USISITE KUTIRIRISHA HAPA PICHA YOYOTE YENYE KUFANANA NA MRENGO WA Nyuzi KARIBUNI
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nini hasa maana ya utajiri?

    Wanajamvi nina wasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Nimekuwa nukijiuliza maswali mengi sana kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea katika taifa letu pendwa kabisa Tanzania, Je ni Taifa Tajiri au Maskini? Mzee wetu mmoja aliwahi kuulizwa kwanini Taifa lako Maskini? Alijibu hata...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumuita mtoto jina ambalo halina maana?

    Leo Nimemtembelea Dada yangu amejifungua mtoto wa kiume. Hila Jambo la kushangaza kampatia mtoto wake jina la Buluga, baada ya ku-google hili jina sijafanikiwa kujua maana yake then na Mama yake anadai hafahamu maana ya jina hilo. Je, ni sahihi kumptia mtoto wako jina Ambalo halina Maana...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Nitakuwepo hapa kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM kwa lengo la upotoshaji. Wapinzani jiandaeni maana nimejipanga vya kutosha

    Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara. Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani...
  14. M

    JamiiForums Tanzania China haina uwezo wa kustahimili vikwazo vya kiuchumi kama Urusi ilivyoweza kustahimili, ndio maana haina ubavu wa kuivamia Taiwan.

    Nchi za magharibi hazijaamini hadi sasa kuwa Urusi imeweza kuhimili vikwazo lukuki vya kiuchumi, kinyume chake nchi za magharibi hususan ulaya magharibi ndizo zilizoumia zaidi. Ilitegemewa kuwa urusi itashindwa kuhimili na hivyo kushindwa kuendesha vita vyake dhidi ya ukraine. Kwa upande...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wamekubali kujiita/kuitwa chawa? Je, wanajua maana na asili ya chawa?

    Kwa nimjuavyo chawa ni mdudu ambaye hukaa au kuishi kwenye mwili, nywele au nguo za kiumbe mchafu. Chawa hutokana na uchafu. Mtu mwenye chawa mara zote hujikuna na kukosa utulivu. Chawa husababisha ngozi kutokwa na vidonda/upele. Je, 'chawa' hawa wa wanasiasa au watu maarufu asili yake hasa ni...
  16. JamiiForums Tanzania Wizi wa haki miliki za sanaa (movies and series) kukithiri Tanzania (copyrights infringements) ina maana Serikali haioni??

    Hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa sana na uhalifu wa mtandaoni serikali ikishirikiana na jeshi la polisi, kwa pamoja wamechukua jitihada za wazi kupambana na tatizo hili. Lakini kuna tatizo sugu ambalo binafsi naona ni kosa kubla sana na serikali imelikalia kimya. Wizi wa haki miliki za sanaa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya mke wangu ina maana gani?

    Habari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na Mimi wakati huo nilikuwa nafanya kazi na shirika flani. Baada ya mahusiano kama ya Mwaka mmoja...
  18. JamiiForums Tanzania Afande Muliro kuwa askari isiwe sababu ya kuvua ubinadamu. Ina maana unajitoa fahamu juu ya vipigo vya polisi?

  19. JamiiForums Tanzania Miaka ya 30 ya vyama vingi, Ondoeni ruzuku tufanye mambo ya maana

    Katika kipindi cha miaka 30 ya vyama vingi, tumetumia mabilioni ya pesa za walipa kodi ili kusaidia vyama ambavyo vingine haviko tena mitaani. Vingine vipo kama maboya tu ya kupitishia ajenda za watawala. Kwa umri huu vyamna hivi vinatakiwa vijisimamie. Ni aibu kuendelea kuwa na wacheza siasa...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ndoto hii ya kuendesha vyombo vya moto?

    Habari waungwana naomba msaada kwa mwenye kuelewa maana ya ndoto hii mara nyingi nimekuwa nikiota naendesha vyombo vya moto kama vile gari ya abiria au pikipiki huku nimepakia abiria nyuma. Sometime naota narusha ndege angani yenye abiria wengi wakati huo sina experience yoyote na vyombo vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…