maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe urais wa TLS maana yake ni dictatorship kind of presidency.

    Nasikia watu wanasema kuw mwabukusi atakuwa moto as of TLS siyo taasisi bali mtu mmoja anaweza kuidrive tu akijisikia. Sasa kama.wana sheria ni madictator tutakimbilia wapi
  2. JamiiForums Tanzania Neno “Asante” ni dogo sana lakini lina maana kubwa sana

    Kiukweli kabisa kuna watu hawajui kusema Asante Jamani! Sijui ni kutokuridhika na hata kitu kidogo. Usiposema asante huwezi pata zaidi hata siku moja zaidi ya kupoteza. Mimi binafsi kuna nimempatia vitu vingi lakini ni kama anataka zaidi yani anaonyesha kuna kitu bado sijampa. Hiki kitu...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

    hi
  4. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kwa utekaji wa watoto mashuleni maana ishakuwa ni changamoto?

    Ndugu watanzani. Maoni yenu. Kikubwa nikuhakikisha kila mmoja wetu kuwa mzazi ukiona kitendo cha kutilia shaka Amka uchunguze usije kusema niliona kabeba gunia nikajua kabeba mzigo kumbe mtoto nooooo ukiona namna uelewi fatilia uelewe utoe msaada
  5. K

    JamiiForums Tanzania Pisi za maana Moshi

    Wadau huko njema hapa?? Hivi Moshi wapi kuna chimbo naweza pata pisi za viwango? Kama wanachuo .
  6. JamiiForums Tanzania Siku nikiajiriwa serikalini nitafurahi sana maana sio kitu kidogo

    Kwakuwa tupo katika nyakati ambazo ajira ni ngumu Kwa watu wa hali ya chini kama sisi hivyo sina budi kufurahia hiyo siku ambayo nitapata ajira serikalini Kukosa connection na watu wakitupambania imetufanya tuone kuwa vyeti vyetu ni vipande tu vya karatasi visivyo na thamani yoyote Just...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania GenZ wadhibitiwe vikali vinginevyo Kenya itadumaa na kusinyaa kiuchumi

    kadiri muda unavyokwenda wanagawanyika na kupingana wao kwa wao, wanapoteza malengo yao ya msingi waliyokua wakihitaji yazingatiwe na kufanyiwa kazi na Serikali. hivi sasa wanapoteza uelekeo kabisa kutoka maandamano ya amani hadi maandamano ya ghasia, uporaji na uharibifu.. kiufupi, madai mapya...
  8. JamiiForums Tanzania Nahisi ni baya mno na ndiyo maana Kakataa au Kakataa kwakuwa liko Vijijini kwa Washamba, ila lingekuwa liko Mjini angekubali haraka sana

    Rais Samia Suluhu Hassan amekataa daraja kuitwa jina lake, akisema ni vema liitwe Mama Maria, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, ikiwa ni sehemu ya zawadi ya kazi ya kupigania uhuru wa Tanzania. Awali, mbunge wa Kalambo, Josephat Kandege (CCM) alimuomba Rais Samia akubali daraja...
  9. JamiiForums Tanzania MORUWASA: Tuna upungufu wa uzalishaji maji kwa 49% ndio maana Morogoro kuna mgao

    Mkurugenzi wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira wa MORUWASA, Mhandisi Thomas Ngulika akielezea hali ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Morogoro amesema changamoto kubwa inayosababisha upungufu wa maji Mkoani hapo ni uzalishaji mdogo mbao hauendani na mahitaji husika Amesema “Mahitaji...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Maisha yanakosa maana pale ambapi hata kile kidogo kinachokupa furaha maishani kinaondoka

    Sometimes unajiuliza maisha yana maana gani? Aisee waliosema "It takes courage to love" hawakukosea. Nilikutana na huyu binti mzuri sana, zaidi ya sana mahala fulani hapa dar. Kuna kitu niliangusha akaniokotea na kuniita kisha akanipatia. Nikampa lift hadi karibu na anapokaa kisha nikachukua...
  11. JamiiForums Tanzania Msemo wa "D mbili" una maana gani?

    Watu wanaposema "kama huna D mbili" utanielewa huwa wana maana gani? Zamani nilikuwa naona pia humu JF watu wanakomenti sana DD kwenye nyuzi pia.
  12. JamiiForums Tanzania Ina maana hamjasikia kwamba Baleke amesaini Yanga?

    Au mnaleta dharau? Anyways " Engineer means business" Guede tulikupenda sana lakini ulikosea sana kudemand pesa nyingi mapema kiasi hicho.. Issue yako ilikuwa bado haija mature. Huu ulikuwa ndio Msimu wako wa kurpove kwamba unastahili kulipwa zaidi ya unavyo lipwa. We wish u all the...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa muelewe maana ya Demokkrasia kivitendo!

    Msigwa yule CHADEMA pyuaaa kahamia CCM! MTUKANE Msigwa, mlaani Msigwa, mwombee dua mbaya Msigwa , lakini naye kwa mazingira aliyokuwemo kaamua kutumia utashi na Demokrasia yake kuendeleza matakwa yake kivitendo. CHADEMA mpo?
  14. JamiiForums Tanzania Huyu mzungu ina maana ameiona Tanzania tu?

    Hii hali ipo dunia nzima kasoro mataaifa yao. Kwann Tanzania tu?
  15. JamiiForums Tanzania Wale tunaoangalia Mpira kupitia Dstv nadhani tunaona tofauti Kubwa sana kati ya Mechi ya maana Ujerumani Euro na Takataka nyingine mahala fulani

    Halafu bado utakuta kuna Mijitu kabisa inaacha Kuangalia Mechi ya Euro inayoendelea inatizama Takataka moja hivi.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli jamani. Hivi chadema wakipewa nchi itakuwaje? Maana msomi ni tundu lisu pekee. Baraza la mawazili itakuwaje?

    Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kujikuta unamka bila nguo wakati ulizivaa wakati wa kulala ina maana gani?!!

    Unaamka baada ya kulala fofofo unaziona boxer yako na t.shirt vileee pale! Hii ina maana gani wakuu mbona maisha yanakuwa magumu hivi?!!!!!!!!!
  18. JamiiForums Tanzania Askari Shahidi ashindwa kueleza maana ya Kahaba na Malaya katika Kesi ya Wanawake waliokamatwa Riverside wakidaiwa kujiuza

    Shahidi wa pili katika kesi ya ukahaba inayowakabili washtakiwa watano katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive, ameileza mahakama hiyo kuwa waliwakamata washtakiwa hao kwa tuhuma za ukahaba kutokana na viashiria vya aina ya mavazi waliyokuwa wameyavaa na muda na mahali walikokutwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe hatusajili kwa sasa kwakuwa Skauti wao Mkuu Simba SC anasajili Vyuma vya maana Kimya Kimya tofauti na Misimu iliyopita?

    Asante sana Poti wangu ( mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu ) Crescentius Magori ambaye nakukubali kama ambavyo nilikuwa nikimkubali Mapama ( Marehemu Zacharia Hanspoppe ) kwani nimeambiwa kuwa sasa Tajiri na Wewe mnamaliza Shughuli Juu kwa Juu na kimya kimya kwa Kusajili Vyuma huku waliokuwa...
  20. JamiiForums Tanzania KAMA UNATAKA KUJUA MAANA HALISI YA UZALENDO NA NCHI YAKO ANGALIA KWA WAKENYA

    Kiukweli ndani ya Africa mashariki na Kati hakuna nchi yenye wananchi wenye UZALENDO NA uchungu na nchi Yao kama wakenya. Hawa jamaa wamekunywa maji ya bendera sio poa, nchi nyingine MASKINI na zisizo na UZALENDO NA DEMOCRACY ya kweli zinanatakiwa ziangalie WAKENYA. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🔥🔥🔥
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…