maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mangungu na Tray Again ni dhaifu ndio maana wapinzani wetu wanawapenda

    Kwa sisi wazoefu wa football ya nchi hii tunajua kuwa, hizi timu mahasimu wawili simba na yanga zinahitaji kuwa na viongozi katili kweli kweli. Jiulize kwanini mahasimu wetu yanga linapokuja suala la mangungu wanamtetea kweli kweli? Jibu ni hili, dhaifu rahisi kuingilika. Jamaa ni mbobevu...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani za wanawake kutoa namba kwa wanaume kisha kuingia mitini (ku-ghost)?

    Wanawake ambao huwa wanatoa namba za simu kwa uchangamfu mkubwa tu baada ya kuombwa na wanaume kisha wakishaachana wanawapotezea (ghost) au kujifanya matawi huwa ni wapuuzi wakubwa sana. Kama huna mpango wa kuwasiliana na mwanaume hakuna haja ya kutoa namba ya simu.
  3. JamiiForums Tanzania Naona Paul Chacha kachangikiwa maana mateso waliofanyiwa akina Mbowe ni Makalii mno

    Ona huu unyama hao wapinzani waliopitia 1. Maalim seif alinyang'anywa uraisi na zecha .aliteswa sana na CCM machafuko ya 2001 2. Lipumba alipigwa hadi kuvunjwa mkono huko zanzibar 2001 na mhanga wa mauji hayo.na juzi kafanyiwa fitina akaporwa uenyekiti. 4.Dr slaa alipigwa na kuvunjwa mkono...
  4. JamiiForums Tanzania Heche kuendelea kuwepo ofisini licha ya kashifa za ubadhirifu wa mali za chama ni maana halisi ya Siasa biashara

    Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama. Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
  5. JamiiForums Tanzania Nini maana ya Kudadeki?

    Kubabeki Kudadeki Kudadadeki Haya maneno yana maana gani wakuu?
  6. JamiiForums Tanzania Nini maana ya shemu darling?

    Wengine sijui ndio umri au vipi, hizi lugha za mtaani zinaanza kutupita sasa. Rafiki wa girlfriend au mkeo akikuita shem darling anamaanisha nini. Hii shem darling ni jina, utani au code?
  7. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  8. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi pekee inayokimbiza mwenge kila mwaka duniani. Ndio maana kamwe haitofanikiwa licha ya utajiri wa rasilimali iliyonao

    Maendeleo ni matokeo ya kazi, bidii, maarifa na juhudi. Falsafa ya mwenge wa uhuru ni mazingaombwe na miujiza, eti mwenge unaleta amani. Mbaya zaidi miaka michache mbeleni ikaibuka vita vya Kagera, haukupelekwa mwenge kwenye uwanja wa mapambano, walipelekwa askari wetu, na wakafa kwa wingi huko...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Anadhalilisha “wasomi” wenzie; ndiyo maana ile ya PhD ya Urusi iligoma kukaa kichwani

    Haya ndiyo madhara ya Elimu mbalimbali; Mtu level za akina Bashite na Baba Levo lakini kutwa kuchwa kujikuta kukimbilia tu PhD pasipo kujua uzito wa hadhi hiyo kitaaluma. 🚮🚮🚮
  10. JamiiForums Tanzania Toa uthibitisho wowote kuwa wachina wanaroga na uchawi wao una mauza mauza ndio maana wamewashinda wale wachawi wakuu wa Kariakoo

    waafrika tunapenda kujitetea ili kufanya make up upumbavu wetu, kwa sababu unafanya ushirikina sasa unataka uhusishe na wengine ili usionekane fala. Mmezidiwa mamlaka, mmezidiwq akili, mmenunuliwa kwa pesa alafu mnataka kusema mchina ku-survive hapo kariakoo eti kwa sababu anachinja sana mbuzi😁...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Katibu Mkuu watu ni wachache, maana yake hujafanya mobilization?

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno ya Lissu Akilalamika na kumlalamikia Katibu Mkuu wake John Mnyika kuwa watu waliojitokeza ni wachache sana na kwamba inaonyesha hajafanya Hamasa ya kutosha ili watu waende kwa wingi kusikiliza kesi. Lissu ni lazima afahamu kuwa watu wana kazi zao na...
  12. JamiiForums Tanzania Nafurahia sana kula vyakula vilivyo chemshwa!!

    Kwa nini watu wengi wanaamini vyakula vilivyo tiwa viungo vingi na nakshi mbalimbali ndio vyakula vitamu hadi kufikia kumsifu mpishi kuwa anajua kupika??Je viungo ni vya lazima sana kwenye mapishi?mbona Mimi naona viungo vinapoteza ladha halisi ya chakula husika??na hapa ndipo ninapoona anaepika...
  13. JamiiForums Tanzania Angalieni umbo la hiki kiwanja, maana huyu mtu analia

    Amenunua hiki kiwanja kina sq merter 510 KIBAHA ila analalamika kwasababu ya umbo la kiwanja na bei aliyouziwa....yaan anaona kiwanja kimekaa umbo la pembe 3 hivyo hapafai au hapatoshi kujenga nyumba. Mfano wa hicho kiwanja kilivyo kaa ni hiki apa Hicho chenye umbo la pembe 3, kimeandikwa 510...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kama kosa kusema mutation ila lipo ndio maana unashangaa magonjwa yanaweza kufikia wanadamu.

    Mnavo angalia zile sinema mfano spider man,wolf na zengine zikiwaonesha wanadamu kuwa na mwingiliano wa viumbe ni ujumbe wanawapa mujiaandae. Leo kuku anaweza kukuambukiza magonjwa yake au mnyama wakati sio genetic yake. Kuna project ambazo ni za siri sana inasemekana genetic ya mwanadamu...
  15. JamiiForums Tanzania Walishatugundua tuna tabia ya kusahau na kunyamaza ndio maana ukiona unatishwa wanakuleza neno watasahau.

    Ni kwamba mfumo wa serikali ya CCM ulishajua kuwa hawa hata tukiwafanyia lolote baya wana wasahau tu na kunyamaza. Ndio maana leo wanafanya lolote watakalo wanajua kesho mtawafanya lolote sababu mtasahau.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya maridhiano nini kinafuata, uchaguzi unarudiwa au, Isije kuwa ni maridhiano ya kugawana vyeo maana kila baada ya uchaguzi maridhiano

    Kwa akili ya kawaida mnapokuwa na mgogoro mnatafuta sababu za mgogoro harafu ndo mnakubaliana kuutatua huo mgogoro , Hapo ili kupata suruhu huwa tunatafuta mtu watatu ambaye atakaa katikati kuhakikisha pande zote mbili zinaridhia yale yaliyojadiliwa na kuafikiwa yanatekelezwa. Kama sababu za...
  17. JamiiForums Tanzania Samia anataka MARIDHIANO ya Wakwe na Wakwe ndio maana hata mifano yake utamsikia 'Nyie wanangu', huwezi kuua Watu alafu utafute Suluhu nyepesiii

    Yaaan Maelefu ya Vijana wameuwawa Oktoba 29 . Lissu yupo Gerezani. Unaibananga CHADEMA . Utekaji, Mauaji ya wakosoaji . Alafu kirahisi kabisaa kabisaa, Samia anasema 'Marudhiani sio Udhaifu ', Tulidhiane wenyewe, Haina haja ya Kutoka Nje kutafuta msaada. Yaan as if zile Roho za Oktoba 29...
  18. JamiiForums Tanzania Huu picha ina maana kubwa sana kiroho, ama kweli hela ngumu

    Upindeeeee
  19. H

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kigaidi: Watanganyika Wameshuhudia Maana ya State Terrorism

    Natoa maana ya Serikali ya Kigaidi, ili kila mwenye akili timamu na mwenye uwezo wa kutafakari, aone, Serikali ya Tz inapungukiwa na nini ili kupata sifa ya kuitwa "Serikali ya Kigaidi": STATE TERRORISM: State terrorism refers to violent acts, threats, or intimidation committed by a government...
  20. JamiiForums Tanzania Semantic Shift katika Siasa: Je, Tunatawaliwa na Uhalisia au na Maana ya Maneno?

    "Ukitaka kuelewa siasa, usisikilize maneno pekee; angalia matokeo." Hii ni kanuni ambayo imejitokeza mara kwa mara katika historia ya siasa duniani. Katika sayansi ya siasa, kuna dhana inayojulikana kama semantic shift—yaani mabadiliko ya maana au matumizi ya maneno ili kubadilisha jinsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…