maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi ukimuomba namba akawa anajishauri kukupa ina maana gani?

    Ee, nimempatia simu aandike namba yake, akaishia kushtuka shtuka tu, mara ang'ate vidole, mara aangalie chini kushoto. Nikamwambia acha kanjanja, chora namba kwa simu hapo. Mara ooh, mi siwezi, mara ooh huna nia nzuri na mimi, mara oh ya kazi gani Nikamwambia kama hutaki nipatie simu yangu...
  2. JamiiForums Tanzania Mtatukuta kule una maana gani Dr stergomena tax.

    Hakuna mbunge wala waziri wa CCm ambaye hukasikia yupo na wananchi.wao ni kejeli na majigambo kama kikundi cha wenye kula keki ya taifa. Huyu naye anatumia VPN kupost alichokisema mtandao X
  3. JamiiForums Tanzania Vijana GenZ wa Kenya, hapa mavuka mpaka kwa maana zote mbili!

    Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa. Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani. Taasisi hiyo ni Open Society Foundation. Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa. Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nini Maana ya Kila Silaha Itakayofanyika Juu Yako Haitafanikiwa

    Nini Maana ya Kila Silaha Itakayofanyika Juu Yako Haitafanikiwa Neno la Mungu Katika Isaya 54:17, Neno la Mungu linasema, “kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa, na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana, na haki...
  5. JamiiForums Tanzania Aliyewaloga Watanzania awasamehe maana inatosha sasa!

    Shalom! Kama Kuna mtu amewaloga watanzania hasa wa tabaka la chini naomba awasamehe sana maana wanateseka sana. 1. Juzi baada ya kesi ya Lisu kuahirishwa watanzania wawili (mmoja Mzee mmoja kijana mwenye miaka35+) walianza kuangua kilio huku wakidai kuwa lisu anaonewa na anataabishwa sana...
  6. JamiiForums Tanzania Kibwana Shomary na Israeli Mwenda haya mmeshamaliza kumpiga Mwiba wa maana Yao Kwasi sasa nasubiria kuona kati yenu nani atampiga Mwiba mwenzake

    Watoto wa Morogoro mnaocheza Mpira mnaogopeka sana kwa Miba kutoka kwa yule Mtaalam wenu Mkuu wa Matombo.
  7. B

    JamiiForums Tanzania TRA VS TPDC

    wakuu wapi kuna asali maana jamii forum hakujawai kosekana jibu kati ya TPDC vs TRA
  8. JamiiForums Tanzania Nini maana ya bread politics

    Habari Nielezeni nini maana yake
  9. JamiiForums Tanzania Hawa ndio maana halisi ya "COUPLE YA NGUVU"

    Ngoja siku akijua mchepuko wa mmeo.
  10. JamiiForums Tanzania Mwenye kuelewa ina maana hii kesi ya lissu na polisi wamepata vifaa vyipya.

    Hapa kisutu mpaka askari magereza wamependeza kwa nguo mpya utazani sikukuu ya idd na xmass ilivyo.
  11. JamiiForums Tanzania Nimekutana na mwislamu ni kamsalimia 'Amani iwe nawe' ni kashangaa kakasirika. Ni kamwambia unajua maana As-salamu alaykum

    Ndo yale yale ukimtukana mtu kwa kingereza hawezi kukupiga ila mtukane kwa kiswahili. Watu wengi ndugu zangu waislamu kwa kwani lugha mnayotumia kwenye dini ikiwa kwa kiswahili mnaona kama dini ijakamilika au ?. Kwa Kiswahili, As-salamu alaykum tafsiri yake ni: “Amani iwe juu yako” au “Amani...
  12. JamiiForums Tanzania Nyash, Nyapu, Kisimi, Kushenyenta, Fimbo ya Musa, Mpododo, kichwa Cha pili hivi ni nani alileta haya maneno na kuyapa maana

    🤔🤔🤔Eti mdau tujuze?
  13. JamiiForums Tanzania Maana ya Pete ya Mvuvi "Fisherman's Ring" ya Papa Leo 14 Aliyopokea Aliposimikwa Rasmi leo

    Tunaposema Kanisa Katoliki ( hapa nitaita tu kwa ujumla kanisa) lina utaratibu wake haimaanishi ni taratibu zilioibuka tu. Wengi ambao siyo Wakatoliki au hata Wakatoliki "lukewarm" wanaweza kuyumbishwa na madai kwamba kanisa linafanya mambo nje ya Biblia, wakati si kweli hata kidogo. Kusema...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu cha maana hapa duniani kama kutafuta amani na Furaha yako!

    Mengine mengi ni upuuzi mtupu, muda wetu hapa duniani ni mfupi sana, jipiganie upate amani, Furaha, na vichache kwa ajili ya vijana wako kwa hapo baadae ispokuwa wape vijana elimu kweli maana ndiyo msaada wao mkubwa sana, mali zitapita, majumba yatapita, magari yatapita lakini uzao bora wenye...
  15. JamiiForums Tanzania Sijafanya kitu chochote cha maana katika maisha yangu na nina umri wa miaka 32. Je, hii ni kawaida?

    Hakuna kitu katika maisha kitakachobadilika hadi tubadilike sisi wenyewe. Kulaumu hali, watu wengine, au hata bahati mbaya kunaweza kuonekana kuwa sawa kwa sasa, lakini huku kunatuacha bila nguvu. Unapoelekeza kidole chako kwa mtu mwingine kama sababu, unampa udhibiti wa maisha yako kwa nguvu...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani, kwanini ulie wakati umetangaza mwenyewe kujivua uanachama

    NI kwamba ametapeliwa na wajanja. Wamekula pesa za madalali sasa wanalazimika kuzilipa kwa maumivu makubwa kwa lazima upende usipende. Ahadi alizoahidiwa hazijatimizwa au ni ngumu kutimizwa. Dhamira inamsuta kuwa anayotenda si kweli yanatoka moyoni. Fuko kakabidhiwa mtu mmoja (Jon) wengine...
  17. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona kiongozi wa maana mwenye akili anazurura na kibastola kiunoni

    Katika kufuatilia kwangu historia za watawala wa dunia hii sijawahi kukutana na kiongozi wa maana aliyewahi kuwa anazurura na bastola waziwazi kiunoni akawa na akili nzuri. Viongozi wote ninaowajua ambao wamekuwa wakizurura na bastola kiunoni nati zao za kichwa huwa zimilegea na huwa viongozi...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?

    Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga nyie Sasa ni...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tu !.Sio kwa ubaya ina maana wastaafu Polisi baada ya kufainikisha 2025 CCM inapita kwa haya mtakuwa na malipo makubwa au nafasi kubwa

    Sina ubaya na polisi wetu ila kuna wengine naona washapewa maziwa na asali. Haya ambayo hata mwano wa milambo tabora waliofukuzwa anaweza kukubari mzazi wake au ni pesa. Yani pesa mnazo zitaka,damu za watu pamoja kulinda wao ina maana juice ya pasheni inatakiwa kuwa na limao sana. Kwa dunia...
  20. JamiiForums Tanzania Heche: Golugwa aachiwe mara moja. Hakuna kosa alilofanya maana ana visa na ticket halali

    👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…