maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Pacoume Zouzou vs Mpanzu — Sasa basi, maana Pacoume ni bora kuliko Mpanzu

    Katika ulimwengu wa soka, mijadala ya nani ni bora kuliko mwenzake huwa haikwepeki. Kwa sasa, gumzo limekuwa kati ya wachezaji wawili mahiri: Pacoume Zouzou na Mpanzu. Wote ni wachezaji wenye vipaji, lakini katika makala hii tunachambua kwa undani sababu zinazomfanya Pacoume kuwa juu zaidi ya...
  2. D

    Inawezekana kweli tunaizidi Uchumi maana sisi tunaringa na Tausi wa Ikulu halafu wenzetu wana chuma chakavu hiki😄

    Kabla Jaji aliyekimbia kesi hajapokea maagizo mengine hebu tufanye tena tafakuri ya jambo hili.. Hivi hoja ya kuizidi Uchumi Marekani ilikuwa ni hoja iliyotokana na fikra timilifu za binadamu au zilitokana na wenyeji kumlisha mgeni maharage ya Simiyu yalioungwq na mafuta ya pamba? Au ni upepo...
  3. Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP mstaafu kuwa mkuu wa mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

    Ni kweli kwamba Kazi ni Kazi tu ili mradi mkono uende kinywani, lakini Je inawezekanaje aliyekuwa IGP akawe RC? Soma Pia: UTEUZI: Balozi Simon Sirro ateuliwa kuwa RC wa Kigoma, Kenan Kihongosi kuwa RC wa Arusha. TRC yapata Mkurugenzi Mpya Katika uteuzi ulifanyika Usiku huu Balozi Simon Sirro...
  4. Hivi kuwa boda boda mwisho umri gani nataka nikajribu upande huo maana hali tete

    Wadau msaada maana hali tete sikujipanga kimaisha naona naelemewa na maisha sasa naona kazi ya haraka ni boda boda Ila mimi umri umeenda sasa sijui naweza pambana uko
  5. G

    Ukweli Viongozi ni zao la wananchi maana wanatoka kwenye jamii , tatizo linaanzia kwenye jamii, mpe KIJANA wetu million 10 uone vipaumbele vyake!!

    Huo ndo ukweli mchungu , Viongozi ndo picha ya halisi ya JAMII husika Akili kubwa haiwezi kukubali kuongozwa na akili NDOGO Vipaumbele vya viongozi ni vipaumbele vya jamii husika Tunalaumu viongozi wanunua magari ya mabilioni kwenda kuzindua miradi ya mamilion au kutembelea wananchi wasio na...
  6. Upinzani Iran waanza maandalizi ya kupokea uongozi maana ni dhahiri Ayatollah atalazwa muda usio mrefu

    Wana mpango wa kuiweka nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia na kuondokana na uzombi wa dini ya muarabu... Reza Pahlavi, the eldest son of the last Shah of Iran and the former crown prince, said that plans are in place for a 100-day transitional period if the Islamic Republic regime falls in war...
  7. Nini maana ya rangi ya weather guard

    Rangi iliyoandikwa Weather Guard ni aina ya rangi maalum iliyotengenezwa kwa ajili ya kupaka sehemu za nje ya majengo, hasa kwa lengo la kulinda ukuta dhidi ya hali mbaya ya hewa kama vile mvua, jua kali, unyevu, na vumbi⁽¹⁾⁽²⁾. Hii rangi mara nyingi hutengenezwa kwa kutumia acrylic copolymer...
  8. L

    Katiba Mpya Siyo Kipaombele Cha Mamilioni ya Watanzania ndio Maana Ajenda Hiyo Haiungwi Mkono wala Kuzungumzwa Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza kuniita majina yote mabaya ,unaweza nitukana kwa matusi yoyote yale utakayo,unaweza niita lichawa au likupe ,unaweza nitemea hata mate,unaweza kunichukia kuliko hata shetani . Lakini pamoja na hayo yoote napenda kuwaambieni ukweli mchungu kabisa ambao pengine...
  9. R

    Lissu siyo mjinga kuamua kujitetea, nadhani Ina maana kubwa kisheria. Soma hii kutoka mtandaoni

    In Tanzania, the right to legal representation is enshrined in various laws and constitutional provisions, and the courts have emphasized its importance in ensuring a fair trial. Any denial of this right, especially if it prejudices the accused, can have serious legal consequences. Denying an...
  10. Baada ya sanamu ya Rage ninashauri sanamu ya Mangungu ijengwe pia, Mtu wa maana kabisa

    Au mnasemaje waungwana? Huyu mtu wa maana kabisa mpenda haki na amani. Tukutane JUNE 25
  11. C

    Kama serikali inaingilia mambo ya soka basi hili soka letu halina maana kabisa

    Nimesikitishwa kuona Rais anawaita viongozi wa Simba na Yanga ikulu. Niseme tu hizi timu zimejipa ukubwa wasiostahili. Ikitokea kwa akili yangu nikawa kiongozi wa nchi,siwezi kucheka na aina ya watu wanaotumia nguvu ya watu walio nyuma yao kufanya watakavyo. Nchi inatakiwa kupambana na mambo...
  12. Iran yajibu kwa drones, uwezo wa kutuma makombora umeshindikana maana walipigwa maeneo yote ya kutuma makombora

    Muda huu Iran imetuma drones zitakachokua masaa kufika, walipigwa maeneno yote ambayo walikua wanatumia kutuma yale magobore yao.....Wamebaki na nguvu ya kutuma vi-drones tu IDF Spokesman Effie Defrin on Friday morning told a press conference that Iran had launched over 100 drones toward Israel...
  13. Vijana Tuzitunze Afya Zetu Maana Ndiyo Mtaji Wetu , Nimejawa Na Msongo Wa Mawazo Mwenzenu

    Poleni na majukumu ndugu zanguni . Ni siku nyingine tena tunakaribia kuifunga Mwenyezi Mungu ametujalia kwa tuliobahatika kuiona na tunapoelekea kuifunga . Mimi ni kijana umri wangu miaka 30 , mpaka sasa nina watoto 02 kila mtoto na mama yake , mtoto kwanza ilikuwa enzi za ujana wangu...
  14. Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBATIK

    Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBA TUNATIKI ✅✅
  15. M

    Wajuzi wa lugha, naomba kujuzwa maana ya neno "Ponjoro"

    Kama kichwa kinavyosema, naombeni mnijuze maana au tafsiri ya neno hili kwani nimelisikia siku za karibuni na bado sijapata kujua lina maana gani.
  16. Ina maana tusiwakopeshe wazazi/walezi tazama hii video

    Video hapa chini Video hii inaonyesha kijana aliyemkopesha mama yake kiasi cha laki 5 na alipoenda kumdai, mama yake kiasi hicho ili arejeshewe, basi mama yake alianza kukumbusha mambo yake yote alivyokuwa akimuhudumia akiwa mdogo hadi kukua kwake. Kwahiyo hizi ndiyo tamaduni za wazazi wa...
  17. Wakili: Akina nyundo wanaona hawajatendewa haki ndio maana wamekata rufaa

    Wakili Meshack Ngamando, anayewatetea warufani wanne waliohukumiwa kifungo cha maisha jela, amefafanua kuwa rufaa yao inayoendelea katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma haitajumuisha ushahidi mpya. Badala yake, Ngamando amesema wao kama mawakili watetezi watajikita katika kueleza mapungufu...
  18. Hata baada ya hili sakata la "hatuchezi tunacheza" tusitarajie jipya la maana labda kama hiyo bodi itatoka mbinguni

    Ukiwasikiliza hata wanaotoa maoni ya kushauri nini kifanyike utawasikia wakisema Yanga ni kubwa Simba ni kubwa.Hapa tayari ndio mzizi mkuu wa tatizo. Kama Watu wana hofu kuwa Yanga wakipokwa pointi patachimbika ni nini litaleta utofauti huko siku za usoni iwapo moja ya timu hizi itafikia kupewa...
  19. Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

    Wanabodi Leo ni siku ya Jumapili,najitahidi siku za Jumapili,niwe naleta mada za holistic approach Huu ni uzi wa swali tuu, nimeona jinsi washabiki wa NRNE walivyo chachamaa kwenye mitandao ya kijamii,utadhani wametiwa ndimu!,mtu yoyote ukiposti chochote,wanakuja na NRNE sio tuu za...
  20. Nilitembea shule moja ya sekondari. Walimu wengine wanajiona wa maana kuliko wenzao.

    Milikuwa na appointment na mtu hapo shule. Nikapewa kitu na nikiwa nasubiri akatokea mwalimu wa ratiba. Mwalimu wa ratiba aliongozana na rundo la walimu wengine wakike. Walikuandama yule mbaba wa watu. Wanamuuliza maswali, ukiona wapi somo la hesabu likawekwa mwisho, akaja mwingine wa English...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…