Habari
Baada ya kuiona changamoto ambayo watu WENGI huipata wakiwa na uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi mbali mbali kama vile Japan China na marekani hususani kuhusu Bei za magari Kodi zake za tra na gharama zingine, nimeamua kuandaa Uzi huu makusud ili kuweza kusaidia wale wote WENYE...
Kwa kweli kwa wasiojua kuwa bandari bagamoyo ambayo itajengwa sambamba na eneo maalumu la kiuchumi la viwanda (economic zone).
Mradi huu utakuwa na manufaa makubwa sana kwa wakazi wote wa ukanda wa pwani yaani dar es salaam, pwani yenyewe na tanga na Tanzania kwa ujumla.
Bandari hii inajengwa...
Waziri wa vijana elewa kitu kitu kimoja SI kwamba serikali haitoi fedha kwenye HALIMASHAURI la hasha,
Ilikuwa inatoa tuliisha kwambia fedha hizo zililiwa na mchana uvccm na wake na ndugu wa madiwani
Sasa wewe ni waziri wa vijana wote weka utaratibu mzuri wa kuwasajili vijana platform kila mkoa...
Wakuu kwema ! Heri ya mwaka mpya
Moja kwa moja kwenye hoja
Nataka kuambiwa haraka sana Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani ktk Jimbo ?
Nauliza hvyo kwa sabqbu nimemuona Mbunge wa viti maalumu kwa jina la Sigrada Mligo akimfokeaa sijui mkurugenzi na waatalamu kwa kuwambia kuwa kbla ya week...
Katika Uzi huu naomba sote kwa pamoja tumuambie neno ndugu yetu Lucas Mwashambwa .Linaweza kua neno la faraja au lakufedhehesha ila kwa kifupi ujumbe ufike kwa ndugu yetu huyu kulingana na vile utakavowiwa
Serikali imelitangaza eneo ulipokuwa mgodi maarufu wa dhahabu wa Buzwagi kuwa sehemu ya kujengwa eneo maalumu la kongani ya viwanda “Buzwagi Special Economic Zone” baada ya kuhitimishwa kwa shughuli za uchimbaji katika eneo hilo.
Hatua hiyo imewekwa wazi na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
Imetoka kwenye official page ya X-Twitter ya Hilda Newton
===============================================
TAARIFA KUTOKA KWA MMOJA WA POLISI MWANDANI WETU OYSTERBAY POLICE STATION - DSM
Kuna ofisa wa Jeshi la Polisi anaitwa Hamza, anashikiliwa kituo cha Polisi Oysterbay tangu Novemba 6...
Nimeona taarifa ya tozo ya HIV katika ununuzi wa magari, sijui hii tozo kama ilipitishwa na linaloitwa bunge la JMT au hata kama ilipitishwa sijui ni lini kwa sababu nimeacha kabisa kufuatilia mambo ya bunge tangu mwaka 2021 Hata hivyo pamoja na kutawaliwa na watu waliojipachika wenyewe...
Dah! Watanganyika kazi tunayo. Halafu mtu bado anasema mitano tena.
Nyie mnayemshabikia huyu mama hivi kweli mna akili? Yaani mtu anaifisadi nchi na mkisema anawapoteza. Juzi kaua watanzania kibao halafu kweli kabisa kuna binadamu wanamshabikia? Mmh! Haya bhana.
Kufuatia matukio ya kikatili yaliyofanywa na mamlaka ya Tanzania kwa maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi wa rais na wabunge wa tarehe 29 Oktoba 2025, mashirika ya kiraia yanaitaka jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ili kuzuia unyanyasaji zaidi.
Katika barua iliyotolewa leo, mashirika 30...
Serikali ingetakiwa kutoa njia za kupita mpaka uwanja wantaifa bila hivyo serikali itabaki kulaumu kila siku na kuuwa vijana bila sababu. Maandamano ni haki yao
Vyuo vyote Kwa sasa wameandaliwa watu maalumu Kwa ajili ya kuwaookea wanafunzi wanaojiunga mwaka wa kwanza,katika kupokelewa kwao wanaambiwa wasifuate mkumbo,wasiandamane,haya kama hawana ada wanamsajiri WA TU, diabolical.
Polisi wanapewa muda wa kuongea na wanagunzi wakiwaChimba mkwara VIjana...
Nimeona mwaka huu wanawake wale wasiojiheshimu na waliopoteza heshima kwenye jamii wanatangaza nia ya kugombea ubunge wa viti maalum.
Kuitwa mbunge kunaenda sambamba na kuitwa mheshimiwa, jina/cheo kinachoonekana kuwa na hadhi ya juu nchini Tanzania.
Kilichonishangaza ni kuwa watu...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameongoza kwa...
Tarehe 29/10/2025 ni siku ambayo haitasahaulika Katika historia ya nchi yetu ni siku ambayo ulifanyika uchaguzi ( Uchfuuzi) sambamba na kuwepo kwa maandamano ambayo baadhi ya watu wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Maandamano haya, ingawa ilikuwa ni njia ya watu kutoa sauti zao kuhusu...
Mzuka wana Jamvi ?
Miezi kadhaa ilikuwa ukichungulia Jf na mitandao mingine Keyboard warriors kusema wameupiga mwingi sana kwa upande wa Kushambulia kupitia keyboard hatuwadai wameuwasha moto kisawasawa mpaka ikawa unadhani kama hawa ni Makamanda na nchi itaenda kukombolewa Tarehe 29 kama...
SALA YA KUOMBEA HAKI NA AMANI
Ee Mungu tunakusifu, tunakuheshimu, tunakutukuza, tunakuabudu na kukushukuru sisi Watanzania kwa kutujalia Nchi nzuri. Tunakushukuru pia kwa zawadi ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei 2025.
Tukiwa Mahujaji katika Matumaini, tunakuomba utuepushe na changamoto zinazoweza...
Moja kwa moja.
Katika harakati zote za maandamano bongo hakuna maandamano ambayo yanajoto , hamasa , vuguvugu na muamko mkubwa kama hii ya safari hii , pamoja na hayo sioni kabisa kufanikiwa kutokana na sababu nyingi miongoni mwa hizo ni zifuatazo ;
1. Nguvu yake , umaarufu na hamasa ni...
Maisha hayana formula kabisa
Hivi nani alitegemea eti siku moja Ousmane Dembélé au Lamine Yamal anaweza kutangulia kunyanyua tuzo kubwa ya Ballon d'Or kabla ya Mbappé
Msimu huu ni mchuano mkali kati ya janja machachari Lamine Yamal na Ousmane Dembélé
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.