maalum

Kikosi Maalum (meaning "Special Force" in Swahili), also known as the Special Battalion or the grand coalition, was a militia of Ugandan exiles formed in Tanzania to fight against the regime of Idi Amin. The unit was founded by and loyal to former Ugandan President Milton Obote, and served as his de facto private army. It was commanded by former army officers David Oyite-Ojok and Tito Okello. Kikosi Maalum took part in the Uganda–Tanzania War, fighting alongside the Tanzanian military against Amin's forces. In course of this conflict, the militia was nominally unified with other Ugandan rebel groups, forming the Uganda National Liberation Army (UNLA) in 1979. After the fall of Amin's regime and Obote's return to power, Kikosi Maalum became the core of Uganda's new national army.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo maalum kwa wafanyabiashara

    Habari Naomba nianze kutoa ufafanuzi yakinifu kuhusiana na mada niliyoleta hapo juu. Ulimwengu wa biashara hujawaji kuwa mwepesi mara nyingi huwa na mapito ya kupanda na kushika hususani hasara inapokuwa kubwa kwenye mzunguko wa biashara yako na hivyo kujikuta ukilazimika kuongezapesa nyingine...
  2. JamiiForums Tanzania uzi maalum kwa ajili ya connection za kazi; Bara, Zanzibar & Uarabuni, wenye Elimu na wenye ujuzi.

    Ugonile, Kuanzia leo ntakua napost nafasi za kazi au nafasi zinazoelekea na kazi humu. Msinipigie simu tafadhali, Tangazo litakua linajitosheleza. NB. Hizi nafasi zipo chini ya madalali hivo hakuna mlolongo wa interview ila hakikisha unafanikisha lengo lako ndo unalipa. AVAILABLE POSITIONS...
  3. M

    JamiiForums Tanzania MIKOPO MAALUM KWA AJILI YA UNUNUZI WA VIWANJA AU NYUMBA (REAL ESTATE LOANS)

    Habar Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada na niwaletee ufafanuzi mzuri kuhusiana na mada niliyoweka hapo juu. Baada ya kuona uhitaji mkubwa na muhimu wa watu kutaka kuwa na makazi Yao ya kudumu na kuwa na changamoto ya upungufu wa fedha hususani katika kununua viwanja na nyumba...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania: Kanisa Katoliki kufanya ‘sala maalum’ kuombea uwepo wa Haki na Amani katika nchini

    Huu ndo mwongozo maalum umetolewa leo
  5. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kurushia unayefana naye

    Yaani huu uzi unarusha picha ya unaejua anafanana na wewe (pacha). Kwa mfano naanza na mimi. Huyu ndie pacha wangu Karibuni😔
  6. JamiiForums Tanzania DStv kuja na vifurushi maalum vyenye chaneli za mpira tu

    DStv wameshtuka baada ya kupoteza mamilioni ya watazamaji wake. Dunia ya teknolojia, watu wana stream mechi hawalipii tena vifurushi. DStv wako mbioni kutuletea vifurushi pekee vyenye chaneli za michezo pekee kama wafanyavyo Canal Sports. Hii ikitiki itakuwa safi, japo wamechelewa sana.
  7. JamiiForums Tanzania Ukitizama hii picha, Kisha kuna Mbunge anaona hitaji kubwa ni Number Plate Maalum kwa ajili yao

    Mkiambiwa hamna akili au wengi hamna akili. Mnawakishwa na wasio na akili. Kweli Mbunge na akili timamu anaona hitaji kubwa walilo nalo ni namba maalum za magari? Watanzania wakati huo mnashangilia Simba na Yanga.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna kocha maalum wa makipa?? Wapo wapi makocha wa mabeki, forwards au midfielders??

    (1) Kwanini kuna makocha maalum wa makipa na hakuna makocha maalum wa forwards, mildfilders au mabeki?? (3) Kwanini wachezaji wengi wastaafu wakiamua kuwa makocha basi ni wale mabeki, forwards au viuongo wa zamani na sio makipa wa zamani?? Kwanini makipa wa zamani sio makocha wakuu wa timu...
  9. JamiiForums Tanzania Mada maalum: Tuijadili Tanganyika

    Kwa mapana yake Tulipotoka Tulipo na tuendako Tupopatia tulipokosea na tulipoumizwa Tulipopotea, tulipokengeuka, tuliporubuniwa na tulipojisahau Tuwajadili pia wazalendo waliojaribu kuipigiania Tanganyika. Timu ile ya G55 original, Rev. Mtikila na Akina Mwabukusi kwa sasa Tuyajadili kwa undani...
  10. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026.

    Huenda ni mtoto wako, au wewe mwenyewe unataka kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya; 1. Shahada ya awali (Bachelor's Degree) au, 2. Shahada ya Umahiri (Master's Degree) au, 3. Shahada ya Uzamivu (Doctor of Philosophy - PhD). Hata hivyo unatamani kufahamu zaidi...
  11. JamiiForums Tanzania Kampeni maalumu ya kuwakataa Machawa wote JF

    Humu JamiiForums inabidi tuanzishe campaign ya ku ignore machawa wote ili threads zao wasome machawa kwa machawa.
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Wanu Ameir Atunukiwa Tuzo Maalum na UWT Wilaya ya Kati, Zanzibar

    MBUNGE WANU AMEIR ATUNUKIWA TUZO MAALUM NA UWT WILAYA YA KATI, ZANZIBAR Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Unguja Kusini na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir ametunukiwa Tuzo Maalum na viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)...
  13. O

    JamiiForums Tanzania GE2025 Intelligence Insider Africa Yathibitisha Uwepo wa Vikosi Maalum vya Uchaguzi (Red Army) nchini Tanzania

    Mwanza, Tanzania - Kwa mtazamo wa haraka, wanaonekana kama vijana wa kawaida wanaofanya mazoezi ya kukimbia. Wakiwa wamevalia sare za mazoezi zinazofanana na wakiwa na vitambaa vyekundu shingoni, wanakimbia kwa mpangilio asubuhi na mapema, wakiandamana na askari waliobeba silaha. Kwa mtu asiye...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa kutambua namba za mitandao ya simu Tanzania 📶

    Watu wengi hupata changamoto kujua kama namba fulani ya simu ni ya Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel au TTCL. Karibu tushirikiane kujuzana namba za mwanzo za kutambua mtandao, Tuzikusanye zote na kuweka orodha kamili VODACOM: 0754, 0755, 0743, 0745, 0746, 0769 TIGO: 0710, 0712, 0713, 0714, 0715...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Video Maalum kwa wanaosifia viongozi wanapokosea

    No maneno mob, we sikiza huyo mzee vile anabonga. Points mingi sana "Na mie mtu anayeniikosoa nampenda zaidi kuliko anayenisifia kwa sababu mtu anayekusifia mana yake wewe unakuwa hujui kama unakosea" -Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar
  16. JamiiForums Tanzania CHAUMMA hata ikipata viti viwili maalum vya Ubunge vitakuwa vya Mke wa Mwalimu na Kigaila akina mama wengine pambaneni Kwa tahadhari

    Yale ya COVID 19 kule CHADEMA ni ngumu kutokujirudia huko CHAUMMA, Wanawake mnakwenda CHAUMMA Kwa malengo ya viti maalum fanyeni hivyo Kwa tahadhari Sehemu sahihi ni CCM tu.
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzi Maalum wa Celebrities wanaotangaza nia ya kuwania ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Jana Baba Levo ametangaza kugombea ubunge kwa jimbo la Kigoma Mjini. Masaa machache baadae mtangazaji mwenzake wa Wasafi FM, Diva ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tanga mjini. Uzi huu utakuwa ni maalum kwa celebrities ambao wanatangaza nia za kuwania Ubunge kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025.
  18. JamiiForums Tanzania Sala Maalum kwa Kila Mwanachama wa JamiiForums – May You Be Uplifted and Transformed

    Sala kwa WanaJF – Kwa Mafanikio, Nguvu na Ukombozi Ee Mungu mwenye nguvu, mwenye huruma na anayejibu maombi, tunakuletea wana wa JamiiForums wote – kila mmoja wao aliye na kiu ya mafanikio, maarifa, amani, na mabadiliko katika maisha yao. Baba, tunakuomba uwafungulie njia mpya – open doors of...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hoja sita CHADEMA, Madai ya makada wake kukamatwa na kupigwa

    "Niseme hatua kadhaa ambazo tunataka zichukuliwe (kutokana na kile ambacho CHADEMA inadai kuwa Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro imetoa taarifa za uongo kuhusu madai ya viongozi na makada wao kukamatwa, kupigwa na kuteswa mnamo tarehe...
  20. JamiiForums Tanzania Uzi huu ni Maalum kwa kuisaidia tu Simba SC mawazo ya Kiufundi kuelekea Mechi ya CAFCC Fainal away na RS Berkane

    Poti wangu Crescentius Magori, Msemaji Ahmed Ally, Mwenyekiti Mangungu, Meneja na Mtani wangu wa Kihaya Patrick Rweymamu, Wajumbe Salim Abdallah Mhene Try Again, Swedi Nkwabi na Dada yangu Asha Baraka bila kusahau na Wadau wengine wa Simba SC najua huwa mnanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…