Ulinzi wa maadili hasa kwa vijana wa kiume dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia,ikiwa ni pamoja na kufanyiwa vitendo vya kulawitiwa ni suala nyeti linalohitaji hatua madhubuti kutoka kwa jamii,serikali na taasisi mbalimbali.
Hayo yameelezwa ,April 3,2025 na Mkuu wa mkoa wa Simiyu,Kenan Kihongosi...