maadhimisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania UDSM yawaita Wadau wa Elimu kushiriki maadhimisho Wiki ya Utafiti na Ubunifu

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeutaarifu umma wa Watanzania na kuwaalika wadau wa elimu na maendeleo, kwa ujumla kushiriki katika Maadhimisho ya kumi ya Wiki ya Utafiti na Ubunifu ya UDSM yatakayofanyika kuanzia Juni 9- 11, 2025 katika Viwanja ya...
  2. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yatoa elimu ya kujikinga na watoto wenye vichwa vikubwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani.

    Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) washiriki Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwa kutoa elimu kwa wazazi jinsi ya kijikinga na watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi. Maadhimisho hayo yanafanyika katika viwanja vya Fire mkoani Shinyanga, yenye kauli...
  3. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yashiriki maadhimisho ya Mei Mosi, Singida

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya kwa pamoja wakiwa wameshikana mikono wakati...
  4. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa chuo cha umma Tanzania washiriki maadhimisho ya Mei Mosi, Dar

    Watumishi Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC),makao makuu na Kampasi ya Dar es Salaam wameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ‘Mei Mosi’ ambayo kimkoa yamefanyika katika wilaya ya Kinondoni kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam Mgeni Rasmi...
  5. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Watumishi MOI washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 2025 Kawe

    Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Mosi' 2025 yenye Kauli mbiu 'Uchaguzi Mkuu 2025 Utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki'. Maadhimisho hayo yamefanyika Kimkoa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Viet Nam

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya miaka 50 ya Muungano wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam kama mgeni maalumu kufuatia mwaliko wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Taifa hilo, Bui Thanh Son...
  7. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Tamko la tume ya haki za binadamu na utawala bora maadhimisho ya siku ya wafanyakazi

    Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani,THBUB yatoa tamko Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025 Tarehe 1 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Maadhimisho...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu ya Maadhimisho Miaka 61 ya Muungano

    Kauli Mbiu ya Maadhimisho Miaka 61 ya Muungano "Miaka 61 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Muungano Wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu ya Taifa: Shiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025".
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa yupo Mlimani City akishiriki maadhimisho ya BAWACHA siku ya wanawake duniani

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa naye yumo leo Mlimani City kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayoadhimishwa na Baraza la Wanawake wa chama hicho katika ukumbi wa Mlimani City Dar Es Salaam
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Video: Shangwe la BAWACHA wakimpokea Lissu maadhimisho siku ya wanawake Mlimani City

    Hivi ndivyo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu alivyoingia na kupokelewa kwa shangwe Mlimani City kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ndiye Mgeni Rasmi wa tukio hili.
  11. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kata ya Itamboleo wilayani Mbarali ni balaa

    Maadhimisho hayo yaliyojaa shamra shamra, shangwe huku Jina la mama Samia likiinuliwa Juu mawinguni yameenda vizuri hadi kupelekea mgrni rasmi ambaye ni diwani wa kata hiyo kutoa zaidi tani moja na nusu za mchele kwajili ya shule zote zilizopo katani hapo baada ya wakina mama kutoa changamoto...
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Katavi kuunganisha nguvu kuleta usawa wa kijinsia siku ya maadhimisho ya wanawake Duniani

    Mkoa wa Katavi hii leo umezindua maadhimisho ya siku ya Wanawake ambayo ulimwenguni yatahitimishwa March 8, 2025 huku yakiangazia nyanja kuanzia mafanikio, changamoto na hata mustakabali wao, sio tu kwa wanawake bali pia wasichana. Kote mkoani humo, Taasisi za serikali na zisizo za serikali...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Manyara na Arusha ndiyo inayoongoza kwa kiwango kikubwa cha ukeketaji kwa 43%

    KUH; MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA UKEKETAJI DHIDI YA MWANAMKE NA MTOTO WA KIKE TAREHE 6 FEBRUARI, 2025 Dar es Salaam, 02 Februari, 2025 Ndugu wanahabari, tarehe 6 Februari, 2025 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga ukeketaji dhidi ya mwanamke na mtoto wa...
  14. Mayor of kingstown

    JamiiForums Tanzania Je kulikuwa na ulazima wa CCM kufanya maadhimisho ya miaka 48 badala ya kusubiri miaka 50

    Nawasilisha Bado nafikiria kulikuwa na ulazima gani wa CCm kuwahi kufanya maadhimisho ya miaka 48 wakati ingefaa na ingekua bora zaid kama wange fanya ikifikisha miaka 50 Au kuna sababu nyingine
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania UWT Itilima: Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa CCM

    UWT ITILIMA: JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE WILAYA YA ITILIMA (UWT); MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA KUZALIWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Tarehe: 31 Januari 2025 Katika kuadhimisha miaka 48 tangu kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi, Jumuiya ya Wanawake Wilaya ya Itilima (UWT) ilifanya maadhimisho...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa kwa CCM. Chama ambacho kimeendelea kubeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania, chama...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho uhuru wa Angola: Rais wa Angola atoa msamaha kwa makumi ya wafungwa, akiwemo mtoto wa mtangulizi wake

    Rais wa Angola atoa msamaha kwa makumi ya wafungwa, akiwemo mtoto wa mtangulizi wake 27 Desemba 2024 Picha maktaba:. João Lourenço, rais wa Angola. Picha ya faili: Cia Pak/ONU José Filomeno Dos Santos, mtoto wa rais wa zamani wa Angola aliyefungwa jela kwa udanganyifu, amesamehewa na kiongozi...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya 16 Days Of Activism: tuungane kuwalinda Wanawake na Wasichana dhidi ya Ukatili

    Leo tunahitimisha Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kipindi muhimu kilichotumika kupaza sauti dhidi ya ukatili unaowaathiri mamilioni ya watu duniani, hususan wanawake na wasichana. Ukatili wa kijinsia sio tu changamoto ya mtu binafsi bali ni tatizo la kijamii linaloathiri...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki maadhimisho ya miaka 107 ya uhuru wa Finland

    WAZIRI KOMBO ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 107 YA UHURU WA FINLAND Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameshiriki sherehe ya Maadhimisho ya miaka 107 ya Uhuru wa Taifa hilo iliyoandaliwa na Ubalozi wa Finland hapa nchini. Akizungumza katika...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki hafla ya maadhimisho ya Siku ya Taifa la UAE

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Taifa la UAE iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE akiwa ni Mgeni wa Heshima. Hafla hiyo imefanyika mjini Abu Dhabi tarehe 05 Desemba, 2024 ambapo Naibu...
Back
Top Bottom