maadhimisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prince Luanda

    Maadhimisho makubwa kama haya ya siku ya wanawake duniani yanafanyikaje mburahati?

    Aisee leo mburahati hakukaliki magari ni mengi mno kuanzia viwanja vya shule ya msingi mburahati hadi kituo cha polisi hapa baadhii ya magari yaliyoleta watu yamerudi yalipotoka haya yaliyopo hapa yamelundikana hatari ila wenye migahawa wanapiga hela kudadeki 😅!
  2. Roving Journalist

    DAWASA yafungua dawati la huduma, maadhimisho Siku ya Wanawake

    Katika kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imezidi kusogeza huduma karibu na wananchi kwa kufungua dawati maalum la huduma kwa wateja katika mtaa wa Bwawani, Stand ya Makumbusho. Hatua hii inalenga kusikiliza na kutatua changamoto...
  3. Pdidy

    Rais wa Taiwan ajitapikia akiwa kwenye maadhimisho ya sikukuu

    Hivi hawa wazee nilijua Afrika tu hadi hizi nchi za Taiwan Huyu mzee kajichokea amejitapikia dakika chache tu baada ya kusimama na wenzie kusimama kuadhimisha sikukuu yao.
  4. Hance Mtanashati

    PostGE2025 Je, sherehe za maadhimisho ya uhuru Desemba 9, 2025 zitafanyika kweli?

    Kulingana na taarifa za maandamano ya amani zilizopangwa kufanyika 9 december , je siku hiyo sherehe hizi zitafanyika kweli? Tunajua vyombo vya usalama asilimia kubwa huwa vipo pale uwanja wa taifa kusherehekea sherehe hizi na maigizo yao ya kuvunja matofali kwa vichwa, hii inapelekea maeneo...
  5. Parabolic

    CHADEMA yakutanisha wadau kuadhimisha Siku ya kimataifa ya Demokrasia

    Leo Septemba 15, CHADEMA wanaadhimisha siku ya kimataifa ya Demokrasia kidigitali ka kuwakutanisha watoa mada #Barazani na kujadili hali ya kidemokrasia nchini. Kauli mbiu ya mwaka huu "Demokrasia na Uchaguzi Bandia Tanzania." Watu mbalimbali wa ndani na nje ya Chama watashiriki...
  6. Ojuolegbha

    BADO SIKU 3: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 3: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Afya ya akili huanza na kujipenda. Jitunze 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa mawasiliano; Simu +255754471958 BaruaPepe...
  7. Ojuolegbha

    BADO SIKU 6: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 6: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Jifunze kusema "hapana" unapochoka ili kulinda afya ya akili 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa mawasiliano; Simu...
  8. Ojuolegbha

    BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 8: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Usijilazimishe kufanya kila kitu. Tambua mipaka yako na heshimu muda wa kupumzika. 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa...
  9. Ojuolegbha

    BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 9: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Mazoezi huchochea homoni ya furaha, Tembea, kimbia, au fanya mazoezi mara kwa mara. 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa...
  10. Ojuolegbha

    BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Jenga jamii iliyo salama na yenye matumaini kwa kumshirikisha Afisa Ustawi wa Jamii changamoto unayopitia 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii -...
  11. Roving Journalist

    Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane Kitaifa, Agosti 8, 2025 Dodoma

    Rais Samia Akishiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, leo tarehe 8 Agosti, 2025. https://www.youtube.com/live/jQHC1KDAtsY?si=wJAJj3luERusy52n ============= Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, akiwahutubia wakazi wakati wa kilele...
  12. Ojuolegbha

    Maadhimisho ya siku ya lugha ya kiswahili duniani yafana Sweden

    MAADHIMISHO YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI YAFANA SWEDEN Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden ukishirikiana na jumuiya za Watanzania waishio nchini humo, umeandaa na kufanikisha sherehe za maadhimisho makubwa ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika tarehe...
  13. LAZIMA NISEME

    Mechi ya Leo Jumapili, Tarehe 22/06/2025 Kuelekea Kilele Cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya

    Mchezo wa mpira wa miguu – hatua ya fainali unatarajiwa kufanyika kwa shamrashamra kubwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Makatifu John (St. John’s University), jijini Dodoma. saa tisa Jioni. Tukio hili ni sehemu ya kampeni endelevu ya kuhamasisha jamii, hususan vijana, kuhusu madhara ya...
  14. Baraza la Famasi Tanzania

    Wiki ya Famasi Tanzania yaadhimishwa, Kaulimbiu yasisitiza Ubunifu na Afya Jumuishi kwa wote

    Maadhimisho ya Wiki ya Famasi Tanzania yameanza rasmi kuanzia tarehe 10 hadi 16 Juni, 2025, yakiwa na kaulimbiu isemayo: "Mfamasia kiini cha afya kwa wote, ubunifu, uwekezaji na afya jumuishi kwa wote chini ya uongozi wa mabadiliko."
  15. Baraza la Famasi Tanzania

    Maadhimisho ya Wiki ya Famasi Kitaifa Tarehe 10 - 16 Juni, 2025

    Kauli Mbiu: “Famasia, Kiini cha Afya kwa Wote: Ubunifu, Uwekezaji, na Afya Jumuishi kwa Wote Chini ya Uongozi wa Mabadiliko”
  16. LAZIMA NISEME

    Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani katika Picha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Dunianiyaliyofanyika Kitaifa katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Dodoma tarehe 05 Juni 2025. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
  17. Blasio Kachuchu

    UDSM yawaita Wadau wa Elimu kushiriki maadhimisho Wiki ya Utafiti na Ubunifu

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeutaarifu umma wa Watanzania na kuwaalika wadau wa elimu na maendeleo, kwa ujumla kushiriki katika Maadhimisho ya kumi ya Wiki ya Utafiti na Ubunifu ya UDSM yatakayofanyika kuanzia Juni 9- 11, 2025 katika Viwanja ya...
  18. Taasisi ya Mifupa-MOI

    MOI yatoa elimu ya kujikinga na watoto wenye vichwa vikubwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani.

    Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) washiriki Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwa kutoa elimu kwa wazazi jinsi ya kijikinga na watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi. Maadhimisho hayo yanafanyika katika viwanja vya Fire mkoani Shinyanga, yenye kauli...
  19. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yashiriki maadhimisho ya Mei Mosi, Singida

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya kwa pamoja wakiwa wameshikana mikono wakati...
  20. Blasio Kachuchu

    Watumishi wa chuo cha umma Tanzania washiriki maadhimisho ya Mei Mosi, Dar

    Watumishi Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC),makao makuu na Kampasi ya Dar es Salaam wameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ‘Mei Mosi’ ambayo kimkoa yamefanyika katika wilaya ya Kinondoni kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam Mgeni Rasmi...
Back
Top Bottom