lulu

The LuLu cyclecar was produced by the Kearns Motor Car Company. The company was founded by Charles Maxwell Kearns I in Beavertown, Snyder County, Pennsylvania about 1903. Kearns was the son of a buggy maker and had a gift for invention but little more than a grade school education. He began by first mounting an engine on a buggy and progressed to more elaborate designs and heavy trucks. The LuLu automobile was manufactured only in 1914. Billed as "more than a cyclecar", it had a four-cylinder monobloc engine and three-speed gearing. It sold for $398.

View More On Wikipedia.org
  1. PostGE2025 Aunty Lulu: Najutia kuhamasisha maandamano, sikujuwa kama zingetokea fujo na kusababisha vifo vya ndugu zetu

    Moja ya kitu ninacho kijutia katika maisha yangu ni kupost na kuhamasisha maandamano kwa mimi nilivyojuaga watu wanashika mabango barabarani na sikujuwa kama ilivyotokea, ndio maana niliitisha press kuwashauri wezangu tusifanye maandamano siku ya tarehe 29 tutafute siku nyingine, licha wengine...
  2. PostGE2025 Aunty Lulu: Niliomba msamaha kwa jeshi la polisi kwa kufanya uchochezi na ndio maana sijakamatwa

    Kwahiyo wewe Lulu unataka kutuambia kwamba kila mtu angeomba msamaha angesamehewa? Lakini pili wewe si unajifanya mpambania wananchi kama ulikuwa unasema vilivyo na maslai ya wananchi kwanini uombe msamaha na kusema uchochezi? Embu tuache kidogo kuna kitu kimejificha hapo =========== Aunty...
  3. PostGE2025 Huyu mama alindwe sana. Ukweli wake utatukomboa

    Siongezi neno. Angalia na sikiliza mwenyewe wanachoficha CCM na Polisi, BAKWATA na Chawa
  4. GE2025 Aunty LULU ahimiza amani na kukemea maandamano

    Huyu alikua kinara yeye pamoja na sativa kuhamasisha maanadamano, dakika zajioni kabisa ametema bungo. Namna gani pale!
  5. Aunty LuLu: Kuna watu wapo nje ya nyumba yetu wanataka kuvunja mlango

    Tuombe Mungu usiku upite salama, Israel anazengea kwenye viunga vya Nyumbani kwa aunty LuLu, kaweka ujumbe kwenye Instagram usiku huu wa manane 👇 Msiomjua Aunty LuLu ni huyu
  6. M

    Mbona hatusikii tena habari za ushindi wa magoli mengi? Goli moja limekuwa lulu wakilipata wanashangilia mpaka wanavunja viti!

    Kulizuka katabia Fulani hivi vijana wa Rage na Mangungu walikuwa wanaizodoa Yanga kwamba inapata ushindi wa kigoli kimoja na wao wanafunga mengi sasa hivi wameufyata kulikoni! Hicho kigoli kimoja wanapokipata wanashangilia kama wamepata dhahabu ni maajabu haya!
  7. SoC04 Madini ya kimkakati Tanzania, lulu inayotazamwa na dunia. Je, tumejiandaa?

    Tanzania tuiitakayo ni nchi yenye maendeleo makubwa zaidi ya watu katika ukanda wa Afrika mashariki. Itakayoweza kuondoa kabisa umasikini na kupunguza utegemezi wa misaada na mikopo. Hii ni kutokana na ukweli kuwa Tanzania ipo eneo zuri kiuchumi (Good economic geographical position), kwa kuwa na...
  8. M

    Harusi za wenye hela Samatta, Majizo, Lulu, Millard Ayo zipo simple hakuna sherehe. Ila Harusi za vijana hohehahe tunakabana michango

    Habari wadau. Najiuliza kwa nini vijana matajiri wenye hela wanafanya harusi simple zisizo na michango wala sherehe kubwa zisizozidi bajeti hata milioni mbili. Mbwana Samatta alifunga ndoa akiwa anacheza mpira ulaya hakuna sherehe wala nini Majizo mmiliki wa EFM alifunga ndoa na Lulu...
  9. Lulu hakumuua Kanumba, toka mahabusu Mpaka Mfungwa wa nje!

    DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012 Mahakama Kuu ya Tanzania ilimhukumu kifungo cha miaka miwili jela, Elizabeth Michael ‘Lulu’ baada ya...
  10. M

    Yuko wapi Lulu Ibrahim, Miss Kinondoni 2009 na aligombea Miss Tanzania 2009?

    Yuko wapi Lulu Ibrahim, Miss Kinondoni 2009 na aligombea Miss Tanzania 2009?
  11. Howard Webb: Lulu ya Soka katika Dunia

    Kwa nadharia, mpira wa miguu ni mchezo rahisi sana. Ila kiuhalisia, sio kweli ni mcheo mgumu na mchezo wa kikatili sana. Mchezo una sheria 17 pekee, lakini ni sheria ambazo utafsiri wake huwa ni mgumu sana endapo mwamuzi sio makini. Waamuzi wa Ligi kuu za mataifa mbalimba wanapaswa kufanya...
  12. Gareth Frank Bale: Lulu ya Soka kutoka Wales

    Gareth Bale, mchezaji wa soka kutoka Wales, mara nyingi huonekana kuwa ni moja ya hazina kubwa katika ulimwengu wa kandanda, haswa kutokana na ustadi wake wa kipekee, uimara, na uchezaji thabiti uwanjani umemfanya kuwa mtu wa kuheshimika sana katika mchezo wa soka. Ni ngumu kuzungumzia mafanikio...
  13. Lulu ya muziki wa Afrika imelala usingizi mzito

    Wengi tunamfahamu kama Zahara ila majina yake ni Bulelwa Mkutukana, alikuwa ni mwimbaji wa nyimbo kutoka Afrika Kusini, mtunzi wa nyimbo, na mpiga gita mzuri sana. Katika Kijiji cha Phumlani, alizaliwa Novemba 9, 1987, mtoto wa kike, ni katika jimbo la Eastern Cape nchini Afrika Kusini, huyu ni...
  14. Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

    Yes, ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ mapenzini, enzi na enzi! Mnakumbuka wakati msiba wa Kanumba unatokea kulisemekana kutokea ugomvi uliopelekea Lulu kumsukuma Kanumba ndio kuanguka na kufariki? Chanzo ni simu kutoka kwa Ali Kiba kwenda kwa Lulu. Lulu alienda kwa...
  15. Amber Lulu apigwa na mpenzi wake na kujeruhiwa vibaya

  16. I

    Marioo (TotoBad) amekuwa msanii lulu bongo kwa sasa

    Nimepata wasaa leo nikaskiliza album mpya ya barnaba classic. Ni album nzuri kwakweli lakini nilivyofika kwny track aliyomshirisha Marioo, kuna kitu tofauti kabisa nikagundua kwny ngoma hiyo. Yule kijana sasa hivi ni kana kwamba yupo ndani ya beat anaflow nalo kama mawimbi kwny bahari ,anafanya...
  17. SoC02 Lulu ya Kusini iliyofunikwa na mchanga

    Mikoa ya kusini imekuwa kwa kiasi kikubwa ikijishughulisha na kilimo. Lakini aina ya kilimo wanachofanya si aina ya kilimo ambacho kimekuwa kikiwanufaisha kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na jitihada wanazowekeza. Mazao mengi ya chakula kama vile mahindi, mtama, na mengineyo yamekuwa...
  18. Wema Sepetu awafukuza Lulu, Uwoya nyumbani kwake, yadaiwa walienda kupatanishwa

    Miongoni mwa matukio ambayo yamezua gumzo ni tukio la Wema Sepetu kuwafukuza nyumbani kwake mastaa wenzake wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Irene Uwoya, Kajala Masanja, Jacqueline Wolper na wengine kwa maelezo kwamba hawakumpa taarifa kwamba wanakwenda nyumbani kwake. Wema ameshtukia...
  19. J

    Freeman Mbowe ageuka "LULU" vyama vya CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo. Vinatafuta umaarufu wa kulazimisha kupitia kwake

    Chadema wanasema Freeman Mbowe abaki gerezani hadi pale haki ya kisheria itakapoonekana imetendeka. Wanaamini hii itakiimarisha chama na Mbowe mwenyewe kisiasa wakiwa wameanza kumfananisha na RIP Nelson Mandela wa SA CCM wanataka Mbowe atolewe gerezani kupitia huruma ya Rais c/o DPP wakiamini...
  20. B

    Profesa Abdulaziz Lodhi bingwa wa taaluma za Lugha

    SIMULIZI NDEFU ZA KUVUTIA ZA PROF. ABDULAZIZ LODHI, KTK MAHOJIANO MAREFU NA MTAYARISHAJI WA KIPINDI CHA GUMZO LA GHASSANI Mzalendo mzanzibari Profesa Abdulaziz Lodhi, bingwa wa taaluma za Lugha anasimulia Zanzibar kabla ya uhuru na baada ya Mapinduzi pia mchango wake ktk elimu Zanzibar na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…