Habari wana JF
Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara kwa wateja wanakuja kuulizia bidhaa dukani.
Mteja baada ya salamu anauliza kwa kutumia wingi, hata kama anahitaji kitu kimoja tu.
Mfano:
•Hivi mna pump za Pedrollo?
•Mna taa za Tronic?
•Mna pipes za PVC?
•Mna switches za umeme?
•Mna...
Eti wakuu kuongea kwa kuchanganya Lugha 2 kwa pamoja, Kiswahili na kiingereza, hiyo huwa inaonesha usomi wa mtu, ujanja au mtu anakuwa hajui lugha zote 2 hivyo anachanganya kupata misamiati ili kukamilisha sentensi zake?
Siyo kitu cha ajabu kusikia I garantee you utakuwa salama we nenda tu, au...
Matumizi ya vitu hivi viwili KATIKA kuremba nywele, huchanganya.
Ukweli ni huu.
Kazi ya Chanuo ni kuchana nywele, YAANI kutengenisha nywele kimakundi.
Kazi ya kitana ni kutana nywele neno kutana ni kukutanisha nywele pamoja katika mpangilio.
Hivyo basi kazi ya Chanuo ni kuchana nywele na...
Katika pita ZANGU mitandaoni, nikakuta HABARI ya TFF WAASI kuhusika na mambo ya mauaji, Sasa kilicho niacha hoi ni comments za waja.
HABARI inasema, kiongozi wa kikosi cha TFF waasi adai kuhusika na mauaji mbeya,
MTU ana comment hivi,
1. Heee, Walace karia NAE ana kikosi KAZI, hi Isha kuwa...
Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa.
Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
Wakuu,
Kwa wale wanaozijua lugha hizo mbili naomba mnisaidie.
Mimi sio mzungumzaji wa lugha yeyote kati ya hizo ila naweza kusema kwamba naelewa baadhi ya maneno au sentesi sababu nimekuwa nikifuatilia sana nyimbo za zinazoimbwa Kihispania, katika harakati za kujua maana ya nyimbo hizo...
Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amesema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, tarehe 13 Januari...
Rais Wa Chama cha mawakili Tanganyika ameeleza kuwa mauaji yaliyotokea Oktoba ni makubwa hayakuwahi kutokea Toka Tanganyika ijulikane na si Muarabu, Mjerumani wala Muingereza aliyefanya mauwaji makubwa hivi.
Awashangaa watu wanaozungumza kwa lugha nyepesi tu kuwa tusameheane kama vile mtu...
Udhaifu wa kutokujua lugha zaidi ya Moja hasa kifaransa na kiingereza ndiyo chanzo kikubwa cha marefarii wetu kutokupangwa kuchezesha mechi zinazoandaliwa na CAF.
Itakuwa ni aibu tuandae mashindano ya AFCON halafu marefarii wetu wasiwe sehemu ya marefarii watakaokuwa wanachezesha mashindano hayo.
Joseph Ludovic ambaye ni mwalimu wa na masomo ya dini mbali na kulaani vurugu za uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, mwaka huu ametoa wito kwa viongozi wa dini kuponya taifa kwa kuhimiza maridhiano badala ya kugeuka kuwa wachochezi kwa kutoa kauli zenye viashirio vya uchochezi wa kuligawa taifa.
prof. Abdallah Safari ambae ni Profesa wa sheria na muandishi nguli wa vitabu ambae amewahi kuandika vitabu kama vile riwaya ya Joka la Mdimu katika mahojiano yake ameeleza kuwa lugha ya kiswahili sio lugha ya taifa bali tunaitumia tu kimazoea akirejelea kuwa katiba haina kifungu kinachobainisha...
Hapa nitaongelea vipengele viwili na vinahusiana sana, kwa hiyo naomba usome hadi mwisho
I. Suala la Uhaba wa Ajira
II. Ukuaji wa Lugha ya Kiswahili
I. UHABA WA AJIRA
Tanzania ina uhaba wa ajira kwa sababu ya uhaba wa makampuni na wawekezaji. Sio tu wawekezaji wa nje, hata wa ndani pia ni...
Huyu mzee kwa Kweli Mungu ampe maisha marefu! Ameongea mambo ambayo ni makubwa, na kumbukumbu zitahifadhiwa kwa ajili ya rejea za vizazi vijavyo!
Kaongea kwa ujasiri kweli kweli tena kwa uwazi!
Maneno aliyosema hivi sasa kuna watu wataanza kumshambulia, na tutegemee apate pia misukosuko, sijui...
Chunguza kuanzia Jf , X , IG na kwengineko ni watu ambao hawana uvumilivu na lugha nzuri katika majadiliano una weza ukaandika mada mtu anakuja na matusi moja kwa moja sasa usiombee mpishane mitizamo katika hoja unaambulia matusi au wanakublock.
Mimi binafsi naona mtu anayekimbilia matusi kwa...
Katika Elite Home Tuition, tunatumia mbinu maalum zinazomuwezesha mtoto kuanza kuielewa na kuitumia lugha ya kigeni kwa ufanisi, kwa furaha na bila hofu. Hizi ndizo mbinu zetu bora:
1. Mazoezi ya Kusikiliza (Listening First):
Tunaanza na kusikiliza nyimbo, hadithi, na mazungumzo mafupi...
Hio itakuwa Siku ya Christmas, wakiristo watahitaji kutoka kusherehekea.
Hakuna namna ya kuzuia mikusanyiko siku hio, na kama wakizuia na ndio lengo letu., Sio tu machawa yataguswa hata watanzania wa kawaida wataanza rasmi kuandamana.
Baada ya kuangukia madaraka kama wakenya ambayo wangesma, Samia Sulubu Hassan alliahidi kuifungua Tanzania kana kwamba ilikuwa imefungwa. Alianza kuvaa barakoo tofauti na mtangulizi wake.
Alianza lugha ya economic diplomacy au diplomasia ya uchumi.
Aliongelea demokrasia, maridhiano na mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.