lucas mwashambwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Washauri wake Wakuu ni hawa Members wetu hapa Mwanafunzi wangu Lucas Mwashambwa na Mchovu ChoiceVariable mlitegemea Jipya Kwake jana?

    Na bahati nzuri 97% ya Wanafunzi wangu wote niliowafundisha kuanzia Mwezi August, 2010 hadi November 2013 hivi sasa Wanafanya vyema kabisa huko waliko na wengi wao huwa Wananishukuru mno kwa Madini Tukuka niliyokuwa nawapa lakini sijui kwanini huyu Lucas Mwashambwa hakuchukua Ujiniasi wangu ili...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Lucas Mwashambwa amepewa nafasi CCM ndio maana haweki namba siku hizi

    Vyanzo vyangu vya kuaminika toka coridos of power vimenitonya mwanachama mtokwa machozi ya furaha pale anapotajwa kiongozi mkuu amepata teuzi huko CCM. Na ndio maana siku hizi ameacha kuweka namba Ila kwa maadili ya JamiiForums siwezi kuweka hapa utambulisho wake. Hongera comrade Lucas...
Back
Top Bottom