lost

  1. introvert

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maisha Baada ya Uchaguzi: CCM won the Battle and lost the War

    Hakuna aliyetegemea uchaguzi uwe wa huru na haki. Lakini hakuna aliyetegemea wizi uwe wa wazi na wa kijinga hivi. Chama Cha Mapinduzi, kama chama kikongwe barani Afrika, kimethihirisha hakipo tayari kuachia madaraka kwa njia ya sanduku la kura. Si Bara wala si Visiwani. CCM si chama cha siasa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Have you lost your motivation? Here are photos that will ignite you again

    These days people just loose the drive that makes them do the things they need to do,sometimes you see other people being successful and getting rich but remember its a different race and you will get to your bus stop if you keep trying. These days you will always see distractions...
  3. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Online loss report form ina shida gani?

    Habari wanajukwaa natumaini wote ni wazima wa afya. Poleni na mihangaiko ya shughuli za kujenga taifa. Naenda direct to the topic. Majuzi niliweza kupoteza ATM card yangu ya Bank fulani hivi, ndipo nilipoenda bank nikaambiwa nikachukue loss report. Nikaenda central police station nikaambiwa...
  4. Mlachake

    JamiiForums Tanzania I have lost taste in listening to local radio stations especially while driving to work

    I was a fan of one of these Dar Es Salaam local Radio stations especially listening on my way to the office each morning, But of recent I found my self loosing test in all these redios, Am not sure if its the 100s of adverts aired or what. Nowadays if am not in a mood to listen to music in my...
  5. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Kama uliwahi kuisifia series ya LOST njoo hapa

    Kama uliwahi kuisifia series hii inayoitwa Lost humu JF njoo pm nikuchape vibao. Kuna watu wanaingizana mkenge humu, Wanakisifia kitu ila ukitizama ni uchafu mtupu. J.J.Abrams ni moja ya Director na Creators mzuri ninayemkubali baada ya Russo Brothers,David Cameron,Mel Gibson,Zack...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ugandans lost billions in forex trading scam

    “They were conned out of billions of shillings in just twelve months.” Hundreds of Ugandans woke up last week to a sad reality – they had been trapped in an exploitative scam by four Ugandans and four West Africans trading under the name Dunamiscoins Resources. Dunamiscoins Resources is...
  7. moto ya mbongo

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Jabiri Timbula wa mwongozo-Tabora

    Naomba kuomba msaada wenu wanajamvi wa JF kuna kijana ametoweka wiki 2 sasa anaitwa JABIRI TIMBULA. Alikuwa ameajiriwa kama VEO kijiji cha Mwongozo Tarafa ya Ulyankulu Wilaya ya Kaliua mkoa wa Tabora. Pamoja na kuajiriwa alikuwa mwanafunzi wa shahada ya kwanza wa chuo kikuu huria (OUT) tawi la...
Back
Top Bottom