lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Kama mahakama ni chombo cha kisheria kwelikweli, then there's no way bali kumwachia huru Tundu Lissu J'3 15/09/2025 aendelee na maisha yake!

    https://youtu.be/lXYcasdnW3g?si=j-3229TRJTlB6ORF 1. Mahakama ni chombo cha kisheria, kinachoamua na kutoa haki za watu kwa kutafsiri kwa usahihi hizo sheria ili kumpa kila mtu haki yake kwa kadiri ya ustahili wake kisheria.. 2. Haina shaka kuwa mchakato (process) yote ya mashitaka ya Tundu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuelekea Sep 15: Macho yote kumchuzi, nyuzi nyingi kuhusiana na Lissu humu ziko kupima maji. Tujipange kusuka au kunyoa!

    Si haba kujua wahuni wamejaa kote mtaani na wengine mitandaoni wakitumia VPN, wakipima maji. Wenyewe wakiita wakiusoma mchezo. Kwa hakika kama uraiani kutakuwa hakusomeki na ni salama zaidi kwao, TAL ataendelea kubakia korokoroni. Na huo ndiyo ulio ukweli mchungu na kinakachotokea Sep 15 wala...
  3. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwa mimi ni mnufaika wa CCM sana ila nashauri Tundu Lissu anapaswa alindwe sana

    Watu kama Tundu Lissu ni adimu sana. Hawapatikani mara nyingi. Nashauri tutumie akili zao kwa manufaa ya nchi. Chadema msiwe wabinafsi. Akili ya Lissu msitake itumia ninyi peke yenu. Inatakiwa ifaidishe Taifa. Tunaomba Nchi nzima ipambane kuhakikisha Lissu anatumika kuisaidia kwenye mambo mengi...
  4. JamiiForums Tanzania Wanasheria msaada tutani, Mh Lissu Jumatatu atafutiwa kesi na KUKAMATWA Tena na kufikishwa mahakama ya kisutu je ITAKUWA sawa?

    Wanasheria msaada tutani, Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu? Msaada wazee najua...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI Sanamu ya Lissu yazinduliwa Arusha

    Au hii habari ni fake news?
  6. JamiiForums Tanzania Wanaopenda haki siyo rafiki wa maovu

    Bahati siyo yetu Tanzania au Afrika kwamba binadamu mwenye uwezo wa aina ya huyu anakuja na kuondoka na hawezi kutumika ipasavyo. Kwanza wanapenda HAKI na ujue kabisa watu wanaopenda HAKI siyo rafiki wa maovu. Vinginevyo kwa haya tunayoendelea kusoma anayomwaga huko mahakamani eeh bana NO...
  7. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu: Rais ana kinga ya kushtakiwa sio ya kuwa shahidi

    Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imeahirishwa mpaka September 11, 2025 ambapo Tundu Lissu atakuja kwa ajili kukamilisha kutoa mjumuisho baada ya Jamhuri kueleza hoja zao kuhusu mapingamizi yaliyowekwa. Ikumbukwe Lissu katika hoja zao anadai kwamba baadhi ya mashahidi wake ambao aliwataja...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ndio hotuba ya Tundu Lissu itakayoishi miaka 10,000 ijayo

  9. JamiiForums Tanzania Kumfunga, kumzushia, kumshitaki na kuzuia Lissu asigombee Samia anaogopa kilichowapata hawa?

    Joyce Banda (Malawi) kama Samia, aliangukia urais baada ya kufa rais naye akiwa makamu wake akatawazwa. Banda aligombea urais na kubwagwa na Profesa Peter Mutharika mdogo wake marehemu Bingu wa Mutharika mwaka 2014. Nchi ya jirani ya Zambia, Banda mwingine, yaani makamu wa rais Rupia Banda...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu anaandika historia mpya ya Tanzania hasusani Tanganyika

    Kuanzia sisi tuliojaariwa uhai na mwenyezi Mungu sasa hadi vizazi vyote vinavyokuja vya Tanzania na hasa Tanganyika historia ya Nchi yetu hatutaisimulia kwa kuwaeleza kina Mkwawa au Nyerere kama mashujaa wa hili Taifa. Kuanzia sasa historia ya nchi yetu hasa kwenye mapambano ya haki sawa kwa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama CHADEMA wazuiwa kuingia mahakamani kesi ya Lissu

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya Mwenyekiti wao inaendelea kusikilizwa, kwa madai kwamba ukumbi wa mahakama ni mdogo. Wanachama hao wamelalamika kwamba kitendo hicho...
  12. JamiiForums Tanzania Tunataka waliogushi nyaraka kwenye kesi ya Lissu washtakiwe

    Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na...
  13. JamiiForums Tanzania Wazo Fyatu: Tundu Lissu Asijitete - Ameshakubali hatima yake mikononi mwa watawala!

    Na. M. M. Mwanakijiji Mashtaka ya tuhuma za Uhaini dhidi ya Tundu Antipas Lissu hadi yalipofikia sasa hivi yanatuelekeza kuwa mashahidi wa viti vya mbele vya mashtaka ya Tundu Lissu dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Japo kesi hii imeletwa na watawala katika jitihada za kumnyamazisha...
  14. JamiiForums Tanzania Godbless Lema aibukia Mahakama kuu kesi ya Lissu ikianza kuunguruma leo Septemba 8, 2025

    Mjumbe wa Kamati Kuu Mhe. Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kanda ya Unguja Mhe. Hashim Juma wakiwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu ambapo leo itaanza kusikilozwa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tusisahau: Mateso, Kifo na Mateso ya Tundu Antipas Mughwai Lissu

    Habari za Wakati huu; Kwanza nianze kwa kusema tu kwamba kwa wale ambao jana walisahau basi jana ilikuwa ni Siku muhimu sana kwa historia ya nchi yetu.Kwa mujibu wa Taarifa za kihistoria Jana tarehe 7 ya mwezi wa Tisa ya mwaka 2017 ilikuwa ni siku ambayo kwa mara ya kwanza Mbunge wa bunge la...
  16. JamiiForums Tanzania Tarehe ya Leo , sept 7 , tuitumie kumuombea Ndugu Tundu Lissu yeye na familia nzima ya CHADEMA

    Leo September 7 , tuitumie kumuombea Ndugu Lissu yeye na familia yake pamoja na CHADEMA.
  17. F

    JamiiForums Tanzania Nataka nijue kama muda alokaa Lissu jela umeshafikia ule aliokaa Mbowe halafu nitasema kitu

    Wenye kumbukumbu sahihi tafadhali niambieni kama muda alokaa Tundu Lissu jela kwa sasa kama umeshafikia muda aliokaa jela Freeman Mbowe. Nikijua basi nitaweza kusema kitu flani hapa.
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe ni mlamba asali Lissu ni mwanaharakati unaweza umia kipuuzi na usifanikiwe kwa lolote

    Kama Mbowe ni mlamba asali na Lissu ni mwanaharakati wa haki kama anavyoitwa na wafuasi wake waliokuwa wafuasi wa Mbowe hapo awali kwa hali ya Tanzania na watanzania mbowe katumia akili lissu akiendelea na harakati hisia zitakuwa zimezidi akili. Kwa Watanzania ni bora siasa za ulamba asali za...
  19. JamiiForums Tanzania Rose Mayemba: Rais Samia, umemfunga Lissu na kuzuia CHADEMA, umepoteza ushawishi

    Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika...
  20. M

    JamiiForums Tanzania I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

    Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea. tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !! Tunaingia stage mpya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…