lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Yumkini kesi hii ni kati ya Lissu na Rais Samia

    Mbona kesi hii inaendelea kupigwa tarehe tu kila siku bila kikomo? Mbona Mahakama haitaki kuipeleka kesi hii panapohusika haswa, yaani Mahakama Kuu? Kwanini Mahakama Kuu inakuwa na kigugumizi na kushindwa kutoa uamuzi mara moja hadi mtuhumiwa mwenyewe anaomba kesi iende mbele kwenye Mahakama...
  2. Mto wa mbu

    Lissu kuwa mjanja husifungie kesi kupinga mashaidi wa siri, na wakitoa ushaidi usiwaoji(cross examination) waache waende tujue mwisho wao

    Nchi yangu imeharibika sana, Kinachoendelea Tanzania ni uchafu mtupu, kinachoniogopesha -viongozi Hawana Tena hofu ya Mungu, yaani mijamaa mikatiri sana. Lissu be smart, husifungue kesi kupinga kanuni za kulinda mashahidi, waache walete mashahidi wa Siri, wakimaliza kubwabwaja husiwaulize...
  3. Waufukweni

    VIDEO: Tundu Lissu anyimwa Maji ya kunywa Mahakamani, Hakimu atoa utaratibu

    Wakuu! Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amenyimwa maji ya kunywa mahakamani aliyokuwa akipewa na kaka yake wakati wa usikilizaji wa kesi yake ya uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
  4. Prof_Adventure_guide

    Tundu Lissu na Mapambano ya Kikatiba: Tunapojifunza Sheria, si Kusikiliza Kejeli za Mawakili wa Serikali

    Leo hii, Tundu Antiphas Lissu, mwanasheria wa kiwango cha juu, anarejea katika chombo cha haki — mahakama — si kwa ajili ya maigizo ya kisiasa, bali kwa ajili ya kuitafuta na kuisimamia constitutional justice kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
  5. Idugunde

    Tafiti za kisayansi zimeonyesha CHADEMA hii chini ya Lissu haiwezi kusambaratika kwa fedha na nguvu ya mahakama

    Naona mshikamano ni mkubwa sana kwa wanaChadema kwa sasa. pamoja na mizengwe ya utawala wa CCM Mimi mwenyewe nashangaa huu mshikamano unatoka wapi. Kesi za kubambikiwa na kuzuiwa kufanya shughuli za siasa kupitia matapeli wa huko Kizimkazi. Bado watu wapo imara.
  6. K

    Tanzania ni nchi ngumu ukiwa Mzalendo. Mbatia, Lissu na wengine Mungu atamuongoza kwa uzalendo

    Mbatia ni mfano wa uzalendo. Ukikaa kuhogwa watachukuwa kila kitu ulichonacho!!!. Tanzania ni pagumu kwa watu wazalendo kama Mbatia na Lissu. Lakini machawa kwa upande mwingine na wala rushwa au kwa wale waliokuwali kuhogwa kama Chaumma ndiyo wanapewa pesa. Tushukuru tuna wazalendo wachache...
  7. naliwe

    Mkatae mkubali Makonda amezaliwa kuwa mwanasiasa ila Lissu kwenye siasa analazimisha

    Ukiangalia hatua unazopiga makonda, unajua tu nini anategemea hapo mbele, huwa hafanyi vitu kwa bahati mbaya, anakwenda kwa hesabu na naamini mwakani atapata kile alichokua anakipambania, Lissu hana mipango ya kesho yake, anaenda tu kama gari lililokosa mwelekeo, siasa za mtandaoni zimemponza...
  8. Idugunde

    Tundu Lissu ndie mwanasiasa anayekubalika kwa kusimamia haki Afrika na dunia nzima. Anajulikana kuliko hata baadhi ya marais wa Afrika

    We fikiria bunge la Ulaya linajadili mustakabali wake kisiasa na kimaisha. Bunge la senate la Usa linajadili musfakabali wake kisiasa na kimaisha. Huyu mtu anakubalika dunia nzima na anawazidi hadi baadhi ya marais wa wa Africa.
  9. 05CUBA

    Baada ya myaka mi5 tutakuwa mikononi mwa wahuni at 100% (kabla hatujaufikia uchaguzi tujue hili)

    Nanukuu nilichojifunza kwenye interview ya mzee BUTIK nachangany ana zakwangu. Hebu piga picha ya kina unaposoma uzi huu, piga picha ya kina ambacho nchi yetu inazidi kudidimia ktk misingi ya demokrasia na namna nchi inavyoendeshwa kiujumla. Kwanza niwasalimu Salaam the learned ones and dear...
  10. Fbn

    Ulinzi wa Tundu Lissu unajambo fulani ambalo siku moja anaweza kutueleza tukabaki mdomo wazi

    Kuwekewa walinzi wengi mpaka wengine na mabunduki kwenye kesi ya mchongo kutoka juu ni wazi kuwa kama angekuwa mtu wa tamaa ya pesa na maisha mazuri basi angekubari. Wanachofanya kumuwekea ulinzi mkali na kuzuia watu kumuona ni kwa ajili yao kujaribu kumuomba kusitisha kama No reform No...
  11. VUTA-NKUVUTE

    Tundu Lissu: Turufu pekee iliyobaki kwa Rais Samia

    Najua hamtaniamini. Najua mpo mtakaobisha vya kutosha na kutisha. Mtapaniki kuliko pikipiki ya kutumia kiki. Lakini, nawaambia jambo hili. Ni jambo geni na kubwa lakini muhimu na linalowezekana kwenye siasa za sasa. Siasa za sasa zinahitaji amshaamsha. Haifichiki tena kuwa mambo ndani ya CCM...
  12. Griss

    Kama ni Samia, Lissu ndiye Rais ajaye wa Tanzania

    Kama CCM haitashafishwa na wataruhusu mla rushwa namba moja kugombea. Lissu ndiye Rais ajaye Wajumbe wa CCM jifunzeni kwa wajumbe wa chadema walichomfanyia Mbowe fanyeni hivyo hivyo. Lasivyo Chadema ya Lissu inaenda Ikulu mwaka huu maana reform lazima zifanyike hata mfanye kitu gani...
  13. DuaZaMama

    Kihongosi: Kikinuka hapa Lissu ana endazake Ubelgiji

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Kihongosi amesisitiza umuhimu kila mwananchi ikiwemo Vijana wa Mkoa wa Arusha kulinda na kutunza amani na utulivu wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka huu, akiwahimiza kujitenga na wenye nia ovu na wanaohamasisha vurugu na maandamano ya kisiasa...
  14. N

    Mheshimiwa Rais Samia S Hassan,naomba umfree Lissu tafadhali

    Wabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
  15. M

    Ukiondoa Uanachadema na mapenzi makubwa kwa Lisu! Unaamini misimamo ya Lissu itaponya Taifa letu? Nini maoni yako

    Salaaamu Wanabodi....! Ngoja tutete kidogo, imma kwa Rais wetu ajaye ama vyovyote iwavyo Tangu nimezaliwa hadi leo, nimebahatika kumuona tu kwa kipindi kifupi sana Baba wa taifa hili Mwl Julius Kamabarage Nyerere na siyo kuishi kwenye utawala wake Ila nasikia huyu baba alikuwa na misimamo...
  16. LIKUD

    Nipo na " Mstudy" Lissu kwenye laboratory yangu. Bado sijamuelewa vizuri huyu kiumbe

    Na mstudy Lissu kwenye maabara yangu. Bado sijaelewa ni kiumbe wa namna gani... Hafanyi vitu vya ajabu sana lakini still bado ana nguvu kubwa sana ya watu wanao mpenda na kumkubali. Watu wa dini zote itikadi zote.. Pia anaonekana ni mtu ambae ukishindana nae, inaibuka nguvu isiyo onekana...
  17. Mbepo yamba

    Ulinzi mkali Dar. Ni kama na leo kuna kesi ya Lissu. Kinachojiri ni nini

    Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
  18. Mbepo yamba

    Endapo reforms zote kubwa zinafanyika, Je Lissu awekwe meza moja na akina Nyerere kwenye historia?

    Amekuwa tayari kupitia njia ya kunyongwa mpaka kufa. Sasa kuna fununu la mwangwi mkuu wa mageuzi. Endapo yakatokea tuone atawekwa wapi na historia
  19. Mzalendo2015

    Mshtakiwa Lissu anapo geuka Professor wa Sheria Mahakamani

    https://youtu.be/CgyBs9twems?si=zmVMyhWhW6u4JAPf Tundu Antipasi Lissu amethibitisha kuwa ni mwana sheria nguli aliyebobea katika maswala ya sheria za Kitaifa na Kimataifa. Msikilize hapa. Utapenda 😁🤣
Back
Top Bottom