lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    GE2025 Tundu Lissu: Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, wanaoomba huruma ni wenye hatia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu amesema "Mimi siombi Huruma ya Mahakama, Sitaomba na sitaki huruma ya Mahakama, nachotaka na ambacho nakisimamia utaratibu wa Mahakama usichezewe"
  2. fasiliteta

    Suluhu pekee ni Reforms na kumuachia Lissu

    Maana kwa sasa ni pamoto sana, Mama Samia muachie Lissu, fanya Reform na ingia kwenye uchaguzi bila kuogopa kitachotokea na ndiyo heshima kubwa utaiachia nchi hii. Wananchi watakutetea sana, ila makada unaowaamini na umekaa nao ndio hao sasa kina slow slow wamezanza kutoka na wapo wengi mpaka...
  3. Wakusoma 12

    Adui wa Samia siyo Lissu wala Chadema.

    Nalizungumza suala hili kwa mara nyingine tena, niliwahi kulisema hili miaka 3 nyuma. Adui wa Samia na CCM yake kwa ujumla siyo Lissu wala Chadema bali ni wanachama wa chama cha Mapinduzi wenyewe. Kinachotokea sasa ni mwangwi wa mshindo mkubwa ambao umeshatolewa. Chama cha Mapinduzi kinaishia...
  4. Carlos The Jackal

    Jeshi la Polisi ,mlimkamata Lissu kisa neno "Tutakinukisha", kwanini hamkamati Zitto Kabwe kwa Uhaini na Uchochezi vurugu alioufanya hapa?

    Mods ,naomba msiiunganishe Huu Uzi !!. Jeshi la Polisi liache Uhuni na Uonevu dhidi ya CHADEMA na LISSU . Wakati Zitto Kabwe akiendeleza kufanya Islamic Radicalization Ndani ya Mikoa inayokaliwa na Idadi kubwa ya Waislam, Akiwachochea Kufa Kwa ajili ya kulinda Kura, Ni majuzi tu kanukuliwa...
  5. LIKUD

    Kinacho waponza Lissu na Chadema ni kutokujua hesabu. Nashauri Lissu ukitoka ndani rudi darasani ukasome upya hesabu

    Ndugu zangu watanzania, somo la hesabu halikwepeki. Hesabu ndio mama wa maarifa yote duniani. Hesabu hazidanganyi. Mathematics co-exist with nature. Mathematics is the language of the universe. Mathematics is the language of mother nature. Mathematics is the language of God himself. Huwezi...
  6. chiembe

    Kwanini viongozi wakuu wa CHADEMA leo hawajahudhuria kesi ya Lissu Mahakama Kuu?

    Nimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
  7. M

    Wanasheria wa Lissu hawajui suala la muda katika kumaliza kesi

    Mawakili wanaojiita WASOMI wa CHADEMA wanashindwa kugundua hilo, kesi kila siku mapingamizi hayaishi kesi itaishaje jamani hawajui value ya muda katika kesi ndio linawa cost mwaka utaisha wapo kwenye mapingamizi kesi haijaanza halafu wanakuja kulaumu mahakama wakati wanashindwa kucheza na muda...
  8. Scared

    Namshauri Lissu akitoka aachane na siasa. Aungane na CCM ale pesa umri umeenda

    Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka, wanaishia kukomenti "no reform no election" mtandaoni kama wanaangalia muvi. Kinachonifurahisha...
  9. Lord Denning

    Taifa ambalo watu kama Tundu Lissu na Prof. Assad wanafanyiwa fitna ili wasiongoze Taasisi na Watu haliwezi pata Maendeleo ya kweli kamwe.

    Kama wewe ni binadamu na unafikiri vizuri. Fikiria namna Prof. Assad alivyo na madini ya maana kichwani kwake, alafu fikiria kuwa mtu wa namna ile alifanyiwa fitna na kuondolewa kwenye Cheo cha Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ili asiiambie ukweli Serikali mabaya yake kuhusu matumizi yasiyo...
  10. Waufukweni

    Tundu Lissu akiwa Mahakamani: Jamani huko Uraiani kukoje?

    Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Taifa, Antiphas Mughwai Lissu Mahakamani leo Julai 11, 2025. == Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 11, 2025 ambapo Mahakama kuu inatarajia kutoa uamuzi wa...
  11. Nipe Maji

    PreGE2025 POTOSHI Kauli ya Rose Mayemba kuwa uwezo wa Mwenyekiti kuipeleka CHADEMA mbele umeisha ilimlenga Lissu

  12. Idugunde

    CCM mbona wanahangaika sana! Propaganda za kipuuzi kama, haziwezi kuimaliza nguvu CHADEMA ya Lissu labda angekuwa Mbowe

    Lissu anakubalika kama shujaa na mkombozi wa kweli acheni siasa za kiduanzi 👇
  13. britanicca

    Nani Atamwokoa Tundu Lissu, Mwanaume Anayeota Tanzania Tofauti?

    Inamhusu Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani Tanzania aliyenusurika jaribio la mauaji 2017 (risasi 16). Akiwa uhamishoni Belgium, anawania urais 2025, akisukuma demokrasia, kupambana na ufisadi na mageuzi ya haki za binadamu. Inatoa wito wa msaada kimataifa kumkinga na vitisho. Kutoka kikundi...
  14. E

    Sheikh Mawinda: Sikumaanisha Lissu auawe

    Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, amesea kauli yake kuhusu wanaovunja amai nchini aliyoitoa Julai 5, 2025 haikumaanisha kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu auawe. Akizungumza katika uzinduzi wa kanisa la Arise and Shine uliofanyika Julai 5...
  15. Carlos The Jackal

    Huyu Anayejiita Sheikh Mawinda, mwanaCCM wa Kwa Mwaposa, sikieni utetezi wake dhidi ya Kauli ya Kukata Kichwa

    Kila siku nasema, Huwezi kua na Akili yaan Akili na mwenye Elimu ya kutosha isokua na Kona Kona alafu ukafurahia Matendo ya Jinai yaliyo kinyume na KATIBA Kwa KISINGIZO CHA KULINDA AMAN. Ni Hivi anayetishia Amani, nyuma yake kuna sababu, hizo sababu zake ikiwa zimebeba Masilahi makubwa ya Taifa...
  16. Knock life

    Kesi ya Lissu ndo ipo number moja trending youtube

    Huyu jamaa anapendwa Sana na kufatiliwa mno.
  17. Abraham Lincolnn

    Watanzania tutakuwa wajinga mpaka lini? Kukamatwa kwa Lissu, Jeff na wengine ni kutokana na misimamo ya NRNE si kingine

    Nguvu kubwa sana inatumika kuzima huu moto, Watu wameuawa, wengine wamejeruhiwa, wengine wamepewa kesi za uhaini na uhujumu uchumi, kisa tu wameonyesha msimamo kwamba tume ya uchaguzi si huru na reforms zinahitajika au kwa kifupi NO REFORMS NO ELECTION Kwa kusimama kwao katika haki imekuwa...
  18. Idugunde

    Huyu Sheikh aongezwe kwenye rodha ya Mashahidi wa Jamhuri dhidi ya Lissu. Alisikia kwa masikio yake juu kukinukisha ili uhaini ufanyike

    Pamoja na kutoa baraka kwa vyombo vya dola kuwapoteza Watanzania ili amani iendelee kuwepo. Sheikh huyu amedai kuwa yeye alisikia kwa masikio yake Lissu akisema tutakinukisha. Amekazia kuwa Lissu alipelekwa Mahakamani ili akatoe tafsiri sahihi ya kukinukisha. Kwa mantiki hii na muktadha huu...
  19. Kekule Wa Benzene Ring

    Kesho nasi tumuombee Tundu Lissu apate kibali zaidi kama leo alivyoombewa mheshimiwa

    Nilikuwa nafatilia online uzinduzi wa Hema jipya la Arise and Shine ya mwamposa pale Tanganyika peckers (KAWE) nimeona Siasa imezidi badala ya Kumuabudu Mungu. Kila mtu awe mtumishi au kiongozi alipopanda jukwaani ilikuwa ni kumnadi mama na mwisho wa SIKU BONIFACE MWAMPOSA mwenyewe akaarika Timu...
  20. britanicca

    Update : Lissu siyo Mgonjwa, Taarifa ya muda huu jion hii

    Tundu Lissu yuko Imara na SALAMA na anawakumbusha akitoka ni mchaka mchaka Nimewasiliana na mtu wa karibu sana wa kwake aloenda kupata taarifa baada ya Uzushi Anasisitiza yeye si mtu wa nusu mkate wala kuhongwa yeye ni mtu wa kusimamia anachoamini kitaleta manufaa kwa nchi Britanicca
Back
Top Bottom