Njoo mumtetee Mwenyekiti Lissu

Njoo mumtetee Mwenyekiti Lissu

Hiyo ruhusa ya maandamano ya kidemokrasia ilishawahi kutolewa na polisi?
 
Kwanini amevaa T-shirt ya CHADEMA? Very stupid
UVCCM/Green Guard huyo...
Ndiyo Project za akina Habib Mchange,Mwakibinga na Yeriko Nyerere eti kuharibu taswira ya CHADEMA-amevaa na T-shirt yenye nembo ya CHADEMA...Upuuzi kweli..

Kwanza Mzee Wassira alishasema hapakuwa na Machafuko 29/10/2025....na huyo ndiyo Kiongozi Mkuu wa Pili wa Chama Tawala???!!
 
Back
Top Bottom