lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli mbiu ya Uhuru na Kazi yampaisha Tundu Lissu

    Ni ukweli uliowazi Sasa kwamba mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ni kama amewameza wagombea wenzake na hawasikiki tena. Tangu ateuliwe na chama chake CHADEMA na kisha kuchukua fomu za kuteuliwa kutoka tume ya uchaguzi NEC Lissu amekuwa gumzo kila kona huku akijadiliwa zaidi kupitia...
  2. JamiiForums Tanzania Umati wajitokeza nje ya jiji la Mbeya kumlaki Tundu Lissu akiwa bado Iringa, ataingia Mbeya usiku ila wamekusanyika ili wamlaki

    Aisee huu mwaka mambo yamebadilika kabisa. Hapa ni Mlima Nyoka watu wamekusanyika kupokea ujio wa Lissu ambaye anakadiriwa kuwa umbali wa kilomita zaidi ya 150 kufika hapo walipo. Ikumbukwe kutokana na msafara wake jana kusimamishwa mara kwa mara alishindwa kuhutubia mwembe togwa Iringa na...
  3. JamiiForums Tanzania Namfananisha gentamycine na Tundu Lissu

    Namfananisha ndugu yangu GENTAMYCINE Na Tundu Antipas Mughway Lissu. Hii ni kwasababu sifa zote za GENTAMYCINE alizonazo au anazojinasibisha nazo ni za Tundu Lissu. Mfano Charismatic fella Pure talented Entertainer Game changer Hizi sifa zote ni za Lissu. Hivyo sikosei kusema GENTAMYCINE ni...
  4. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Lissu 100% mimi ni shuhuda na muhanga

    Mimi sio mwanasiasa wala sina chama nimempenda sana Magufuli kwa kiasi chake. Katika kasoro kubwa katika utawala huu ni mamlaka ya kukusanya kodi yani TRA. Kwanza unakadiriwa kodi au kupandishiwa muda wanaotaka wao,kama una biff na afisa utakayemkuta ndio atakuangamiza kabisa. Kuna watu...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akiwa Iringa: Upinzani ni Watu, ukitaka kuua Upinzani ua kwanza Watu

    Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020. UPDATES!! Iringa muda huu kinawaka. Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli. Lissu CHUMA...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Uelewa wa Lissu kwenye uchumi ni mdogo

    Nimefuatilia kauli za Lissu akiwa Morogoro mjini, kasema serikali ya JPM haijaongeza mishahara (General salary increment) na yeye akiingia madarakani ataongeza mishahara kulingana na hali ya uchumi ili kupunguza ukali wa maisha. Ni kweli "General increment" kwenye salary adjustment hufanyika...
  7. JamiiForums Tanzania Mbeya: Magari yote ya Matangazo yatakiwa kusajiliwa upya kwanza kabla ya kutangaza chochote

    Kama mnavyotambua ujio wa Mh Lissu Mbeya ni alhamis hii kwa Jiji la Mbeya, Mamlaka imeziamuru gari zote za matangazo kufanya usajili upya kwanza kabla ya kutangaza matangazo na gari yeyote itakayobainika kufanya matangazo bila kuruhusiwa hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kufutiwa kibali kabisa...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Tofauti kadhaa kati ya Lowassa (2015) na Lissu (2020)

    Bila kupoteza muda 1. Lowassa alikuwa delusional, nikimaanisha alikuwa anaamini atachukua nchi asubuhi na mapema hii ni kwa sababu alikuwa na "marafiki" kila sehemu. Lissu yeye kwa maneno yake anaamini kinyume chake kwamba Uchaguzi utakua mgumu, usio huru na haki hivyo ni lazima wajipange. 2...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kwenye mikutano yako ongelea suala la kurudisha Bunge Live, kurekebisha Makato ya Bodi ya Mikopo na suala zima la Mafao ya Wastaafu

    Kamanda Lissu; nakushauri,pamoja na mambo mengine, usisahau kuongelea mambo hayo matatu yanayogusa na kuumiza wananchi wengi wa nchi kama ulivyozungumzia suala la TRA na wafanyabiashara pamoja na swala la wafanyakazi kutoongezewa mishahara siku ya jana mkoani Morogoro. Awamu hii ya tano...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu awasha moto Morogoro: Umma wampokea kwa kishindo

    Vijana walisema kitimutimu kimeingia leo, kwenye myumba ya Shetani Mwendawazimu kaingiaje? Kweli msemo huo wa vijana ulikuwa na maana pana ya kifalsafa ndani yake. Jana Tundu Lissu katia timu katika ngome ya CCM ya Morogoro mjini na kisha kwenye Jimbo la Mikumi lililo chini ya profesa J na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Polisi wakisindikiza msafara wa Lissu unaoshangiliwa na kupungiwa mikono na maelfu ya wananchi

    Hiyo ni Mikumi, Morogoro siku ya jana akiwa njiani kuelekea Iringa.
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Tundu Lissu anaweza kuwa kiongozi mzuri wa Taifa?

    1. Anaijua sheria ataongoza taifa kwa misingi ya haki 2. Hana tamaa ya mali, hatokimbilia kujenga mahekalu kwa na kiwanja cha ndege cha kimataifa kijijini kwao Mahambe, hawezi, hawezi hubadili msitu wa Mahambe kua hifadhi ya wanyama. 3. Ni muelewa mzuri wa masuala ya kimataifa, atasaidia...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Maelfu ya watu wajitokeza Mikumi kumpungia mkono Tundu Lissu akielekea Iringa, msafara ulichelewa kufika Iringa kutokana na kusimamishwa njiani

    Lissu ni kipenzi cha kweli cha watanzania. Usisingizie kuwa umejenga miundombinu huku unakandamiza uhuru! Ni kosa kubwa mno!
  14. JamiiForums Tanzania Tangu Lissu arejee nchini hadhi ya CHADEMA kisiasa imepanda mno

    Kwanza kabisa heshima kubwa iende kwa Kamanda Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA. Mbowe amefanya kazi kubwa sana kukiweka katika chati chama hiki kwa gharama ya kufilisiwa utajiri wake, kufunguliwa makesi ya hila, na kuumizwa mwili. Kama kiongozi hajatetereka kabisa. Ni kiongozi bora...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Wasiwasi wangu ni kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi lazima itamkata Lissu kwa kile itachodai kufanya Mikutano ya hadhara

    Hii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani. Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Wakazi wa Iringa wajitokeza kumpokea Tundu Lissu

    Wape salaaam. Baba yupo Iringa anaipigania haki ya kweli. Upendo wa kweli kutoka moyoni, hawakuchoka kumsubiri
  17. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Tundu Lissu, mjini Morogoro leo

    Mikumi kata ya Ruaha
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama juma moja tu la Tundu Lissu kusimama jukwaani akitafuta wadhamini limewafanya CCM watafutane kwa kurunzi, siku 60 za kampeni itakuwaje?

    Kuanzia Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli, mwenezi Polepole na makada wengine ni kama vile wamepigwa ganzi! Maendeleo waliyohubiri kuyafanya kwa miaka mitano yameyeyuka mithili ya theluji kwenye joto la jua! Stigler's, flyover, ndege na SGR zimewekwa kwenye mizani ya uhalisia wa maendeleo ya...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA mmekosea sana kumpitisha Tundu Lissu kuwa Mgombea Urais

    Ni makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea. Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha pressure na mihemuko Kwa kipindi hiki ni kama hawana Mpinzani katika nafasi ya Uraisi, Tundu Lissu...
  20. JamiiForums Tanzania Ukimuacha Tundu Lissu, hivi kuna Mtanzania mwingine ameshawahi kuhudhuria kipindi cha HardTalk?

    Tundu Lissu ni mtu mmoja anayejua kujenga hoja sana. Amethibitisha kwamba yeye si mahiri ndani ya nchi tu, bali pia kwenye majukwaa ya kimataifa ambayo yanatisha kwa mtu asiye na uzoefu. Tofauti na "waandishi" wa habari wa Tanzania ambao hawajui hata kuuliza maswali magumu, waandishi wa habari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…