lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkutano wa Lissu waahirishwa Ukerewe, figisu zatajwa

    Leo jumamosi 26.9.2020, mgombea Urais kupitia CHADEMA, mhe. Tundu Lissu alitarajia kufanya mkutano mkubwa jimbo la ukerewe kwenye viwanja vya stendi mpya mjini nansio. Umati mkubwa wa watu ulijotokeza kwenye viwanja hivyo kumlaki na kusikiliza sera zake ambapo kwa mujibu wa ratiba ulikuwa...
  2. S

    CCM fahamuni ushindi wa Lissu mnaweza kufananisha na reli ya standard gauge

    Kama bado hamjaelewa basi mfano hai ndio huo Lisu anashinda na ameshapita vibaya sana,pangeni mkipangua ,yaani kubalini tu ,msitake kufanya mizengwe,huu wakati sio,kuna maisha baada ya uchaguzi,japo hamna hamu nayo,lakini yanini yote,sisi sote wamoja hakuna mlete sababu ya kulinda kisicho...
  3. Lissu umefanya vema Sana kuwasihi na kuwapa mwelekeo chanya Wanajeshi.

    Umefanya vema Sana ndugu Lissu kuwaomba wanajeshi,amabao Ni JW,Polisi,Magereza,Tiss,uhamiaji,mgambo n.k wasije wakatumiwa na wanasiasa kuwapiga Watanzania wenzaob kwa mamilioni watakaokataa kuibiwa ushindi.kwani ushindi wa mamilioni ya Watanzania Ni ushindi wa Majeshi. Yetu pendwa. Pia...
  4. Picha zingekuwa zinatoa taswira ya mshindi basi Lissu ungekuwa huna chako!

    Hii kampeni ya kuhakikisha hakuna shina litakalochipua naona inafanya kazi sawasawa na mpaka kesho bado kazi inaendelea... --------------------------------------------------------------- Picha ya chini anayemfaham huyu dada naomba amsalimie nampa 👊 yake na 🙏.
  5. C

    Tundu Lissu alisema: Kuna vitu havihitaji utoe pesa ili upate pesa bali unahitaji akili pekee ili upate pesa, what a great thinker we have?

    Wanachama wa JamiiForums nilipotea kidogo maana nilighafilika kuona nyuzi zangu zote kuhusu kumkampenia Tundu Lissu na kusema Magufuli hafai zimefutwa. Leo nimekuja na maneno machache aliyoyasema Lissu akiwa na waandishi wa habari kwamba "kuna vitu havihitaji utoe pesa ili upate pesa bali...
  6. Nilipomuona Lissu jana hapa Mwanza machozi yalinitoka, hakika Mungu yupo na anaishi

    A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na za ulimwengu wake! Hakika Mungu yupo. #Ni yeye 2020
  7. GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Mwanza na Mara

    Yule Mgombea wa Urais anayeongoza kura za maoni Mh Tundu Lissu leo tena anaendelea kukutana na wananchi kwa lengo la kuwaomba kura , ambapo leo atahutubia baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza na baadaye ataingia mkoani Mara Kama kawaida yetu leo tena tutaendelea kuwaletea yote yanayojiri kote...
  8. Q

    GE2020 Tundu Lissu afanya mdahalo na Waandishi wa habari atoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali. Apangua hoja ya kutumika na mabeberu

    "Tofauti ya Mrema, Slaa na Lowassa ni 'organization' wakati wa nyuma hakukuwa na 'organization' ila sasa tunayo, tunaweza kuweka mawakala nchi nzima"- @TunduALissu #“Kutakua na Uhuru kamili wa vyombo vya Habari, katiba yetu haina neno ISIPOKUA, kutakua na Uhuru wa maoni, kutakua na Uhuru wa...
  9. M

    GE2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Tundu Lissu (CHADEMA) na Mkutano Mkubwa wa hadhara Musoma Mjini

    Ni zamu ya Musoma leo. Rais Mtarajiwa Tundu Lissu atatikisa viunga vya Musoma kwenye Mkutano wa Kampeni leo. Ni Kama Musoma imesimama kwa ujio wa Shujaa huyu aliye gumzo Afrika na duniani kwa Sasa. Lissu anayeungwa mkono na Makundi yote hususan wafanyabiashara na Wafanyakazi kote nchini...
  10. N

    Yale majimbo ambayo ccm walipita bila kupingwa, wananchi bado mnatakiwa mjitokeze kupimgia kura Tundu Lissu

    Yale majimbo ambayo ccm wamejipa ushindi, wananchi October 28, 2020 nendeni mkampigie kura Tundu Lisu Kwasababu ccm tayari wameshajipa ushindi, hawachaguliki Kumbukeni wao watateuana na ndio utamaduni wao Tundu Lisu anaomba kura zenu, msije ziharibu kwa kuwapigia ccm ambao wamesha shinda...
  11. B

    GE2020 Wapongezwe wagombea katika kusaka mabadiliko, Lissu hayuko peke yake

    Ma-CCM, mabibi na mabwana. Kumpongeza mgombea kwa kutambua jitihada zake binafsi za kupigania haki na uhuru kwa wananchi wa nchi hii, katika mazingira magumu ni jambo la kheri na lenye thawabu kubwa kwa mwenyezi Mungu. Tundu Lissu kajitoa kupambana vilivyo. Pamoja vizingiti, kejeli, matusi na...
  12. E

    Barua ya wazi kwa ndugu Tundu Lissu

    Nimekua nikikusikia kwenye kampeni zako ukiongea maneno mengi sana ya kuwadanganya na kuwalaghai watanzania kwamba utawaletea mabadiriko na maneno yako kamwe hayawezi kuwa na vitendo. Sote tunajua kwamba kazi yako ya uwakili na uanasheria ndio iliyo kufunza kuongea maneno mengi ili usaidie...
  13. Strategy ya Lissu Kanda ya Ziwa ina mapungufu kidogo

    Nianze kwa kusema, wote tunajua strategy ya ushindi wa Magufuli toka uchaguzi wa 2015 na hata uchaguzi huu wa 2020 imejikita kuhakikisha anazoa kura za kutosha kutoka kwa Wasukuma. Natambua huko Kanda ya Ziwa kunajumusha pia mikoa ya Kagera na Mara ambako nadhani Lissu anaenda kufanya vizuri...
  14. Sina shaka na Tundu Lissu, nina shaka na Katiba ya chama chake

    Ndugu wapendwa salaam, leo wakati nawaza nani wa kumpigia kura, pamoja na kuona TAL anaweza kuongoza nikiwa na maana ya kusimamia katiba na Sheria za nchi kuongoza kama Rais jambo ambalo ni udhaifu wa mgombea wa CCM JPM , wakati udhaifu wa TAL ni kwamba tusitegemee maendeleo makubwa ya kiuchumi...
  15. GE2020 CCM twendeni taratibu, Tundu Lissu hayupo peke yake. Atatushinda!

    Nataka niseme kwamba tusijifanye kuziba masikio, Tundu Lissu kupigwa Risasi 16 na kuamka kisha kuendelea na shughuli zake huu ni muujiza tusiupuuze, siyo hali ya kawaida hii. Nataka niwaambie wanaCCM wenzangu kama kuna mtu yupo ndani yetu alihusika na kupigwa na kuumizwa kwa Tundu Lissu huyu...
  16. M

    GE2020 Tundu Lissu na Dkt. Magufuli wajiandae kisaikolojia, lolote linaweza kutokea

    Na: George Kabadi Nimekuwa miongoni mwa wafuatiliaji wazuri wa kampeni za mwaka huu 2020, Naomba kupigana moja kwa moja na hoja za watu wanaodai uchaguzi wa mwaka huu siyo mgumu kama ule wa mwaka 2015. Napigana nao kwa sababu kuu mbili. MOSI, Uchaguzi wa 2015, Edward Lowassa alikuwa na watu...
  17. D

    GE2020 PICHA: Tundu Lissu Misungwi, maelfu ya watu wakishuhudia mkutano wake

    Mkutano: Maelfu ya watu Wilayani Misungwi wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Tundu Lissu Nitaweka link ili mumfuatilie live akiwa Misungwi muda huu. Wakuu najaribu kuweka link inagoma ila mkutano upo live ndani ya Dar mpya online tv Lissu anasema hivi 1. Wagombea wote wa Chadema ngazi ya...
  18. Hoja za Lissu ziko “OK” lakini zinasimamia “Uongozi wa Unyampara” ni vigumu kutuvusha kama Taifa

    Deogratias Mutungi Bwana Tundu Lissu mgombea wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA anajenga hoja na ana hoja pindi anapokuwa jukwaani akinadi ilani ya chama chake, lakini hulka binafsi ya Bwana Lissu kupitia hoja zake zinaonyesha ni kiongozi anayestahili kuwa “Nyampara” na hivyo kupoteza...
  19. GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu Mkoani Mwanza

    Wakuu natanguliza salamu , kama mjuavyo kampeni za uchaguzi mkuu bado zinaendelea , sasa basi leo tena yule mgombea urais anayeongoza kura za maoni atakuwa Mkoa wa Mwanza kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio. Endelea kufuatilia hapahapa JF kwa taarifa za uhakika ========...
  20. Mdahalo mkubwa Kimataifa wa Tundu Lissu na Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo

    TUNDU LISSU anafanya “mdahalo” na Rais wa Ghana kwa kidhugu DUA bringing over 28 influential political parties across the continent to engage on the future of Democracy and Socio Economic Growth. Ideological clarity and Policy is key in delivering a future for Africans
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…