lishe

Ningbo Lishe International Airport (IATA: NGB, ICAO: ZSNB) is the principal airport serving Ningbo, a major city in the Yangtze River Delta region and the second largest city in Zhejiang Province, China.
In 2013, the airport handled 5.4 million passengers, ranking 36th in China. It was the 29th busiest airport in China in cargo traffic in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Pfizer

    Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe, yupo Ethiopia

    Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Bodi ya Nutrition International (Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Bw. Joel Spicer pamoja na Wajumbe wengine wa Bodi kutoka Afrika; Mheshimiwa Joyce Banda Rais Mstaafu...
  2. Lycaon pictus

    Kutokunywa maziwa kunafanya wakulima kuwa wafupi

    Fuatilia jamii za wakulima na wafugaji. Utaona wakulima ni wafupi sana. Watu warefu kabisa Afrika wote ni wafugaji. Wadinka na wasudan kusini wengine, Wamasai, Watutsi, wahausa n.k, na hata kwa kawaida wabantu si warefu (sababu ya lishe duni), lakini Wukuma na Wakurya ni warefu sababu ya kupiga...
  3. Nyankurungu2020

    Inashangaza mkuu wa nchi kutaka wananchi wake wawe wanakula lishe bora wakati hawawezi kumudu bei za vyakula wasizoweza kuzimudu.

    Leo hii bei ya nafaka kama mchele na unga imepaa maradufu kabla ya ya huyu mkuu wa nchi kuingia madarakani. Kabla ya kuingia madarakani mchele ulikuwa ukiuzwa sh 1200 kwa kilo . Sasa hivi Mchele unauzwa sh 3600 kwa kilo. Huko mitaani wananchi wanalia juu ya ugumu wa maisha. Maana uchumi...
  4. Sildenafil Citrate

    Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa changamoto inayowapata vijana wanapotaka kuongeza jamii inatonakana na uwepo wa lishe duni. Ametolea mfano wa matumizi makubwa ya vumbi la mkongo na supu ya pweza kwa vijana wa kiume, pamoja na matumizi makubwa ya chips...
  5. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, katika Jengo la Kitega Uchumi jijini Dodoma Ummy Mwalimu - Waziri wa Afya Lishe bora ni msingi wa afya na uchumi wa mtu mmoja, familia...
  6. Pfizer

    Uwezeshaji wa Mama Lishe 360 kiuchumi

  7. JanguKamaJangu

    Somalia: Watoto 730 wafariki katika Vituo vya Lishe Januari - Julai 2022

    Mamia ya Watoto wamefariki Dunia katika Vituo vya Lishe Nchini Somalia kuanzia Januari hadi Julai 2022 na idadi inaweza kuongezeka kutokana na mazingira ya lishe kutokuwa mazuri. Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa Linaloshughulikia Watoto na Wanawake (UNICEF) zimeeleza hivyo ikiwa ni baada...
  8. Lee Swagger

    Faida za Kiafya za Tangawizi na Vidokezo vya Lishe

    Tangawizi ni mzizi wa mmea wenye faida kubwa tofauti kwa mwili na ustawi wetu kwa ujumla. Kwa muda mrefu, ilitumika katika jamii mbalimbali kwa sababu ya mali yake ya kawaida na ya lishe. Ina athari bora za ustawi na ubora na idadi kubwa ya wanamitindo na watumbuizaji hutegemea kunywa chai ya...
  9. Roving Journalist

    RC Makalla, Awapongeza Maafisa Lishe kwa kufuta rekodi mbaya ya lishe iliyokuwepo

    RC MAKALLA: DSM IMEFANYA VIZURI MKATABA WA LISHE. - Awapongeza Maafisa Lishe kwa kufuta rekodi mbaya ya lishe iliyokuwepo. - Awaelekeza Wakurugenzi kuwawezesha Maafisa Lishe kutekeleza Majukumu yao na kutoa fedha kwa wakati. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Amos Makalla amewaelekeza...
  10. JanguKamaJangu

    Je, unasumbuliwa na Kisukari na unapenda kujitibu mwenyewe kwa lishe? Majibu haya hapa...

    Salama wadau, nimekutana sehemu na hili andiko la ndugu yetu, nadhani linaweza kusaidia jamii, wale wenye Kisukari na ambao hawana kwa lengo la kujilinda -------------------- JE UNASUMBULIWA NA KISUKARI NA UNAPENDA KUJITIBU MWENYEWE KWA LISHE? Katika miaka ya karibu kumekuwa na ongezeko kubwa...
  11. Magheahealthcare

    Matibabu ya magonjwa ya mfumo wa uzazi, kisukari, moyo, mifupa, na mmengonyo wa chakula

    Magheahealthcare Dar es Salaam Ilala. Cantact +255 678 211 747 WhatsApp +256 733 482 038 Call/Massage
  12. beth

    Mitindo ya Maisha yaathiri mifumo ya lishe bora

    Ukuaji wa haraka wa Miji na mabadiliko ya mitindo ya maisha kumesababisha mabadiliko katika Mifumo ya Lishe, na kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) watu wengi sasa hawali Mbogamboga na Matunda ya kutosha Milo hubadilika kwa wakati, ikiathiriwa na mambo mengi ya kijamii na kiuchumi...
  13. nyahinga

    Naomba kujuzwa taratibu za kubadili kazi Ualimu kuwa Afisa Lishe

    Habari JF, Naomba kuuliza utaratibu wa kubadili kazi kutoka kuwa mwalimu na kuwa afisa lishe wa wilaya. Nimesoma BSc. In human Nutrition lakini pia nikasoma postgraduate diploma in education. Kwa Sasa nafanya kazi kama mwalimu, Ila nataka kuhamia kwenye field ya mwanzo. Yaani nataka nifanye...
  14. Doctor MD

    Njia bora zaidi za kupunguza uzito 3-4 kg kwa mwezi kwa njia ya lishe

    LISHE BORA KWA AFYA Fuata maelekezo haya ili uweze kujua aina za vyakula ili kuboresha afya yako. 1. Ulaji wa mboga za majani na matunda mbalimbali ambayo yana rangi tofauti tofauti. Hii husaidia kuzuia magonjwa mbalimbali ambayo ni sugu kwa hiyo fanya ulaji wa matunda kuwa sehemu ya mlo wako...
  15. Tutor B

    Ijue bustani ya asili yenye mimea lishe / tiba adhimu.

    Najua mpo mnaopenda kuenzi mambo ya asili, basi pitia hiyo atacchment naamini kuna kitu utajifunza. Kwa ufupi Posh Garden ni sehemu ambapo tunajishughulisha na uoto wa asili na kufanyia kazi tafiti mbalimbali.
  16. Shadow7

    Uhusiano wa upungufu wa damu na lishe kwa wanawake

    Je, kuna mahusiano au uhusiano wowote kati ya tatizo la upungufu wa damu kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa (miaka 15 mpaka 49), kwa wanawake wajawazito, tatizo la vifo vitokanavyo na uzazi, na tatizo la upungufu wa damu kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5? Ni nadra sana kuona wataalamu...
  17. Miss Zomboko

    Je, wajua umuhimu wa lishe bora katika makuzi ya watoto?

    Wataalamu wa #Malezi wanatueleza kuwa Lishe bora ina mchango mkubwa katika ukuaji na ustawi bora wa mtoto kwani hujenga afya na akili ya mtoto. Lishe bora hujumuisha mchanganyiko wa vyakula vya protini kama kuku wa kienyeji na mayai yake, vitamini yaani mboga za majani na matunda, wanga kama...
  18. K

    Msaada wa mpangilio wa lishe kwa asiyependa kula

    Wandugu nna rafiki yangu kaniomba msaada wa kumuandalia menyu ya wiki nzima kwasababu hapendi kula. Naomba msaada tafadhali
  19. G

    Kwa Taifa lenye mipango na maono mazuri huliwezi kutegemea Machinga na mama lishe kwa uchumi endelevu

    Habarini wakuu, Kwanza nipongeze juhudi mbalimbali za taifa letu katika kujikomboa kiuchumi. Niwapongeze pia vijana wenzangu tuliomua kujiajiri kwa njia mbalimbali Machinga mama lishe boda boda nk. Nirudi kwenye mada yangu , katika kutafakari kwangu nimejaribu kuangalia Mambo muhimu...
  20. Mancobra

    Underground Hip-Hop Tanzania ni chakula cha Ubongo

    Habari za wakati huu wakuu, mimi Ni mdau mkubwa wa game ya Hip Hop ya hapa Bong (mainstream na underground hip hop). Leo nataka tujadili kuhusu hip hop ya bongo especially, underground hip hop. Underground hip-hop Ni aina ya rap inayofanywa na wasanii ambao wamejikita kuelezea matatizo...
Back
Top Bottom