lindi

Lindi is a coastal town located at the far end of Lindi Bay, on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. The town is 450 kilometers south of Dar es Salaam and 105 kilometers north of Mtwara, the southernmost coastal town in Tanzania, and gives its name to the surrounding Lindi Region, one of the most sparsely populated areas of the country. The town population was 78,841 as of the 2012 national census.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji mawazo yenu, nina mpango wa kununua nazi kutoka Lindi au Mtwara kwa bei ya jumla na kuuza Dar

    Habarini Wana JF, Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU. Mtaji laki tano
  2. JamiiForums Tanzania Magari na Abiria Waliokwama Lindi Waanza Kuruhusiwa Kuendelea na Safari

    MAGARI NA ABIRIA WALIOKWAMA LINDI WAANZA KURUHUSIWA KUENDELEA NA SAFARI Magari ya Mizigo, Mabasi na magari mengine madogo yaliyokwama kwa siku sita katika barabara ya Lindi-Dar es Salaam eneo la njia nne (Mikereng’ende) hadi Somanga yakitokea Lindi kuelekea Dar es Salaam yaanza kuruhusiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Magari na Abiria Waliokwama Lindi Waanza Kuruhusiwa Kuendelea na Safari

    MAGARI NA ABIRIA WALIOKWAMA LINDI WAANZA KURUHUSIWA KUENDELEA NA SAFARI Magari ya Mizigo, Mabasi na magari mengine madogo yaliyokwama kwa siku sita katika barabara ya Lindi-Dar es Salaam eneo la njia nne (Mikereng’ende) hadi Somanga yakitokea Lindi kuelekea Dar es Salaam yaanza kuruhusiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya Barabara ya Dar - Lindi Kurejea Kesho, Panapitika: Waziri Bashungwa

    MAWASILIANO YA BARABARA DAR - LINDI KUREJEA KESHO, SOMANGA PANAPITIKA: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa anaendelea kuisimamia timu ya wataalam na Makandarasi kurejesha mawasiliano ya barabara ya Lindi - Dar es Salaam ambapo tayari eneo la somanga limeanza kupitika na...
  5. JamiiForums Tanzania Bashungwa Apiga Kambi Lindi, Kuhakikisha Barabara ya Dar - Lindi Inapitika Ndani ya Saa 72

    BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI, KUHAKIKISHA BARABARA YA DAR - LINDI INAPITIKA NDANI YA SAA 72. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na wasafirishaji kuwa ameweka kambi Mkoa wa Lindi kuhakikisha anasimamia timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara...
  6. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Mawasiliano ya Barabara ya Dar - Lindi Kurejea Ndani ya Saa 72

    MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR - LINDI KUREJEA NDANI YA SAA 72: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es...
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Barabara Kuu ya Dar- Lindi imekatika sehemu 2 na kukata mawasilino

    Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili. ==== Serikali...
  8. JamiiForums Tanzania Barabara kuu Dar-Lindi imekatika sehemu 2 na kukata mawasilino

    Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye magari tupo hapa tumekwama tangu Jana. Tunaomba Tanroads walishughurikie haraka hili.
  9. JamiiForums Tanzania Kigoma na Lindi nani kawaroga hii mikoa??

    Kigoma na Lindi nani kawaroga hii mikoa? Kwenu wahusika Pia, soma Wana Kigoma embu jengeni kwenu Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?
  10. JamiiForums Tanzania Katika Cabinet Reshuffle inayokuja soon 'Matege Ndani' anaenda Kuula, ila wa Tanga, Lindi na Singida mnaondoka

    Na sababu Kuu ya Kuongea aliyoyaongea jana ilikuwa ni sehemu ya Makubaliano aliyopewa baada ya Mhusika kuwa Muoga na Kuwaonea Aibu Watajwa kwakuwa anajuana nao Kitambo (wengine kupitia Baba zao) na wengine humpelekea Waganga wa Kienyeji, wengine Chenji za Upigaji zikibaki hummege nae Kidogo. Na...
  11. JamiiForums Tanzania Mvua za mwaka huu hatutazisahau.

    Jana hatari Sana wingi lilitanda Mida ya mchana saa Sita kukawa giza na hapo upepo mkali watu tumejificha zinapiga radi na kuvunja minazi. Wabishi wa kuhama mabondeni wamekubali jinsi maji baridi yanavyotisha wamehama wote wamerudi vijijini na huko mashambani wasio pata na waliopata wote...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

    Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka Kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo.. Watu wa huku wanakatisha tamaa balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na...
  13. JamiiForums Tanzania Lindi mvua kila siku, Mkoa uliopo inapigaje?

    Aisee hapa Lindi mvua mwaka huu imeamua inanyesha kila siku yaani kila kunapokucha tuko nayo ukifua nguo kwenye mvua hizi za kusi basi zitakauka Kwa siku tatu.
  14. JamiiForums Tanzania Picha Yangu: Good morning Lindi

    Hii picha nilipiga tarehe 08/03/2024 asubuhi Lindi - Tanzania. Hakika Tanzania ni nzuri Aiseee. Camera tu ndio unaniangusha sasa Mla Bata njoo huku
  15. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UWT Taifa Mary Chatanda msibani Lindi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiweka Shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Shirini S. Sharifu (mtoto wa Mbunge wa Lindi Mjini Hamida Mohammed Abdallah), tarehe 18 Machi, 2024.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Serikali imejipanga kufungua mkoa wa Lindi kwa kuboresha miundombinu

    SERIKALI IMEJIPANGA KUFUNGUA MKOA WA LINDI KWA KUBORESHA MIUNDOMBINU: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga kikamilifu kuboresha na kufungua mawasiliano ya barabara na madaraja...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa Apiga Kambi Lindi, Barabara ya Liwale - Nangurukuru Yaanza Kupitika

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameipongeza timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), kwa kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara ya Liwale - Nangurukuru ambayo imeanza kupitika. Waziri Bashungwa ameeleza hayo leo...
  18. JamiiForums Tanzania Bashungwa Aagiza Timu ya Watalaam Kurejesha Miundombinu Lindi

    BASHUNGWA AAGIZA TIMU YA WATALAAM KUREJESHA MIUNDOMBINU LINDI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Eng. Aisha Amour kupeleka timu ya wataalam mkoani Lindi itakayohakikisha inasimamia urejeshwaji wa miundombinu yote ya barabara na madaraja...
  19. JamiiForums Tanzania Bashungwa amsimamisha Meneja wa TANROADS - Lindi, akuta mtaalam wa Falsafa na Wananchi wakisimamia ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi na kupelekea barabara kuu zinanounganisha wilaya hiyo na maeneo mengine...
  20. JamiiForums Tanzania Bashungwa Amsimamisha Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi na kupelekea barabara kuu zinanounganisha wilaya hiyo na maeneo mengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…