linauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rcrusso Jr

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa ekari 4. kihamboni

    Enwo la ekari 4. lilipo ni kigamboni ulongoni, jirani na kiwanda cha Afya maji na maziwa (camel) au na dar es salaam zoo.. au walipotaka jenga show room ya magari ya dar nzima... karibu sana .. 0785657273 mawasiliano.. bei ni 21,000,000/acre..
  2. Namche Bazar

    JamiiForums Tanzania House4Sale Boma linauzwa Kichangani Tanga

    Heshima kwenu! Boma pichani linauzwa lipo Kichangani,Tanga mjini umbali wa takribani 15km toka katikati ya jiji la Tanga. Ukubwa wa eneo ni mita 15X20 Boma lina vyumba 7 vyote vina vyoo vyake ndani,pia kuna choo cha public. Umeme na.maji vipo site (havijaunganishwa kwenye boma) Boma linauzwa...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Parachichi India linauzwa elfu tano na hayapatikani

    Kuna kijana anasoma India katika mji mmoja anasema tunda ghali hapo ni Parachichi linauzwa elfu tano ya Tanzania, sasa Sie tuna ndege inaenda India mara mbili kwa wiki hawa wajasiliamali wa sido wameshindwq kweli kuuza Parachichi India?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba kubwa linauzwa Songea

    Shamba linauzwa Lipo kijiji cha Nambendo Songea, kilomita 100 kutoka Songea mjini, lina ukubwa wa ekari elfu mbili (2000) lina hati. Shamba linafaa kwa mazao mchanganyiko kama utavyoona kwenye picha, mpunga, Alizeti, mahindi, pilipili, mikorosho, n.k picha uzionazo ni mazao yaliyolimwa kwenye...
  5. STREET SMART

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja/ Shamba linauzwa Heka Moja Chanika Mwanzo Mgumu

    Habari za asubuhi wadau, nimeshikwa na shida nauza kiwanja changu kilichopo Mwanzo mgumu chanika. Ukubwa hekari moja Bei 2.5m maongezi yapo Mawasiliano piga simu 0718658747
  6. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa Kibaha Mnemela Kibaoni

    Habari wadau, Kuna mama mmoja anauza eneo kibaha mnemela umbali kilometer saba kutoka hospital ya tumbi. Eneo nimeenda kuliangalia leo huko, maeneo ya kibaoni, mbele ya Boko Mnemela. Eneo ni tambarare na lina ekari mbili kasoro kidogo kutokana na kuweka njia kidogo pembeni ukingoni mwa eneo...
Back
Top Bottom