likizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya likizo kwa Watumishi wa Umma hayaendani na gharama halisi za nauli kwenye soko la sasa

    Imekua ni kero kubwa kwa kuwa malipo anayolipwa mtumishi kwa ajili ya likizo hayaendani kabisa na gharama za nauli za mabasi kwa sasa. Fedha ni ndogo na ukiuliza maafisa utumishi wanajibu kuwa ni muongozo wa LATRA na wao hawawezi kubadilisha huo waraka. Niombe LATRA waangalie hali ya maisha na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuhusu Watumishi wa Mikataba Ilala. Mkurugenzi amedanganya!

    Mkurugenzi wa Ilala kasema uongo. Kwanza watumishi wa mikataba ni robo tatu ya watu wa cheki namba. Hao watumishi wa mikataba ndio wanaokusanya mapato yote ilala. Wanalipwa mpaka sasa 340,000 na serikali ilipitisha 500,000. Mshahara wanalipwa mpaka mwezi upinduke, kati ya tar 4, 6, au 8...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Likizo ya Watumishi wa Umma Liwale - Lindi, Idara ya Elimu hayatoki kwa wakati, kuna muda yanachukua hadi miaka miwili

    Watumishi wa Umma, Idara ya Elimu hasa Sekondari Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi hawalipwi fedha zao za likizo kwa wakati, wakati mwingine inaweza kuchukua hata miaka miwili ndio wanakuja kupata malipo. Hata wakiomba kiwango fulani cha nauli, wahusika wanaolipa na malipo wanachofanya ni kukadiria...
  4. JamiiForums Tanzania Guardian, wahariri wako likizo, picha na caption haviendani!

    GUARDIAN NEWSPAPERS, Wahariri wako likizo. Hili ni gazeti la leo.
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO DED wa Rorya tusaidie Watumishi wa Elimu Msingi tulipwe malipo yetu ya likizo

    Mimi ni mdau wa JamiiForums.com nina kero ambayo naomba ujumbe ufike kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya pamoja na ofisini yake kwa jumla. Sisi Watumishi katika ngazi Elimu Msingi hatujalipwa fedha yetu ya likizo tangu Desemba 2024, licha ya kuwa tulijaza fomu ya malipo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania LIKIZO TIME TUITION & PRE FORM ONE (0782044028)- TEGETA NYUKI.

    Tunafundisha masomo yote, kwa O LEVEL & A LEVEL. Concepts & Solving KARIBU
  7. I

    JamiiForums Tanzania Usalama wa watembea kwa miguu na wachuuzi wa biashara Mbagala rangi 3; Mamlaka zipo likizo?

    Hali ya usalama wa watembea kwa miguu ni changamoto hasa kutokana na wafanyabiashara ndogondogo kufanya biashara zao katika njia za watembea kwa miguu. Hii imefanya watembea kwa miguu kupita pembezoni mwa barabara. Hali inayopelekea usalama wao kuwa mashakani. Kinachoshangaza zaidi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania wazazi mnaopeleka watoto wadogo boarding, kuwaamsha saa kumi, kutowapumzisha likizo, halafu bado wana uwezo wa kawaida, mna hali gani ?

    kuwaamsha watoto saa tisa au saa kumi waende shule Kuwapeleka boarding wakiwa wadogo Hakuna mapumziko likizo ni tuition mtindo moja Halafu bado wana uwezo wa kawaida kabisa ama kupitwa na watoto wengine wanaoamka saa moja, wapo day, likizo ni kwajili ya mapumziko hakuna tuisheni. Na hapo...
  9. JamiiForums Tanzania Walimu Mmeshaanza Likizo?

    Wakuu, naomba kuuliza swali lipo hapo juu. Walimu mmeshaanza likizo au bado mpo shule mnafundisha? Naomba kujibiwa na Walimu wote waliopo humu JF. Km mpo likizo semeni kuna jambo jingine nataka kuwauliza.
  10. JamiiForums Tanzania Hivi umeshawahi kujipa likizo na kwenda vacation? Ukirudi productivity inaongezeka au iko vilevile?

    Wakuu, poleni na mapambano. Leo nina swali au mjadala general. Mara nyingi tunakimbizana na mishe za kila siku bila hata kuupa mwili na akili nafasi ya kupumzika, ukiachilia mbali vacation. Vacation inaweza kuwa fupi tu, hata wikiendi moja nje ya mji, lakini matokeo yake yakawa makubwa sana...
  11. JamiiForums Tanzania Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

    GT Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM. Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Taasisi za Serikali hazilipi tena pesa ya likizo kwa watumishi wake

    Heshima yenu wakuu , Rejea kichwa cha habari hapo ,kuna hili jambo limekua sana kwa sasa ,tangu baadhi ya Taasisi kupokea barua ya kufutwa kwa pesa ya likizo maarufu kama mshahara wa 13 kwa mwaka ..Basi na pesa ya nauli ya likizo hawalipi tena . Kulingana na mwongozo wa serikali ni lazima...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Umegundua nini watoto wako au wanafunzi wa boarding wakiwa nyumbani likizo hii ?

    Niliyoyagundua Sebuleni kuligeuka Bedroom siku za mwanzo - TV ilikuwa on muda mwingi, wavulana utawakuta kwenye Game au mabinti kwenye series Chakula tulichowapimia hakikutosha hasa ubwabwa wa usiku, ilibidi vikombe vya ziada viongezwe
  14. JamiiForums Tanzania Yanga wamempa likizo ya lazima Ahmed Ally semaji la CAF

    Semaji la CAF mbona umetelekeza timu yako sio kawaida yako kukaa kimya hivi au ndo umesusa Semaji la CAF mara ya mwisho tulikubaliana na ulisisitiza simba haitaenda uwanjani kama tarehe 15 itabadilishwa Unachofanya semaji kwa kukaa kimya sio vizuri tumemis comedy zako
  15. JamiiForums Tanzania KERO Responded Je, TARURA Morogoro wapo likizo au hakuna bajeti ya ujenzi wa barabara? Wakazi wa Manyuki tunapata shida

    Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa Halmashauri kongwe nchini, lakini kwa miaka mingi kumekuwepo na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara, hasa zile zilizo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA). Barabara nyingi zimegeuka kuwa kero kubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Elimu Ya Tanzania Kwa Watoto Wa Primary Na Secondary Schools Hazina Likizo?! Kipindi Hiki Cha Likizo Nawaona Alfajiri Na Mapema Wakiwahi Shuleni..!!

    Kama mada inavyojieleza kipindi hiki cha alfajiri na mapema nakutana na watoto wadogo kwenye usafiri wa umma.. wakiwahi shuleni. Je, Ndio sera mpya ya elimu?!
  17. JamiiForums Tanzania Serikali inaruhusu watoto waendelee kwenda shule wakati wa likizo kumbe ina ajenda yake

    Ndio maana Serikali inayoongozwa na CCM hawasemi chochote kuhusu malalamiko ya wazazi na wanafunzi kuhusu utaratibu huu mbovu wa kuendelea kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo, ili wafanikishe ajenda zao. Huko Simiyu watoto wa shule za sekondari ambao hawakufunga wamekusanywa wote na sasa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule kutofungwa wakati wa likizo ni udhaifu wa Kamishna wa Elimu na watendaji wake

    Miaka ya hivi karibuni kumekua na tabia imeibuka na imeota mizizi ya kuwanyima wanafunzi haki yao ya kupumzika wakati wa likizo.Shule nyingi zimekua haziwapi likizo wanafunzi mpka mwezi wa 12. Hii ina maana wanafunzi wanasoma mwaka mzima bila kupumzika.Tabia hii ilianza kwa shule binafsi hasa...
  19. JamiiForums Tanzania Likizo time, kwa wazazi tu. Ushauri na maoni

    Hii ni kwa wazazi Tu na walezi, kataa ndoa piteni pembeni. Hapa naomba tupeane ushauri jinsi ya kulea watoto wetu. Kama Una maoni au ushauri ambao unaona inafaa kwa wazazi wenzako pls share hapa Mimi, cha Kwanza nianze kwa Hili Kuna hii changamoto inawakumba watoto wengi. Inatokea watoto...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na Tamisemi ingilieni kati baadhi ya shule zimegoma kutoa likizo ndefu kwa mujibu wa ratiba ya Wizara ya Elimu

    Ni jambo la kawaida kwa mujibu wa mitaala ya elimu nchini wanafunzi wa shule za secondari na shule za msingi kuwa na likizo ya mwezi mmoja kati ya mwezi wa sita hadi wa saba.Hata hivyo , kuna baadhi ya shule zimetoa likizo ya wiki moja tu. Hakuna asietaka mwanafunzi kuwa na ufaulu mzuri, lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…