ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Fiston Tupwisa Mayele Mchezaji Bora Africa kwa Ligi za ndani ya Africa

    Hello JF, Habari ndio hio Fiston Kalala Tupwisa Mayele ndio Mchezaji Bora wa msimu wa 2022-2023 Kwa Kwa wachezaji wa ligi za ndani ya Africa. Hongera Sana Mwamba, The goal machine that scores with precise instinct and always focused. 🙏🙏🙏 Best wishes Mwamba sina ubaya Mimi Simba SC ila...
  2. I

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ligi yetu inapanda viwango, ipi nafasi ya timu yetu ya taifa?

    Mpira wa miguu umechuka nafasi kubwa katika kupanua wigo wa vijana wengi kupata ajira ukihusisha vijana wa kike na vijana wa kiume napa nchini ambapo wengine wamepata nafasi ya kucheza soka nje ya nchi na wengine wamepata nafasi ya kucheza soka ndani ya nchi. mfano oppa Clement. chanzo (...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Simba Kuanzia Round ya pili Ligi ya Mabingwa Africa

    Timu kumi [10] zitakazoanzia 2nd Round yani hatua ya mwisho kwenda Makundi CAFCL 2023/24. 1. Al Ahly SC 🇪🇬 2. Wydad AC 🇲🇦 3. Esperance 🇹🇳 4. Mamelodi Sundowns 🇿🇦 5. Simba SC🇹🇿 6. Petro 🇦🇴 7. Tp Mazembe🇨🇩 8. Enyimba 🇳🇬 9. CR Belouizdad 🇩🇿 10. Pyramid FC 🇪🇬
  4. JamiiForums Tanzania Simba Sc kuanzia Round ya Kwanza Ligi ya Mabingwa

    Tumepokea taarifa kwamba Simba Sc na vigogo wengine wa Super League, wataanzia round ya kwanza katika Ligi ya Mabingwa. Draw ya round ya awali inategemewa kufanyika tarehe 25 Julai.
  5. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo: Ligi ya Saudi Arabia ni bora kuliko Ligi ya Marekani (MLS)

    Mshindi wa tuzo za Ballon D’or mara 5, Cristiano Ronaldo amekaririwa akisema Ligi Kuu ya Saudi ni bora kuliko ile ya Marekani (MLS). “Nina uhakika 100% sitarudi tena kuchezea klabu yoyote ya Ulaya kwani nina furaha huku. Mimi nilifungua njia ya kuja huku, na sasa wachezaji wengi wanakuja...
  6. JamiiForums Tanzania LIVE LIGI KUU UNDER 20: AZAM 0 VS MTIBWA SUGAR 2

    Hili ni bonge la Game. Kama tutaendelea kuwekeza kwenye vijana, hakika hatuta ng'ang'ania magarasa akina sawadogo. Mtibwa wana timu nzuri sana. Kuna fowadi zaidi ya Baleke au Mayele anaitwa Makambo Jr. Hadi sasa dakika ya 16 Mtibwa anaongoza 2 bila ote yakifungwa na Makambo Jr. Azam kuna...
  7. JamiiForums Tanzania Mashujaa Fc kwa huu uchawi wenu kuna timu nyingi sana za ligi kuu zitapoteza mechi Lake Tanganyika Stadium

    Haiwezekani Mbeya City kila wanachokifanya mipira inapaa kama sio kugonga miamba. Kwa aina hii ya ukamiaji jumlisha na sayansi ya jadi kuna timu kubwa zita-struggle msimu ujao pale katika dimba la Lake Tanganyika. My take: Punguzeni usela mavi wenu huku ligi kuu kuna kamera za AzamTv mtapoteana
  8. JamiiForums Tanzania Jiji bila timu ya ligi kuu ni kama kuvaa fulana bila bukta

    Mji kuitwa Jiji sio lelemama. Jiji huwa na vitu vingi sana kuliko mji na halmashauri. Unapoona jiji linashindwa kuwa na timu ya ligi kuu ni ama hilo Jiji limeharakishwa kuitwa Jiji kisiasa au viongozi wa hilo Jiji hawapaswi kuongoza hilo Jiji. Mpira unapendwa duniani kote na unatoa Burudani na...
  9. JamiiForums Tanzania Kamati ya Tuzo TFF imetumia vigezo gani kuchagua Beki Bora wa Ligi ya NBC?

    Jamani ebu tufahamishane vizuri hapa wote tujue. Dickson Job kapewa tuzo ya Beki Bora kwa Criteria gani? Haya tuliyaona TMA na tuzo zao za CUBA, leo hii kwenye NBC mambo kama yanajirudia.
  10. JamiiForums Tanzania Rekodi na Takwimu za mwisho za Ligi ya Mabingwa UEFA/EUROPA

    Ni mchezaji gani ameshinda mataji mengi zaidi ya Ligi ya Mabingwa? UEFA Champions League 5 Karim Benzema (Real Madrid) 5 Dani Carvajal (Real Madrid) 5 Luka Modrić (Real Madrid) 5 Cristiano Ronaldo (Man United, Real Madrid) 4 Gareth Bale (Real Madrid) 4 Casemiro (Real Madrid) 4 Andrés Iniesta...
  11. JamiiForums Tanzania Hili la ligi ya Mabasi Serikali ilitazame kwa jicho la 3

    Ilivyo sasa kwa hii route ya Dar es Salaam na Mwanza ni kitu sio cha kukifumbia macho. Vijana ku bet ushindani wa mabasi ni kitu kinacho shamiri mnoo usishangae kuina vijana wamejipanga kando ya barabara misili wanasubiri msafara wa Rais.
  12. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee baada ya ligi kwisha kamati inakaa kuchagua mfungaji Bora, kwanini kanuni isiwe wazi mwanzoni mwa msimu?

    Yaani sijui nani katuroga! Basi kama kulikua hakuna hizo kanuni kwanini msikae juzi baada ya mechi ya Simba Maana tayari kulikuwa na dalili ya Saido kulingana na Mayele! Kwanini yaani! Eti ooh, Kamati ndio itakuwa! Kamati my foot! Suala la mfungaji Bora wala halihitaji kamati ni kanuni tu...
  13. JamiiForums Tanzania Kanuni ya mfungaji bora wa ligi kuu NBC inasemaje? Tuwekeeni vifungu

    Hivi kwanini Bongo tunaishi kama gari bovu. Ada za usajili za wachezaji haziwekwi wazi, hata malipo viwanjani nayo magumashi kibao. Haya tuwekeeni hapa kifungu cha kanuni ya bodi ya ligi kuhusu mfungaji bora. Ahsanteni.
  14. JamiiForums Tanzania Kombe jipya la NBC Premier League hili hapa dondosha maoni yako

    Hili kombe Zuri tofauti na lile la mwaka jana
  15. J

    JamiiForums Tanzania Msimu ujao ligi iwe walau na timu 18 ili tufurahie

    Ligi kuu imekuwa tamu sana, sema mechi chache sana. At least ziwe timu 18 tupate wasaa wa kuenjoy football. TFF board do something. We already have growth in football lets improve it.
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  17. JamiiForums Tanzania Msimu mpya wa ligi za mchongo! Tunaache kuwa kichwa cha mwendawazimu kitaifa?!

    Ligi ya diwani! Ligi ya mbunge! Uzinduzi unaendelea.... Yaani badala ya kutunga sera ktk halmashauri na wabunge waishauri serikali na washirikiane kuwekeza katika michezo ili kuzalisha ajira mbadala nchini. Wanazindua ligi za kusakia "kura"?! Hii ndo bongo, kila kitu mchongo, kwa mipango...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Simba ana ubingwa upi mpaka kushiriki CAFCL?

    Hii nadharia ya kuwasema Wanaoshiriki Shirikisho ni waliofeli sio sahihi, hii ni kujificha kwenye kivuli Cha kufeli Kwa Magungu. Kuna michuano wanaita CAF champions League, yaani michuano ya Mabingwa , Sasa kama ndo hivo basi Simba hakupaswa kushiriki Ligi hiyo kwakuwa Huyu Simba si bingwa wa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, upangaji wa matokeo bado ni changamoto ligi ya championship?

    PAMBA WALALAMIKA KUFANYIWA FIGISU Uongozi wa klabu ya Pamba ya Jijini Mwanza umeomba uongozi wa TFF kuchunguza Upangaji wa matokeo kwenye Mchezo wao wa jana 1st leg play off dhidi ya Mashujaa FC mchezo uliofanyika Mkoani Kigoma ambao Pamba kupoteza (4 - 0). Wadai wamefanyiwa uhuni, Wachezaji...
  20. JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaolipwa pesa ndefu zaidi Ligi Kuu Tanzania Bara

    1. Stephane Aziz Ki Stephane Aziz Ki ni mchezaji wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Young Africans ya Ligi Kuu ya Tanzania. Alizaliwa nchini Ivory Coast, anawakilisha timu ya taifa ya Burkina Faso. Date of birth: Mar 6, 1996 Place of birth: Adjamé Citizenship: Burkina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…