ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yanayojiri Ligi Kuu za Ulaya. Ligi ya Uingereza (EPL), Hispania (Laliga), leo Septemba 30, 2023

    Habari, Karibu tupeane updates ya mechi mbalimbali za Ligi za Ligi Kuu za nchi za Ulaya leo Septemba 30, 2023. EPL Aston Villa 6 - 1 Brighton (FT) Bournemouth 0 - 4 Arsenal (FT) Everton 1 - 2 Luton (FT) Man U 0 - 1 Crystal Palace (Cont) New Castle 2 - 0 Burnley (FT) West Ham 2 - 0...
  2. JamiiForums Tanzania Pyramids FC yawa Timu ya kwanza kuingia hatua ya makundi Ligi ya mabingwa Africa 2023

    Miamba ya kutokea Misri "Pyramids FC" wameingua hatua ya makundi kibabe kwa kuifunga timu ya Rwanda "APR FC" goli 6 kwa moja 1 na kufanya utofauti wa magoli kuachana kwa goli 5. Ambapo goli la APR FC lilikuwa la Penalti na magoli ya Pyramids yalikuwa ya kusakuana. Ikumbukwe miamba hiyo ya Farao...
  3. JamiiForums Tanzania AZAM TV na Bodi ya Ligi mnatuibia pesa watazamaji wa ligi kupitia king’amuzi chenu

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kugundua kwamba miezi miwili sasa imepita bila kuwa na mwendekezo mzuri wa kuonyesha mechi za ligi kuu ya nbc,ndani ya mwezi unaangalia game mbili au tatu halafu unatakiwa kulipia tena. Kwa mfano weekend hii iliyoisha kulikua na shida gani mpaka...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa game za mpira matoleo ya simu naweza vipi kucheza friendly au ligi kwa kuchagua timu kirahisi, Sina muda wa kujenga vikosi online

    Huwa napenda sana kucheza game ya mpira kwenye playstation, x box na pc kwasababu mambo ni chap chap, ukiwasha game waweza kuchagua timu unayotaka unazama uwanjani kulisakata kabumbu. Kwenye game za simu nimeshusha dls na fifa naona ni mpaka ujenge vikosi, huo muda sina kwakweli, hii kitu ipo...
  5. JamiiForums Tanzania Ligi kuu 2023/24, Timu zipi ni matawi ya Yanga na Simba

    YANGA Singida SIMBA Coastal Mtibwa Namungo Ihefu Tuendelee
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Al Merrikh: Timu yenyewe ni ya wakimbizi, haishiriki ligi, inacheza huku ikiwaza mabomu yanavyopigwa nyumbani!! Kuifunga siyo kipimo!!

    Kumsukuma mlevi si kipimo kuwa una nguvu!! Timu ya Al Merrikh ni wakimbizi, wanalazimika kucheza ugenini, hakuna ligi huko kutokana na vita, wanacheza huku akili iko nyumbani wakiwaza mabomu yanavyotishia uhai wa jamaa zao! Kuna ajabu gani kuifunga timu kama hiyo!! Kuifunga na kufurahi ni...
  7. JamiiForums Tanzania Tuzikumbuke timu zilizowahi kutamba zamani katika ligi kuu na sasa zimesahaulika

    Uzi maalum wa kuzikimbuka timu mbali mbali zilizowahi kutamba miaka ya nyuma na nyinginezo zilifika hadi ligi kuu. Taja timu moja tu umor nafasi na mwenzako ataje anayoijua. Mimi naanza na Vijana Ilala a.k.a Wanakabakayeka ilikuwa na maskani yake Ilala sijui kama bado ipo au ilishakufa, endelea…
  8. JamiiForums Tanzania Ni wapi na lini CAF walitangaza ligi ya Tanzania ni ya 5 kwa ubora?

    Kwa muda sasa kumekuwa na kupongezana kutokana na taarifa kuwa ligi kuu ya NBC ilitangazwa ni ligi ya 5 kwa ubora katika bara la Afrika. Kwa muda mrefu nimejaribu kuitafuta hii taarifa humu mitandaoni kutoka vyanzo vyovyote vya nje ikiwemo CAF wenyewe ila hadi leo sijawahi kuiona mahali...
  9. JamiiForums Tanzania Mechi ya pili tangu kuanza kwa ligi, lakini Mashabiki wa Yanga wanadhani zimebaki mechi mbili kumaliza

    Kwa kiwango na mfumo wanaoenda nao Yanga tangu mechi za Majaribio msimu huu, hadi mechi za ushindani, ni ukweli ulio dhahiri kwamba Yanga ipo kwenye form nzuri sana. Hali ikiendelea hivi kwa mechi tatu zijazo, basi walio chini itabidi wakaze buti tu na wamfuate hukohuko juu, kumsubiri chini...
  10. JamiiForums Tanzania TFF ijivunie kuwa na makocha kama Gamondi na Robertihno kwenye ligi yake.

    Gamondi na Robertihno ni makocha wa kiwango kikubwa sana kuwepo kwenye ligi ya Tanzania. TFF lazima ione namna nzuri ya kuzipongeza Yanga na Simba kwa kuthubutu kuleta makocha ya viwango hivi, pia TFF na wadau wengine wa mpira waone ni kwa namna ipi wanaweza kuwatumia hawa makocha kwa manufaa ya...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga inasumbuliwa na timu iliyoshika nafasi ya pili ligi ya Djibouti

    Hili ni jambo la kusikitisha sana na najua wanayanga wengi limewafedhehesha. ASAS Djibouti au kwa jina lingine "AS Ali Sabieh" ni timu ambayo msimu uliopita ilimaliza nafasi ya pili katika ligi ndogo na dhaifu ya Djibouti lakini jana imeisumbua sana Yanga. Ingekuwa na mshambuliaji mmoja wa...
  12. JamiiForums Tanzania Max Nzengeli anaweza kuwa mchezaji mkongwe kuliko wote ligi ya NBC 2023-24

    Katika uchunguzi wangu WA AWALI nimeanza kupata mashaka na umri sahihi wa huyu "Polepole" wa Yanga, Maxi Nzengeli. Kuna vitu kadhaa nimevichunguza vinavyonipa mashaka na umri wake sahihi. Nikiangalia mitandaoni wanasema huyu ni "mtoto" wa 2000, yaani eti ana miaka 23. Kuna watu baada ya game...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania Tuna ligi nzuri ila haina Marefa

    Ukisikia penye miti hakuna wajenzi ndo hii ligi yetu ya bongo. Sijui marefa wamesomea wapi? Sishangai sana maana hata mechi za.kimataifa huwa hawaitwi. Ni ueledi mdogo..milungura au huwa wanchezesha kwa maelekezo kutoka juu? Tukubamali ligi yetu ina matatizo makubwa sana upande wa referees...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya Mo kumwaga mihela nyuma na kuifanya Simba kuingia Ligi ya Africa Sasa ni kama uongozi haumtaki ili upige mihela ya Africa

    Mo ategemee kabisa kuwekewa vikwazo vya kutosha ili aiache timu viongozi wafaidi maokoto kutoka Africa. Hii inaitwa unahangaika wee kufunga Nyati miguu, mdomo anatulia tuli Alafu ukimaliza wajinga wanakuwahi wanakufunga wewe pia Alafu wanaanza kumkamua maziwa.
  15. JamiiForums Tanzania Zawadi za mshindi wa ligi ziangaliwe upya

    Mil 80 anazopewa mshindi wa ligi ya NBC ziangaliwe upya ili zilingane na thamani ya ligi na gharama za timu.
  16. JamiiForums Tanzania Ligi ya Saudia sasa kurushwa ndani ya Azam TV

    Kufuatia mastaa wengi kwenda kucheza ligi ya Saudia huko Uarabuni wakiwemo Cristiano Ronaldo, Sadio Mane, Bobby Firmino, Riyad Mahrez na wengineo wengi, hatimaye Azam Media wameamua kurusha ligi hiyo mubashara. Mwanasoka utaendelea kuwafatilia wachezaji wako pendwa waliopo Uarabuni kupita Azam...
  17. JamiiForums Tanzania Nashauri Azam FC wawape Yanga SC points zao Sita ( 6 ) za Ligi Kuu ya NBC kabla hawajacheza nao

    Haiwezekani kila mkikutana na Yanga SC mnarudia makosa yale yale yanayowagharimu na Kufungwa kila mkikutana. Yaani Kocha mwenye Akili anaweza kumuweka Nje Kipa namba moja wa Timu aliyekuwa amekaa Benchini? Hivi Wachezaji kama Kipre Jr, Amoah na Idi Nado ni wa kutoanza katika First Eleven ya...
  18. JamiiForums Tanzania Power Dynamo rekebisheni kiungo chenu na safu yenu ya ushambuliaji vinginevyo amjapata timu ya kucheza ligi ya mabingwa

    Ni mechi ambayo imekuwa rahisi sana kwa mabeki wa simba Kutokana na mambo kadha wa kadha ya kiufundi, kwanza ni wazuri kwenye umiliki wa mpira kwa mchezaji mmoja mmoja but kitimu bado wana kazi kubwa ya kufanya, pili awachezi mpira wa malengo na inaonekana wachezaji wao wengi awana uzoefu na...
  19. JamiiForums Tanzania Simba wasipochukua ubingwa wa ligi kuu msimu huu patachimbika

    Linapokuja swala la ushabiki hapa Bongo, ni wazi kuna timu mbili zenye ushawishi na mashabiki wengi. Hapa nazungumzia Simba na Yanga. Kuhusu mashabiki wa timu hizi mbili kuna utofauti kama ifuatavyo, -Yanga ina mashabiki waelewa hata kama timu yao ikifanya vibaya bado wataendelea kui-support...
  20. JamiiForums Tanzania Fiston Tupwisa Mayele Mchezaji Bora Africa kwa Ligi za ndani ya Africa

    Hello JF, Habari ndio hio Fiston Kalala Tupwisa Mayele ndio Mchezaji Bora wa msimu wa 2022-2023 Kwa Kwa wachezaji wa ligi za ndani ya Africa. Hongera Sana Mwamba, The goal machine that scores with precise instinct and always focused. 🙏🙏🙏 Best wishes Mwamba sina ubaya Mimi Simba SC ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…