ligi kuu

The Tanzania Mainland Premier League ("Ligi Kuu Tanzania Bara" in Swahili) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. This league was created in 1965, when it was known as the "National League". Its name was changed later to the "First Division Soccer League" and changed again in 1997 to the "Premier League".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro aagiza Timu za Ligi Kuu kuwakatia Bima za Afya Wachezaji

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AAGIZA TIMU ZA LIGI KUU KUWAKATIA BIMA ZA AFYA WACHEZAJI Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelielekeza Baraza la Michezo la Taifa “BMT” kuhakikisha kuwa ifikapo Januari, 2024 kila klabu ya ligi kuu ya NBC iwe na Bima ya afya kwa wachezaji wake...
  2. JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 5 - 0 KMC | Ligi Kuu ya NBC | Azam Complex | 07/12/2023

    NBC Premier League leo Alhamis Saa 3:00 Usiku AzamFC watakuwa Azam Complex wakiwaalika KMC Kocha Abdi Moallin wa KMC anarudi kwa waajiri wake wa zamani Je, atwaadhibu ama mambo kuwa magumu? --- Kikosi cha Azam kilichoanza Kikosi cha KMC kilichoanza
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha dogo ligi kuu Tanzania bara 2023/2024

    Huu ni uzi maalumu wa kupeana updates za usajili wa dirisha dogo unaotazamiwa kufunguliwa tarehe 15.12.2023. Karibu 1. Ladack Juma Chasambi ni mwekundu wa Msimbazi akitokea Mtibwa Sugar 2. Beki wa Yanga raia wa Uganda Gift Fred anahusishwa kuhitajika na Klabu ya Arab Contractors ya Misri kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ramadhani Lenny aliwezaje kucheza mpira ligi kuu akiwa na miaka 50 na yale matege?

    Huyu mchezaji alikuwa classmate wa mzee fulani mtaani,huyo mzee sasa ni mzee kweli hakosi miaka 70 shule ya msingi, Jamaa alikuwa na matege fulani hivi yanastaajabisha. Kama ungeambiwa ni namba sita bora kuwahi kutokea hapa nchini huwezi kuamini. Alimudu hiyo namba kwa kiwango cha juu sana...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora kwenye ligi kuu?

    Kuna tetesi kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora, Wengine wanafika mbali kudai kwamba Yanga ikikosa ubingwa basi husalia namba 2 tu, si nje ya hapo. Ni kweli?
  6. JamiiForums Tanzania Vinara wa kupachika mabao ligi kuu ya NBC hadi leo tarehe 27.10.23

    1. Aziz K- 6 2. Max - 5 3. Baleke- 5
  7. JamiiForums Tanzania Kulikoni tena zile Tano Tano za katika Ligi Kuu na Kimataifa zimepungua na sasa ni mwendo wa Moko Moko tu kote kote?

    Taratibu sasa Watu wanaanza Kumsoma Kocha wenu ambaye kwa 80% anatembelea Nyota ya aliyekuwa Kocha wenu wenye Hasira na ambaye akihojiwa anachanganya Kifaransa, Kiswahili, Kindengereko na Kiingereza.
  8. JamiiForums Tanzania Yanayojiri Ligi Kuu za Ulaya. Ligi ya Uingereza (EPL), Hispania (Laliga), leo Septemba 30, 2023

    Habari, Karibu tupeane updates ya mechi mbalimbali za Ligi za Ligi Kuu za nchi za Ulaya leo Septemba 30, 2023. EPL Aston Villa 6 - 1 Brighton (FT) Bournemouth 0 - 4 Arsenal (FT) Everton 1 - 2 Luton (FT) Man U 0 - 1 Crystal Palace (Cont) New Castle 2 - 0 Burnley (FT) West Ham 2 - 0...
  9. JamiiForums Tanzania Ligi kuu 2023/24, Timu zipi ni matawi ya Yanga na Simba

    YANGA Singida SIMBA Coastal Mtibwa Namungo Ihefu Tuendelee
  10. JamiiForums Tanzania Tuzikumbuke timu zilizowahi kutamba zamani katika ligi kuu na sasa zimesahaulika

    Uzi maalum wa kuzikimbuka timu mbali mbali zilizowahi kutamba miaka ya nyuma na nyinginezo zilifika hadi ligi kuu. Taja timu moja tu umor nafasi na mwenzako ataje anayoijua. Mimi naanza na Vijana Ilala a.k.a Wanakabakayeka ilikuwa na maskani yake Ilala sijui kama bado ipo au ilishakufa, endelea…
  11. JamiiForums Tanzania Wekeni kumbukumbu sawa bingwa ngao ya jamii ndio huwa bingwa wa ligi kuu bara

    Msije sema sikuwaambia bingwa ngao ya jamii ndio huwa bingwa wa ligi kuu.
  12. JamiiForums Tanzania Nashauri Azam FC wawape Yanga SC points zao Sita ( 6 ) za Ligi Kuu ya NBC kabla hawajacheza nao

    Haiwezekani kila mkikutana na Yanga SC mnarudia makosa yale yale yanayowagharimu na Kufungwa kila mkikutana. Yaani Kocha mwenye Akili anaweza kumuweka Nje Kipa namba moja wa Timu aliyekuwa amekaa Benchini? Hivi Wachezaji kama Kipre Jr, Amoah na Idi Nado ni wa kutoanza katika First Eleven ya...
  13. JamiiForums Tanzania Simba wasipochukua ubingwa wa ligi kuu msimu huu patachimbika

    Linapokuja swala la ushabiki hapa Bongo, ni wazi kuna timu mbili zenye ushawishi na mashabiki wengi. Hapa nazungumzia Simba na Yanga. Kuhusu mashabiki wa timu hizi mbili kuna utofauti kama ifuatavyo, -Yanga ina mashabiki waelewa hata kama timu yao ikifanya vibaya bado wataendelea kui-support...
  14. JamiiForums Tanzania LIVE LIGI KUU UNDER 20: AZAM 0 VS MTIBWA SUGAR 2

    Hili ni bonge la Game. Kama tutaendelea kuwekeza kwenye vijana, hakika hatuta ng'ang'ania magarasa akina sawadogo. Mtibwa wana timu nzuri sana. Kuna fowadi zaidi ya Baleke au Mayele anaitwa Makambo Jr. Hadi sasa dakika ya 16 Mtibwa anaongoza 2 bila ote yakifungwa na Makambo Jr. Azam kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Mashujaa Fc kwa huu uchawi wenu kuna timu nyingi sana za ligi kuu zitapoteza mechi Lake Tanganyika Stadium

    Haiwezekani Mbeya City kila wanachokifanya mipira inapaa kama sio kugonga miamba. Kwa aina hii ya ukamiaji jumlisha na sayansi ya jadi kuna timu kubwa zita-struggle msimu ujao pale katika dimba la Lake Tanganyika. My take: Punguzeni usela mavi wenu huku ligi kuu kuna kamera za AzamTv mtapoteana
  16. JamiiForums Tanzania Jiji bila timu ya ligi kuu ni kama kuvaa fulana bila bukta

    Mji kuitwa Jiji sio lelemama. Jiji huwa na vitu vingi sana kuliko mji na halmashauri. Unapoona jiji linashindwa kuwa na timu ya ligi kuu ni ama hilo Jiji limeharakishwa kuitwa Jiji kisiasa au viongozi wa hilo Jiji hawapaswi kuongoza hilo Jiji. Mpira unapendwa duniani kote na unatoa Burudani na...
  17. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee baada ya ligi kwisha kamati inakaa kuchagua mfungaji Bora, kwanini kanuni isiwe wazi mwanzoni mwa msimu?

    Yaani sijui nani katuroga! Basi kama kulikua hakuna hizo kanuni kwanini msikae juzi baada ya mechi ya Simba Maana tayari kulikuwa na dalili ya Saido kulingana na Mayele! Kwanini yaani! Eti ooh, Kamati ndio itakuwa! Kamati my foot! Suala la mfungaji Bora wala halihitaji kamati ni kanuni tu...
  18. JamiiForums Tanzania Kanuni ya mfungaji bora wa ligi kuu NBC inasemaje? Tuwekeeni vifungu

    Hivi kwanini Bongo tunaishi kama gari bovu. Ada za usajili za wachezaji haziwekwi wazi, hata malipo viwanjani nayo magumashi kibao. Haya tuwekeeni hapa kifungu cha kanuni ya bodi ya ligi kuhusu mfungaji bora. Ahsanteni.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Msimu ujao ligi iwe walau na timu 18 ili tufurahie

    Ligi kuu imekuwa tamu sana, sema mechi chache sana. At least ziwe timu 18 tupate wasaa wa kuenjoy football. TFF board do something. We already have growth in football lets improve it.
  20. JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaolipwa pesa ndefu zaidi Ligi Kuu Tanzania Bara

    1. Stephane Aziz Ki Stephane Aziz Ki ni mchezaji wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Young Africans ya Ligi Kuu ya Tanzania. Alizaliwa nchini Ivory Coast, anawakilisha timu ya taifa ya Burkina Faso. Date of birth: Mar 6, 1996 Place of birth: Adjamé Citizenship: Burkina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…