ligi kuu

The Tanzania Mainland Premier League ("Ligi Kuu Tanzania Bara" in Swahili) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. This league was created in 1965, when it was known as the "National League". Its name was changed later to the "First Division Soccer League" and changed again in 1997 to the "Premier League".

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli Simba wamewahi kukaa misimu zaidi ya sita bila kombe la ligi kuu ?

    Is this True maana imeniwia vigumu kuamini kwa ukubwa wa Simba
  2. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi Kuu: Tukishindwa kutatua hili tutaihusisha Serikali

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu, Steven Mguto katika mahojiano yake na Kituo cha Habari cha Mwananchi Digital amesema iwapo wao Kama mamlaka za kimpira watashindwa kutatua sakata la Simba na Yanga kuhusiana na kuahirishwa kwa mchezo wa Derby ya Kariakoo basi wataishirikisha Serikali. "Jambo hili...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fei Toto awaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC

    Wakati huu Ligi ya NBC ikiwa katika mzunguko wa 23 Kiungo fundi wa Soka, Feisal Salum maarufu Fei Toto amewaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki na nyota wengine kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC akiwa ametoa pasi za mwisho za magoli (assists) 12 huku wanaomfuatia wakiwa na 7 Soma: Jean...
  4. MwananchiOG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inashangaza kuona mpaka sasa Wajumbe Bodi ya Ligi Kuu hawajatangaza kujiuzulu

    Baada ya Makosa makubwa na uvunjifu mkubwa wa kikanuni uliofanywa na Bodi ya Ligi, Inashangaza kuona mpaka sasa ni Mjumbe mmoja tu ambaye ni Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja ambaye amejiuzulu nafasi yake na kutoka nje ya kikao baada ya...
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sakata la Mechi ya YangaSc vs Simba, Kigogo Mmoja abwaga Manyanga bodi ya ligi kuu

    BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi. Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja...
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sakata la Mechi ya YangaSc vs Simba, Kigogo Mmoja abwaga Manyanga bodi ya ligi kuu

    BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi. Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wote waandamizi wa BODI YA LIGI KUU YA NBC na TFF wanatakiwa kujiuzulu leo hii kwa kushindwa kusimamia hili sakata la mechi ya watani wa jadi

    Kwa hasira kali! Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba. Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi...
  8. OMOYOGWANE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC ni kubwa kuliko Bodi ya ligi kuu na TFF

    Viongozi wa simba wakikaa wakaamua jambo basi TFF na Bodi ya ligi kuu watatii Mechi ya Pamba na simba, mabaunsa wa simba walifanya fujo huko mwanza wakavunja madirisha na kuwafungia viongozi wa pamba jiji ofisini kwao mechi hsikuahirishwa TFF ikawachekea , leo hii wao wenyewe bodi ya ligi...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ligi Kuu ya Wanawake yasimamishwa kupisha Samia Women Super Cup

    LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inatarajiwa kusimama kwa takriban wiki moja kupisha michuano ya Samia Women Super Cup inayotarajiwa kuanza kesho, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. . Ligi hiyo iliyotarajiwa kurudi Machi nne baada ya mapumziko ya kupisha michuano ya kufuzu Fainali za...
  10. MwananchiOG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya kubebwa Ligi kuu si bure miaka yote timu inaishia robo fainali haijawahi kuvuka wala kupata hata medali CAF

    Hii ni aibu kwa Ligi yetu, si bure baadhi ya vilabu vinabebwa Ligi kuu ila kule CAF miaka nenda rudi timu inaishia Robo fainali haijawahi kuvuka hatua hiyo, Ni kama laana, Timu inakosa hata medali moja ya CAF ila ukija katika ngazi ya Ligi inaonekana timu bora kumbe kuna bahasha na makosa ya...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakili Simon Patrick: Waamuzi wa Ligi Kuu Bara wanachezesha mechi kwa maelekezo

    Ukweli usiofichika ni kwamba Yanga na Simba zimekua kubwa na zenye nguvu kuliko mamlaka za soka nchini. Wasimamizi wa soka letu wako tayari kuzibeba hizi timu ili kuwafurahisha watu kuliko kutenda haki. Kadri muda unavyosonga, ligi inayoitwa ya nne kwa ubora barani Afrika inazidi kuwa ligi ya...
  12. Area 56

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makipa wanaoongoza kwa clean sheet kwenye ligi kuu ya NBC, kipa wako yupo nafasi ya ngapi?

    Vinara wa Clean Sheets Ligi Kuu ya NBC 2024/25. 1. Moussa Camara 1️⃣5️⃣ 2. Patrick Munthary 1️⃣0️⃣ 3. Djigui Diarra 0️⃣9️⃣ 4. Mohamed Mustafa 0️⃣9️⃣ 5. Yona Amosi 0️⃣8️⃣ 6. Metacha Mnata 0️⃣7️⃣ 7. Yakoub Seleman 0️⃣7️⃣
  13. MwananchiOG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uwanja wa Sokoine - Mbeya unaotumiwa na KenGold ni mbovu hauna hadhi ya Ligi Kuu

    Tangu msimu huu wa Ligi uanze, Kwa kiasi kikubwa bodi ya Ligi na vilabu vimejitahidi kuboresha viwanja na kuvifanya walau kuwa na hadhi. Ila pamoja na yote kuna baadhi ya viwanja ni aibu TUPU kwa Ligi namba sita kwa ubora barani Afrika. Huu uwanja wa Sokoine unaotumiwa na KenGold ni kama shamba...
  14. Smt016

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Eng. Hersi ameamua kuivua Yanga ubingwa wa ligi kuu

    Mpira una njia na taratibu zake, hakuna maajabu yanayoweza kutokea tena baada ya uongozi wa Yanga kurudia kosa kwa mara ya pili mfululizo. Timu ilifanyiwa mabadiliko ya benchi la ufundi kwa kuja Ramovic, timu ili struggle kwa mechi kadhaa ila ikaja kutulia baadae, bahati nzuri mechi za klabu...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: KMC 2-0 Singida BS; KMC Complex, Ligi Kuu ya NBC

    FT KMC 2-0 Singida BS Ikumbukwe pia jana Azam alipigika kwa Pamba Jiji
  16. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je mechi za ligi kuu ya NBC zinapangwa?

    Kuna harufu ya upangaji wa matokeo ligi kuu ya NBC Huyu aliwezaje kubet droo na kuweka peaa nyingi hivi?
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa Yanga hana sifa za kuwa Kocha Mkuu wa Ligi Kuu ya Tanzania

    🚨 Kama Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na idara ya ufundi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) watasimamia vyema kanuni za Ligi Kuu msimu huu, hakuna namna Kocha mpya wa Yanga, Hamdi Miloud atalazimika kushushwa cheo na kuwa kocha msaidizi kwa daraja lake la leseni halitoshi kumfanya awe...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba kinara wa kupiga penati ligi kuu 2024/25

    Takwimu za penati katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025, ambapo hadi sasa timu zote zimecheza michezo 16. Simba SC inaongoza kwa kufunga magoli mengi ya penati ikifuatiwa na Tabora United na Coastal Union. Yanga SC na Namungo FC ndio vinara wa kukosa penati, kila timu ikiwa imekosa penati...
  19. Its Pancho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka sasa usajili wa mpanzu ndiyo hasara kubwa kuliko yote ligi kuu

    I salute you kinsmen Sajili tofauti tofauti tumeziona wakiwemo Ken gold walioleta macro wengi tu Ila kuna maharaja yameletwa ligi kuu yanatia mashaka sana uwezo wao na ubaya ni kuwa team zao zinaona aibu kuwavunjia mkataba. Huyu Mpanzu ndiyo garasa kuu kuliko mengine maana ameletwa kwa...
  20. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchezaji Mtanzania, Mnyakyusa anayecheza Ligi Kuu Italy akichezea Napoli

    André-Frank Zambo Anguissa (ANGWISA) Nimeukumbuka huu wimbo wa muimbaji mmoja aliimba alikuwa anasema Angwisa....na huyu mchezaji naona kabisa ni mnyaki sijui wa Kyela,Tukuyu au Mbozi. Mi sijui. Hawa ndo mngewarudisha na kuwapa uraia. Zamani naambiwa alikuwapo mnaijeria mmoja wa Kinyakyusa...
Back
Top Bottom