ligi kuu

The Tanzania Mainland Premier League ("Ligi Kuu Tanzania Bara" in Swahili) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. This league was created in 1965, when it was known as the "National League". Its name was changed later to the "First Division Soccer League" and changed again in 1997 to the "Premier League".

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Trend Analysis: Utabiri msimamo mechi ya 30 Ligi Kuu

    Kwanza msiogope washabiki wa Mpira, Kuna mahesabu ya Utabiri wa Bingwa wa ligi pamoja na msimamo wa ligi kuu pale itakapofikisha mechi ya 30, mahesabu haya yanafanyika Kwa ligi mbalimbali ikiwemo premier league ya UK. Kulingana na teknolojia ya Artificial intelligence Kwa kutumia trend...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata wapi orodha ya mechi za ligi kuu zinazochezeshwa na Arajiga ?

    Nimetokea kuvutiwa na baadhi ya waamuzi kwa jinsi wanavyochezesha mpira kwa namna inayoleta burudani Mfano napenda sana kuangalia mechi za Arajiga, ni mechi ambazo timu ikilemaa inakula dozi ya kutosha, mfano ni leo kenglold wamebebeshwa kilo 4 na Azam. Ni wapi naweza kupata orodha ua mechi...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Msimu uliopota pekee mechi za ligi kuu za Yanga zimeniingizia milioni 8 kupitia betting

    Kuna watu wanashangaa vijana kushabikia mpira kuliko siasa. Hii ni ajira isiyo rasmi, kwako kijana usiye na kazi,kila mechi ya ligi weka mzigo hata laki tano hukosi laki faida Hii ni kwa mechi za yanga tu na uweke mechi moja tu,maana ushindi ni asilimia 90. Kama wanahonga waamuzi au wapinzani...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Yanga bado Siku 3 watimize Mwaka 1 bila kufungwa kwenye ligi Kuu ya NBC!

    Nimeona mtandaoni Mkuu wa kitengo cha Digital, Crown Fm ameandika kuwa Mara ya mwisho Yanga SC kufungwa kwenye Ligi Kuu ni Oktoba 4, 2023 bado siku 3 itimize mwaka mmoja pasipo kupoteza mchezo kwenye Ligi Ligi Kuu ya NBC PL. Eti wadau huyu anasema kweli au anatupanga maana huwa naona kama...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia: Msimu huu hakutakuwa na matumizi VAR Ligi Kuu

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR kwenye msimu huu wa Ligi Kuu mpaka kutakapokuwa na uhakika wa kutosheleza mechi zote kutumia VAR. Amesema VAR inaweza ikatumika katika mashindano yanayojumuisha mechi chache kama vile Ngao...
  6. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Simba haitachukua tena Ubingwa wa Ligi Kuu kipindi chote hiki

    Nawaambia sasa muelewe Yanga ni team kubwa na nzuri kipindi hiki cha Samia. Imekaa vizuri sana. Simba wasahau kabisa suala la kuchukua Ubingwa. It wont happen. Sababu Yanga wamesajili wachezaji wazuri awamu hii yote ya Samia na wataendelea kusajili ifanye vizuri zaidi. GSM WANAIPAMBANIA TEAM...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

    Alhamis hii katika NBC Premier League ni Mzizima Derby, Azam FC kukipiga na wekundu wa msimbazi Simba SC Mtanange huu utapigwa katika dimba la New Amaan Complex, Dakika ya 15 Goooal Ateba Azam 0 - 1 Simba
  8. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Nikimwangalia Mutale namwona Saido, ni kama "chumvi" na "mkubwa jiko", Balua ni wa "ligi kuu" tu anga za kimataifa zinampwaya

    Tokea mechi ya kwanza Mutale anacheza akiwa na jezi ya Simba dhidi ya APR ni wazi alionekana ni mbadala halisi wa SAIDO,,, yaani wanafanana kila kitu wanachokifanya uwanjani.. Akiwa na mpira analazimisha kukaa nao bila sababu za msingi wakati kuna nafasi za kuwapa wenzake. Utakuta kuna...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba asiyesikia la mkuu huvunjika guu, mjiandae tu kisaikolojia ligi kuu na mashindano ya kimataifa sio lelemama!

    Tumeona Leo vijana wenu Wenye umri mdogo wakicheza mechi ya kirafiki na al hilal ya Sudan, tumeona timu yenu kimbinu na kiufundi ilivyo! Al hilal awa wamepungua ubora wao kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na al hilal Ile iliyocheza na yanga msimu juzi ikiwa ya moto ikiwa na vijana wakina...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Full Time | KMC FC 1 - 1 | Coastal Union| Ligi Kuu NBC| KMC Complex|29 Agosti, 2024

    KMC FC wakiwa katika dimba lao la nyumbani wamekubali kuvutwa shati na Coastal Union ya Tanga kwa kutoka sare ya 1-1. Timu zote hizi mbili ni mchezo wao wa kwanza katika msimu huu wa 2024/2025 wa ligi kuu ya NBC. Goli la KMC limefungwa na Ibrahim Elias…. Dakika 32, goli la Coasta Union...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga Kagera wapiga supu wakiisubiri Kagera Sugar kesho mchezo wa Ligi kuu

    Mashabiki wa Yanga SC mkoa wa Kagera leo wamejumuika na kupata supu kama utamaduni wao wakifurahia na kusherekea ubingwa wa Ngao ya Jamii na kusubiri kuanza kucheza michezo ya ligi kuu ya NBC hapo kesho. Yanga kesho watakuwa katika dimba la Kaitaba kucheza mchezo wao wa kwanza wa ligi msimu...
  12. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Hasheem Ibwe: Ligi Kuu inaanza kesho.

    Msemaji wa Klabu ya Azam FC Hasheem Ibwe amesema Ligi kuu inaanza rasmi kesho kwa sababu hakutakuwa na mchezaji ambaye hana kibali cha kumruhusu kucheza mechi. Azam watanza kesho kucheza Ligi Kuu ya NBC kwa kuivaa JKT Tanzania ugenini, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Meja Isamuhyo.
  13. trojan92

    JamiiForums Tanzania Nani bigwa Ligi kuu msimu wa 2024/2025 kati ya Simba Vs Yanga?

    Piga kura yako hapa
  14. Labani og

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kocha wa Pyramid fc atishia kuondoka ikiwa Mayele atauzwa

    Kocha Mkuu Wa pyramids FC Krunoslav Jurcic [emoji1082] ameuambia Uongozi wa Pyramids kuwa ana malengo makubwa na Fiston mayele na kama watamuuza basi yeye pia ataondoka ndani ya Timu hiyo Familia ya Kaizer Motaung ambayo ndiyo wamiliki Wa Kaizer chief walituma offer Pyramids ya Tsh Billion 6.4...
  15. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Je, TFF walichelewesha kutoa ratiba ya ligi kuu ili kumbeba Simba?

    Ukiangalia jinsi matches hizi za mwanzo za Simba zilivyopanga unaona kabisa zilipilangwa kimkakati ili kuwapa urahisi wa ushindi na kuwapunguzia pressure kwa mashabiki na wanachama wao. Haiwezekani match ya kwanza na Tabora wamecheza huku Tabora ukiwa haina wachezaji wake wote muhimu wa kigeni...
  16. aka2030

    JamiiForums Tanzania Timu za ligi kuu zitakazoshuka daraja 24/25

    1.JKT Tanzania 2.Fountain gate 3.pamba jiji
  17. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Pamba Jiji naiona kama vile ilikuwa ligi kuu misimu minne, wakikaza watasumbua sana

    Wakuu habari, Jana nimeangalia mtanange kati ya Pamba jiji na Prison Fc. Nilichokiona Beki wanajiamini sana kuliko hata Job au Mwamnyeto, wakiwa na mpira hawapigi hovyo hovyo na wwnajua kukaba Golikipa Amos Yona yupo njema anaokoa mpaka mashambulizi ya counter attack Winga zipo safi na...
  18. Mributz

    JamiiForums Tanzania Young Africans SC yashika mkia ligi kuu

  19. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kulazimisha kuwategemea Zimbwe na Kapombe/Kijiri wapige Cross kama Pre-assist au Assist vinachangia kuiporomosha Simba

    Nimekuwa nikifuatilia huu mfumo unaochezwa na Simba sasa wa kuwategemea mabeki wa pembeni waje kutengeneza nafasi kwenye kufanikisha mashambulizi pale na kushuhudia unavyotufelisha kwa sasa. Kwasababu: Zimbwe tokea enzi hizo ni mbahatishaji kwenye kupiga cross sahihi na pasi za mwisho, na...
  20. uran

    JamiiForums Tanzania Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024-2025.

    Ndugu wanamichezo wote! Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza. Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima! Mechi ya Leo 16.08.2024 Pamba 0- 0 Prison RATIBA YA GAME ZA 1st to 4th Round. Ligi ina jumla...
Back
Top Bottom