ligi kuu

The Tanzania Mainland Premier League ("Ligi Kuu Tanzania Bara" in Swahili) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. This league was created in 1965, when it was known as the "National League". Its name was changed later to the "First Division Soccer League" and changed again in 1997 to the "Premier League".

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha Florent Ibenge umefanya kosa kubwa sana na la Kiufundi kuja Kufundisha Soka Tanzania ambayo Ligi Kuu yake ina Makandokando mengi yasiyoelezeka

    Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya Ligi Kuu ya Tanzania na ndiyo maana unaona nasema tena kwa Masikitiko makubwa kuwa nakuonea Huruma na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simba tumeshajiandaa kisaikolojia na figisu ligi kuu za kukosa ubingwa misimu kadhaa kwa kutochangia harambee, tumesimama imara !

    Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe misimu kadhaa ijayo haitakuwa jambo la kushangaza. kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Msimu mpya wa 2025/2026 wa ligi kuu Tanzania bara, hizi ndizo top 4

    Wakuu, msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/2026 unakaribia kuanza huku joto la soka likizidi kupanda. Kila shabiki ana matumaini, kila timu inajiandaa, lakini swali ni moja, nani watatamba msimu huu, na nani atasindikiza wenzake hadi kushuka daraja? Kwa usajili, tetesi na maandalizi ya...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwanini matokeo ya form six yatangaziwe Zanzibar? Hata michezo ya ligi kuu isiyohusiana na Zanzibar ilichezwa Zanzibar, kwanini?

    Sijauliza Kwa Nia mbaya ila kuna katabia la kujipendekeza ka viongozi wetu kujiambatanisha na mkuu wa ithanga lothe hii sio sawa. Kuna siku gwaride la uhuru litapigwa songea ruvuma au kule kigoma. Alamsiki.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Ligi Kuu ya Tanzania ni mbovu kwanini Mayele anafanya vyema aliko na kama Ligi Kuu ya Tanzania ni nzuri kwanini Aziz K anafanya hovyo huko aliko?

    Kazi yangu Kubwa sana leo katika huu Uzi wangu ni kujua akina nani wanajua Kuuchambua Mpira.
  6. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Kuja kwa Florent Ibenge Ligi Kuu ya Tanzania: Ushindani Mpya Waanza Kuonekana

    Kuingia kwa kocha Florent Ibenge katika Ligi Kuu ya Tanzania ni tukio linaloleta msisimko na matarajio mapya kwa mashabiki wa soka nchini. Ibenge, ambaye ni mzoefu na mwenye mafanikio katika soka la Afrika, anatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa kwenye mbinu, nidhamu, na ushindani wa ligi yetu...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    1. Vilabu vya Young Africans, Kaizer Chiefs na Simba SC vinapigana vikumbo kumpata Feisal Salum ( Fei Toto) ( COLLAPSED) 2. Mourice Abraham ni mnyama(CONFIRMED) 3. Thank you Augustine Okejepha (CONFIRMED) 4. Thank you Kouass Yao. Anaweza kubaki kama watamkosa mbadala sahihi ( CONFIRMED) 5...
  8. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum ; Hakuna mchezaji mwenye chenga na ufundi mwingi Ligi kuu bara kumzidi Pacome zouazoua, Hakuna mchezaji mwenye IQ kubwa kama Khalid aucho

    "Mchezaji mwenye matumizi bora ya Mguu wa Kushoto ni Mohamed Hussein (Simba), Mchezaji bora matumizi Mguu wa kulia ni yeye Feisal Salum (Azam FC), Mmaliziaji bora amemtaja Prince Dube (Young Africans), Mchezaji mwenye Ufundi ni Pacome Zouzoua (Young Africans), Mchezaji mwenye chenga zaidi ni...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa zawadi za fedha kwa Timu za Ligi Kuu NBC 2024/2025: Mambo yanaweza kubadilika kwa Yanga na Simba

    Mchangauo wa zawadi za fedha kwa timu shiriki za Ligi Kuu ya NBC - Tanzania Bara kwa msimu wa 2024/2025, ambapo kila timu itapokea zawadi kulingana na nafasi iliyoishika kwenye msimamo wa mwisho wa Ligi. Mambo yanaweza kubadilika kwa Yanga na Simba endapo mchezo wa jioni ya leo Simba akishinda...
  10. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Simba ikiifunga Yanga tarehe 25.06.2025 basi walimwengu tukaongeze Elimu

    🔮 Final Prediction: 🟢 Young Africans Sports Club is favored to win or draw, based on: Match and name numerology (4) Capricorn Moon (structure, defense) Astrological support from Venus and Saturn positions Strong advantage amplified by Sun in Cancer Likely Score (intuitive reading): Young...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TFF ya kanusha kuahirishwa kwa Dabi ya Kariakoo

    TFF imekanusha taarifa iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ya kuahirishwa kwa mchezo kati ya Yanga na Simba June 15 katika uwanja wa Benjamini Mkapa.
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Jean Baleke mbioni kusajiliwa mtibwa sugar msimu ujao

    Kwa mujibu wa ripoti kutoka ndani ya klabu ya Mtibwa Sugar zinasema viongozi wapo kwenye hatua za mwisho za kuinasa saini ya mshambuliaji wa zamani wa klabu za Simba na Yanga, Jean Baleke. Klabu hiyo ambayo imepanda daraja msimu huu inajiimarisha zaidi kwenye safu yake ya ushambuliaji, licha ya...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Timu 5 za ligi kuu NBC PL kugomea mechi zilizobaki hadi TPLB watakapojibu madai yao kuhusu hujuma waamuzi

    Timu Tano kutoka ligi kuu NBC PL tayari zimeandika barua Bodi ya ligi kuwataka waje na maelezo ya kina kuhusu waamuzi wanavyofanya hujuma dhidi Yao Wameweka wazi kuwa bila majibu ya kuridhisha hawako tayari kucheza mechi zote 2 zilizobaki ili kutamatisha ligi Timu hizo ni Yanga, Namungo...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Barcelona ndiyo Mabingwa Wa Ligi kuu ya Hispania 2024/2025

    #LaLigaEASports Barcelona ndiyo mabingwa qa ligi kuu ya Hispania 2024/25. Hili ni taji lao 28. FT': Espanyol 0-2 Barcelona
  15. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania Udhamini wa GSM kwenye ligi kuu sasa kuchunguzwa na FIFA

    Inaelezwa kuwa kuna kiongozi wa Klabu ambaye anasimamia timu kubwa barani Afrika ataingia matatani hivi karibuni. FIFA imetuma nyaraka kwa Shirikisho la Soka kuhusu tuhuma za upangaji mechi zilizotolewa dhidi yake. FIFA imelitaka Shirikisho hilo kufanya kazi kwa karibu na kutoa ushahidi wote...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya Veterans: Simba SC 2-0 Azam

    FT Simba 2-1 Azam Nimefarijika sana kuwaona wachezaji wakongwe wa Simba. Nikiri kwamba hawa ndio watu waliofanya nianze kushabikia Simba SC enzi za RTD na mtangazaji Juma Nkamia na Bin Swed Dua Bin Saidi Pamba Lufo George Masatu Kipa Kelvin Mhagama Chombo Redondo Haruna Boban Adam Kingwande...
  17. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Yanga SC Yashtua Afrika sasa kuisubiri Pyramids au Sundowns!"

    Hongera sana kwa Yanga kwa kazi ya kishujaa ya kuwatoa mabingwa wa Zanzibar, timu ngumu kabisa ya KVZ! 🎉 Kwa kweli mmeonesha kiwango cha juu mno, mpaka tukabaki kushangaa. Sasa safari yenu ya kimataifa inaendelea kwa kishindo — hatua inayofuata ni kumkabili mshindi kati ya Pyramids FC na...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa FA ubadilike. Timu za ligi kuu zicheze wenyewe kwa wenyewe

    Timu za ligi kuu zicheze zenyewe kwa zenyewe mpaka pale itakapobaki timu moja ambayo itaenda kukutana fainali na ile moja ya ligi Daraja la chini ambayo pia imeingia fainali baada ya kucheza na wenzake wa level moja. Au basi kila level itoe timu mbili kwa ajili ya nusu fainali, then hao vibonde...
  19. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Leeds Utd pamoja na Burnley zapanda Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

    Klabu za Leeds Utd na Burnley zimerejea Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa msimu ujao wa 2025/26. Leeds Utd na Burnley zote zina alama 94 baada ya michezo 44 huku wakibakiza mechi mbili mbili kabla ya ligi ya Championship kufikia ukingoni. Kwa alama hizo hazitoweza kufikiwa na vilabu vya chini...
  20. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Tunaomba viongozi wa Simba wafanye mpango Simba ikacheze ligi kuu ya Misri

    Hapo vip!! Kwa ubora wa Simba na hadhi yake inauwezo wa kucheza ligi kuu ya misri kisha ikatwaa kombe. Tukumbuke Simba ni timu ya 4 sasa hivi kwa ubora na ukubwa barani Afrika,hivyo kwa hujuma za wivu,za kishetani ,za kijinga,za kimaskini na kipumbavu zilizopo kwenye ligi yetu ambazo...
Back
Top Bottom