Maktaba ni sehemu ya watu kuongeza maarifa, mwana saikolojia Maslow katika mahitaji ya binadamu ameweka knowledge kama hitaji la tatu kuu muhimu kwa mwanadamu ili aweze kuendesha maisha yake ya kila siku na kujipatia maendeleo kutoka hapo alipo.
Ni nadra sana kusikia kijana anasema atakua...
Niaje wana Tech..
Kama miezi minne iliyopita nilikutana na hii Javascript Library
Inertiajs
Kidogo ni mpya, ila nikajaribu kuitumia kwa sababu kuu zifatazo
Nilikua na upgrade Projects zangu kutoka Laravel 7 kwenda Laravel 8
Laravel 8 ime ship na package moja nzuri sana inayoitwa Laravel...
Habari Wakuu Mambo vipi?
Anatafuta kazi ya library. Amesomea base ya library kwa shule za secondary na primary school mpaka chuo kwa upande wa maktaba, jinsia ni wa kike yupo dar es salaam, namba ya simu ni 0754831451
Habari za asubuhi wanajamvi,
Nimeleta uzi hapa naamini nitapata msaada wa kimawazo. Kwa kawaida katika makuzi ya watoto malezi yanatofautiana na hivyo kuleta tabia tofautitofauti baina ya familia moja na nyingine au jamii moja na nyingine.
Hoja yangu ni kuhusu kuongeza IQ, Creativity and...
Habari JF.
Ni habari njema kwa watumiaji wa service ya TOVL kwa ajili ya kusoma vitabu online, na sasa wameamua kuachia toleo lao kwa watumiaji wa simu platform ya android .
Ni jambo jema sasa tutakuwa na uwezo wa kusoma vitabu popote.
Hongeren sana team nzima ya TOVL
Download : TOVL (...
Habari wana JF ..
Nimekutana na hii habari mwananchi nikaona ni vizuri kushare
Rainer Mwashu, mtaalamu wa utengenezaji wa mifumo ya kompyuta, ambaye kwa sasa ni muajiriwa wa Mamlaka ya Bandari, iliyo chini ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi , ametengeneza maktaba ya mtandaoni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.