lhrc

Latvian Human Rights Committee (Latvian: Latvijas Cilvēktiesību komiteja, Russian: Латвийский комитет по правам человека) is a human rights non-governmental organization in Latvia. It is member of international human rights and anti-racism NGOs FIDH, AEDH. Co-chairpersons of LHRC are Vladimirs Buzajevs and Natalija Jolkina. According to the authors of the study "Ethnopolitics in Latvia", former CBSS Commissioner on Democratic Institutions and Human Rights Ole Espersen "had visited LHRC various times and had used mostly the data of that organisation in his views on Latvia".

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    LHRC na Wadau wakutana na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa UN, Parfait Onanga Anyanga jijini Dar es Salaam

    Leo tarehe 12 Machi 2026, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), sanjali na wadau wengine wa masuala ya haki za binadamu wamekutana na mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Parfait Onanga Anyanga katika ofisi za Umoja wa Mataifa zilizopo jijini Dar es Salaam. Ndugu Parfait...
  2. Roving Journalist

    LHRC yalaani onyo la JAB kwa Waandishi wa Habari, yasema linakandamiza Uhuru wa Vyombo vya Habari

    LHRC yalaani vikali hatua ya Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kutoa onyo kwa waandishi wa habari kutokana na maudhui ya kipindi cha televisheni. Hatua hii inakiuka uamuzi wa Mahakama ya Afrika Mashariki na ni jaribio la kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari nchini. Uhuru wa habari...
  3. M

    LHRC wanahoji nini juu ya huyu Banjo? Wana msaada gani zaidi ya kula pesa za wafadhili. Walishasaidia wapi watu wakionewa?

    Maneno mengiii hakuna lolote
  4. Roving Journalist

    LHRC yalaani tukio la Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha kutekwa na kuuawa

    Pia soma ~ Jeshi la Polisi lasema linafanya uchunguzi kifo cha Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha
  5. Chachu Ombara

    LHRC: Wakuu wa Wilaya/Mikoa waache matumizi mabaya ya mamlaka kwenye masuala yahusuyo tuhuma za kijinai

    matumizi mabaya ya mamlaka hasa zinapohusishwa tuhuma za kijinai na kinyume chake Jeshi la Polisi litekeleze wajibu wake wa kikatiba. Pia katika mchakato wa uuzaji au ununuzi wa ardhi vyombo vilivyopewa mamlaka chini ya Sheria ya Ardhi viachiwe jukumu hilo. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu...
  6. Roving Journalist

    LHRC: Wakuu wa Wilaya hawana mamlaka ya Kipolisi kutoa amri ya raia kuwekwa ndani

    https://www.youtube.com/live/wr4EWHjPnuE?si=71vzeEzsoV41J8sS Akitoa taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe, amesema kuwa kumekuwa na ongezeko la matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya viongozi...
  7. Waufukweni

    LHRC yafungua kesi ya kikatiba kupinga adhabu ya viboko shuleni kufuatia kifo cha mwanafunzi Simiyu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeunga mkono na kufungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda Kuu Dodoma) kupinga uhalali wa matumizi ya adhabu ya viboko shuleni. Kesi hii imewasilishwa kwa niaba ya Samwel Maduhu Mangu, mlezi wa marehemu Mhoja Wilson Maduhu...
  8. W

    PostGE2025 Wafanyakazi wa LHRC waelezea walivyovamiwa Hoteli ya Whitesands

    Wafanyakazi na wadau wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) waliovamiwa usiku wa jana katika Hoteli ya Whitesands wameeleza hali halisi ya tukio hilo kuanzia lilipotokea hadi leo waliporipoti katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Dar es Salaam, ofisi ya ZCO, kama walivyoelekezwa kufanya...
  9. Waufukweni

    GE2025 LHRC: Tume huru ichunguze mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu Uchaguzi Mkuu 2025 na wahusika wawajibishwe

    TAARIFA KWA UMΜΑ Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Kimesikitishwa na matukio ya mauaji na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba mwaka 2025. Wakati Rais akiahidi maridhiano tunatoa wito wa kuundwa kwa Tume huru ya Kijaji kuchunguza...
  10. Roving Journalist

    LHRC: Vijana wanne wanaoshikiliwa kwa Siku 26 Kituo cha Polisi Mkuranga wapewe haki ya dhamana au wapelekwe Mahakamani

    TAARIFA KWA UMMA WITO KWA JESHI LA POLISI MKOANI PWANI WILAYA YA MKURANGA KUWAPA HAKI YA DHAMANA VIJANA WANNE (4) WANAOSHIKILIWA KATIKA KITUO CHA POLISI MKURANGA 15 Agosti 2025, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepokea taarifa kutoka kwa wananchi wa Wilaya ya...
  11. tonicimmobility

    SI KWELI PreGE2025 LHRC waionya CHADEMA lugha za matusi

    LHRC waionya CHADEMA kuhusu matumizi ya lugha za matusi
  12. Roving Journalist

    LHRC: Tunalaani utekaji na kutelekezwa kwa Mwabili Mwagodi

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani kitendo cha utekaji, utesaji na kutelekezwa kwa raia wa Kenya, Bw. Mwabili Mwagodi. Tukio hili linatishia misingi ya haki, amani, na utawala wa sheria katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, LHRC inataka uchunguzi huru na wa wazi, na hatua kali...
  13. DuaZaMama

    SI KWELI PreGE2025 LHRC yalaani kauli zisizo na mashiko za Maria Sarungi zenye mashiko ya uchochezi na uvunjifu wa amani

    Wakuu ===== Ni kweli LHRC imelaani kauli zisizo na mashiko za Maria Sarungi zenye mashiko ya uchochezi na uvunjifu wa amani? mwenye ukweli wa taarifa atupe ukweli.
  14. W

    SI KWELI PreGE2025 LHRC yaandika barua kumtaka Maria Sarungi aache kuchochoe fujo mtandaoni

    Wakuu hii taarifa ni ya kweli imetolewa na LHRC?
  15. Genius Man

    Kituo cha haki za binadamu LHRC kutoa msaada wa dhamana kwa watanzania wasio na hatia kunyimwa haki yao ya kuabudu kunachafua taswira zaidi ya nchi

    Kituo cha haki za binadamu LHRC kutoa msaada wa dhamana kwa watanzania wasio na hatia kunyimwa haki yao ya kuabudu kunachafua taswira zaidi ya nchi. Ni wazi kuzuiwa kwa mamia ya watanzania kufanya ibada bila kosa kwa sababu za kisiasa ni kosa kubwa sana ni kama mamlaka iliyopo madarakani...
  16. R

    LHRC yasaidia dhamana kwa waumini 52 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima waliokamatwa na Jeshi la Polisi

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimefanikiwa kusaidia dhamana ya waumini 52 wa Kanisa la Ufufuo na Uzima waliokamatwa na Jeshi la Polisi tarehe 29 Juni 2025 katika eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam Soma Pia: Video: Polisi wampiga na kumuumiza maeneo ya kichwani muumini wa Kanisa...
  17. JanguKamaJangu

    LHRC: Tumesikitishwa vikali na uamuzi wa Serikali kuzuia upatikanaji wa Mtandao wa X (zamani Twitter)

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGIWA KWA MTANDAO WA X (ZAMANI TWITTER) Dar es Salaam, 4 Juni 2025 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesikitiswa na kinalaani vikali uamuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kuzuia upatikanaji wa mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter)...
  18. Ojuolegbha

    GE2025 John Heche: CHADEMA haileti Wanaharakati Kutoka nje, LHRC ndio inawaleta

    CHADEMA HAILETI WANAHARAKATI KUTOKA NJE, LHRC NDIO INAWALETEA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA Katika mkutano uliojaa msisimko wa kisiasa uliofanyika leo Mei 23, 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameweka wazi msimamo wa chama hicho kuhusu tuhuma...
  19. Roving Journalist

    LHRC yalaani tukio la Mdude Nyangali kuvamiwa, kuchukuliwa na Watu wasiojulikana

    KUKEMEA NA KULAANI VIKALI SHAMBULIO DHIDI YA NDUGU MDUDE NYAGALI Dar es Salaam, 02 Mei 2025 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kukemea vikali shambulio dhidi ya ndugu Mdude Nyagali lililotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 Mei 2025 akiwa nyumbani kwake mkoa wa Songwe. Hivi...
Back
Top Bottom