lengo

The ancient rock art site of Lengo is located in the Bakouma region of the Central African Republic.

View More On Wikipedia.org
  1. Lengo lenu nini mnao wakataz wake zenu kufanya kazi?

    Mnafact ipi inayo wafanya kuwazuia wake zenu kufanya kazi au kufanya biashara wengine mme waachisha wake zenu kazi mliwakuta wameajiriwa lakini baada ya kuwaoa mmewapiga pini wasijushugulishe na kazi. Mnaongeza idadi ya magoli kipa kuwa wengi mwisho wa siku mkija kufa mashemeji na mawifi ndio...
  2. Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

    Happy Christmas Nimeona tangazo hili azam tv kuwa kutakuwa na mdahalo wa maswali na majibu kuhusu Mohammed na Jesus Nachojiuliza why waislamu wanapenda sana kuongelea mambo ambayo wao hawayaamini? Mmeshawai sikia wakristo wameandaa matamasha au mdaharo kwa lengo la kupambanisha imani? Kuna...
  3. Kumbe mnaposema tuwe na confidence mnakuwa na lengo baya?

    Wazee baada ya kudevela katika interview nyingi kwa uoga na presha sasa mwezi uliopita naweza kusema katika interview zote nilizowahi kuattend nakiri hii ya mwezi jana ilikuwa ndo ilikuwa the best performance i ever had kiasi cha kuwatisha wote waliokuwa wanauliza maswali unaona kabisa...
  4. Dini zinatuchanganya sana. Ni yapi ni mazishi sahihi kati ya Dini zote na madhehebu yote,Ikiwa lengo ni kwenda peponi/Mbinguni?

    Wakuu Mimi Bado Kuna vitu Huwa najiuliza na mara zote sijawahi kupata majibu! Hapa Duniani tuna dini aina tofauti tofauti na madhehebu Hali kadharika. Na dini zote/Imani zote na madhehebu yote Yana hubiri uzima wa milele baada ya kifo hii hata Mimi naamini kuwa Kuna maisha baada ya kifo/ufufuo...
  5. Unamtaji wa kuanzia 1.5M au ulikuwa na lengo la kufungua biashara ya M-pesa/Tigo pesa ? Achana na hilo wazo kwanza January hii Anza na hii biashara

    Salamu Sio muhimu sanaaa soma hapa chini 👇 Biashara yenyewe ni hapa Kuhudumia wateja wa mtandao wa YAS zamani Tigo ambao wanachukua huduma zao za kibiashara kutoka katika kitengo Cha Tigo business au almaarufu kama Mjasiriamali box HUDUMA HIZO NI Post Paid Bundles 5G...
  6. Mwanamke hata kabla hujamtongoza anakuwa amesha tambua lengo lako kupitia lugha ya macho

    ikitokea umekutana na mwanamke akakuvutia kwa mara ya kwanza na ukamtazama directly machoni/usoni. Basi tambua ubongo wa huyo mwanamke unaanza kukudescribe papo kwa hapo kama unafaa kuwa nae au hufai, na baadae huyo mwanamke hukaa na kukufikiria kisha atajipa jibu yeye mwenyewe kama ni YES au...
  7. Pave, Ayo Blog kwenye Group la Whatsapp la Moshi yetu, lengo lake ni nini?

    Fuatilia,tupe ushauri!
  8. Hivi lengo la Hamas lilikuwa ni nini ile Oktoba 7, 2023?

    Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa bila kupata majibu. Kwa nini Hamas walianzisha chokochoko ambayo msukosuko wake hawawezi kuustahimili? Wapalestina wa Gaza wanapaswa kuilaani kabisa Hamas na kuipinga kwa hali zote. Ndiyo, Wapalestina hao wa Gaza walikuwa wanaishi kwenye mazingira magumu...
  9. S

    Kama Mwanaume, lazima ujue lengo la kwanza la Mwanamke ni Mwanaume

    Yes huu ni ukweli mchungu ambao lazima Kila kijana wa kiume anayetaka kuingia kwenye ndoa aujue..........huyu ni mdogo wetu,ndugu yetu,jamaa yeti,alioa kwa mbwembwe mwanamke daktari,ndoa ina miezi nane sasa,mke ameenda masomoni mkoa mwengine kilomita zaidi ya 800,yupo busy na masomo Jamaa...
  10. L

    Lengo la maendeleo la G20 laonyesha umuhimu wa mchango wa Dunia ya Kusini

    Mkutano wa kilele wa 19 wa Kundi la Nchi 20 (G20) umefanyika hivi karibuni mjini Rio de Jeneiro, Brazil. Rais wa China Xi Jinping amesema katika mkutano huo kwamba, China imetangaza uamuzi wa kuzipatia nchi zote zilizo nyuma kimaendeleo zenye uhusiano wa kibalozu na China huduma ya kuondoa...
  11. Bondia Mwakinyo ashiriki zoezi la uokoaji Kariakoo

    Wakati zoezi la uokoaji likiwa linaendelea eneo la Kariakoo jengo lilipoanguka, Bondia wa Kimataifa wa Tanzania Hassan Mwakinyo ameshiriki katika zoezi hilo. My take: serikali isimamie hili jambo kwa weledi tupunguze chip popularities, professionals waachwe wafanya uokozi. Sio hawa wasanii...
  12. Israel Iliitaarifu Iran Maeneo Itakayoyapiga, Lengo Lilikuwa Ni Nini?

    Israel na Iran, zote zimekiri kuwa Israel, kabla ya kufanya shambulio dhidi ya Iran, kwanza iliitaarifu Iran juu ya muda na maeneo ambayo ingeyashambulia. U aweza kushangaa na kujiuliza, lengo lilikuwa ni nini? Maana ni sawa sawa mtu akuvizie ukapige kwenye mguu, ukaa kimya, halafu siku nyingine...
  13. Masharti 20 Yanayotakiwa Kuwa Kwenye Mkataba Wa Upangishaji Kwa Lengo La Kulinda Kipato Endelevu

    Hapa kuna masharti 20 ya kulinda kipato endelevu kutoka majengo ya kupangisha ambayo yanaweza kuwekwa kwenye mkataba wa upangishaji. Kila sharti linatoa mfano halisi ili kusaidia kuelewa jinsi linavyoweza kutekelezwa na umuhimu wake kwa mwenye nyumba. (1) Kodi Lipewe Kwa Wakati Mpangaji...
  14. Wanawake wanatafuta hela kwa lengo la kutupindua wanaume ili waishi wenyewe iwe rahisi kuongeza maasi duniani

    Salaam sana " Watakuja masingle maza hapa na wanawake mafeminist pamoja na wanaume wajinga na wavivu kuwajibika kupinga waraka huu wa kweli kuhusu hawa viumbe wazuri malaika na mauwa ya duniani zawadi kwa wanaume, wanao tafuta hela zao wenyewe" Ndugu zangu kama tujuavyo tokea enzi na enzi...
  15. LGE2024 Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

    https://www.youtube.com/live/iqytGMZ2IcA?si=lDqC4sL9BZTHvY1J Muhtasari wa matokeo ya uandikishaji Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura. Hii ni sawa na asilimia 94.83 ya lengo la kuandikisha watu 32,987,579, ambapo wanaume ni takribani 15,236,772 sawa na asilimia...
  16. Nilienda kwa lengo la kushauriwa nikaishia kusimangwa

    Kwa niliyokutana nayo kalaga baho niseme tu safari ya maisha ni ndefu sna. Mikasa, visa na vibweka kwa akili za watanzania ndo mahala pake. Umaskini nao ndo umefika Juzi wazee nilishikwa kwelikweli, maisha magumu sana Dira haioneshi wapi ni kaskazini. Basi nikajikoki kutafuta watu wazima kidogo...
  17. Lengo la kuanzishwa TAKUKURU lilikuwa ni nini?

    1. TAKUKURU ilianzishwa kwa malengo gani? Mwenye kujua tafadhali. 2. Je malengo (angalau moja) ya uanzishwaji wake yametimia? **Vigezo gani hutumika kupima utendaji bora wa watumishi wa TAKUKURU?
  18. F

    Mpaka sasa CHADEMA wameshatimiza lengo kuu la maandamano ni akili kubwa imetumika, polisi wanahaha.

    Kuna njia nyingi za kuandamana au kufanya shinikizo kwa serikali yoyote. Mojwapo ya njia hizo ni maandamano tunayoyajua. Njia nyingine ni kufanya mzunguko wa taarifa zitakazoifanya serikali ione kuna tatizo flani na wananchi hawafurahii hali hiyo. Mpaka sasa zipo taarifa za polisi kutoka mikoa...
  19. N

    Luqman Maloto (Mwanahabari): (Hotuba ya Rais Samia) haikuwa hotuba yenye hadhi ya Mkuu wa Nchi

    RAIS SAMIA HAHITAJI TENA MKALIMANI WA HASIRA! Anaandika Ndimi Luqman MALOTO HONGERA jeshi la polisi kwa kutimiza miaka 60. Yupo mtu aliniandikia ujumbe WhatsApp, unaosema: “Polisi inaposherehekea miaka 60, Dodoma inanuka damu.” Aliambatanisha na taarifa ya watu watatu waliouawa na kuchomwa...
  20. Tanzania tumeanza mauaji ya vitisho. Lengo wananchi wasiseme baya lolote

    Kwa nchi za kiafrika Tanzania haikuwa kwenye kundi la hovyo kiasi hiki. Usalama wetu ulilindwa kistaarabu kabisa na siyo kwa kutisha raia. Sababu kubwa ilikuwa ni uongozi usiokuwa na tamaa ya mali na u-bilionea madarakani. Kinachoonekana sasa tuko kwenye uongozi uliojaa tamaa za u-bilionea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…