lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Duniani Hakuna kitu cha bure chochote utakacho itaji lazima ukitolee kitu

    Vya Bure Duniani Hakuna. Lazima utalipa/ Unalipa iwe DIRECT PAYMENT/ IN DIRECT PAYMENT
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaenda njia panda: Demokrasia vs Udikteta lazima kila mtu mzima achague tupende tusipende

    Huu uchaguzi kufanyika vibaya na udanganyifu wa maridhiano umemaliza enzi za sasa za nchi yetu kutokujielewa. Kama nchi Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa udanganyifu na uongo uongo. Sasa baada ya haya utakuja muda wa Watanzania kulazimishwa kuchagua kwa vitendo mfumo mmoja kati ya haya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM Mwenyekiti wake Taifa, lazima awe Rais wa Nchi?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977. Katika mfumo wa kisiasa wa nchi, Mwenyekiti wa CCM amekuwa akichukuliwa kama lazima awe Rais wa nchi. Hii ni kwa sababu ya uhusiano wa karibu kati ya chama na serikali, ambapo CCM...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Usalama barabarani Tanzania, iwe mada ya lazima kufundishwa na maswali yake yajibiwe kwa lazima na kila mtahiniwa kwa ngazi zote za elimu nchini

    Kutokana na ongezeko kubwa la vyombo vya moto, vyombo vya usafirishaji na mitambo mbalimbali inayotumia barabara, ipo sababu ya mitaala na miongozo ya ufundishaji au utoaji mafunzo yoyote nchini kujumuisha mada ya usalama barabarani ili kupanua wigo katika uelewa wa matumizi sahihi ya barabara...
  5. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini kila MARIOO akitoa nyimbo na DIAMOND lazima atoe?

    ..MARIOO ni msanii ambaye anatoa hits nyingi sana ambazo zinafanya vizuri kila kona ya mtaa, na endapo DIAMOND akimwachia upenyo MARIOO wa kuendelea kusikika mtaani basi lazima atachukua nafasi yake, hivyo diamond ameshamshtukia MARIOO ni msanii anaye kubalika sana na ni rahisi kurithi kiti...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wapinzani lazima wakubali kwamba Uchaguzi umekwisha

    Kama Wapinzani wakiendelea kulalamika basi wajue uvumilivu wa Serikali utafika mwisho halafu jambo baya litatokea. Wapinzani wajikite katika Uchaguzi wa mwaka kesho. Kama lipo tatizo lolote katika Uchaguzi huu,basi CCM inaweza kufanya internal review. CCM inaweza kujipeleleza Wapinzani...
  7. JamiiForums Tanzania Watoto sio lazima eti

    "Mimi na mke wangu tumekubaliana kwamba hatutakuwa na watoto. Tunataka kufurahiya maisha yetu, Kuwa na watoto kutatuzuia." — John Cena "Ni sawa kabisa watu kutaka watoto, lakini mke wangu na mimi hatuko tayari kuchukua jukumu hilo. Ninataka kufurahiya maisha yangu na kuwa na furaha bila mzigo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM: Lazima mkubali mambo yanabadilika na humuwezi kuwadanyanya watu siku zote

    CCM ni chama kikubwa chenye historia kubwa ndani ya nchi na nje ya nchi lakini nashauri yafatayo! CCM kwenye chaguzi kuanzia 2019 imekuwana na woga kushindana na vyama vingine na kupelekea watu wengi kuona zoezi la uchaguzi halina maana CCM itambue kizazi kinabadilika na kusema kweli watu...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Ghati Chomete: CCM Imejipanga Vizuri, Lazima Itashinda kwa Kishindo Uchaguzi Serikali za Mitaa

    MBUNGE GHATI CHOMETE: CCM IMEJIPANGA VIZURI, LAZIMA ITASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 26 Novemba 2024 ahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwaombea kura wagombea wa CCM Wilaya ya Musoma...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kosa gani au kitu gani mpenzi wako akifanya lazima umpige chini hata kama unampenda kiasi gani?

    Wakuu habari.... Iko hivi nimelata hiyo maada hapa juu sababu naona huyu mwanamke ana kila dalili ya kutofaa/ sio wife material kabisa. Mimi ndiye niliyemnunulia simu na kumfungulia hizi akaunti za social media kama instagram na Facebook. Sasa huwa sina tabia ya kushika simu yake sababu...
  11. JamiiForums Tanzania Sitashiriki kamwe chaguzi yoyote nchini Tanzania kwa sababu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa na Wizara ya Ardhi

    Kipimo kikuu cha akili na ustaarabu wa binadamu yeyote yule ni namna anavyopangilia maeneo yake anayoishi na kufanya shughuli zake. Haijalishi kama anajenga nyumba za kitajiri au za kimaskini ila namna gani alivyopima na kupangilia makazi yake ndicho kielelezo pekee kinachoweza kukwambia kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiongea na mtu wa hisia zako, anayeutawala moyo wako lazima mwili usisimke

    Ukiongea na mtu wa hisia zako, anayeutawala moyo wako lazima mwili usisimke, akili ihame yaani wa hisia zako hat sauti yake tu inakupa namna ya kuuhisi upendo na kuwaza mbali💞 Hakikisha unahusiana na mtu ambaye hata ukisikia sauti yake tu unapangawa, ukimuwaza unakosa utulivu bila kusikia sauti...
  13. JamiiForums Tanzania Kukaa Mjini sio lazima

    Ukiona mambo hayaendi Mjini, rudi kijijini ukajipange upya. Wakati ukiendelea kupambana na online hustles, kumbuka kuwa na vitu vingine vi2 au zaidi utakavyofanya kujipatia kipato kama online pakiwa pakavu. Najua utakataa, ila kijijini unasave sana matumizi ya pesa na unapata muda mzuri wa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Compare and contrast, lazima majengo ya kariakoo yaanguke yote maana yamejengwa hivyo yote

    Serikli ifanye tathimini ya majengo yote kariakoo, yooooooooooooooooooooooooooote! short of that makubwa yanakuja kwenye s clled gorofa za kariakoo. angalia na linganisha floor hizo mbili https://x.com/i/status/1857878582976229744
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kikao cha Balaza la mawaziri kikiisha lazima taarifa itolewe ya walicho azimia, Tanzania ni kimya

    Kenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking News kabisa. Tanzanua vikao vya mawaziri ni siri nzito mno, waoiga Kura hawapaswi kujua hizo siri...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kocha Mpya Yanga: Lazima niende sehemu inayoendana na malengo yangu (saed ramovic sababu ya kujiuzuru)

    Ramovic alitangaza kujiuzulu nafasi yake kama kocha mkuu wa TS Galaxy kwenye televisheni baada ya timu yake kutoa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa ligi Kuu msimu huu. Alipohojiwa na iDisk Times alisema kuwa anahitaji sehemu inayoendana na malengo yake kama kocha. "Ni lazima niende sehemu...
  17. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki wamwambia Ruto kuwa Utamaduni wa Uongo lazima Ukomeshwe

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limeikosoa serikali ya Rais William Ruto kwa kushindwa kutimiza ahadi zake kwa Wakenya na kudumisha utamaduni wa uongo na kutumia mitambo ya Serikali kunyamazisha wapinzani Aidha, Mwenyekiti wa Baraza hilo, Askofu Maurice Muhatia amewashutumu viongozi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Diamond na Zuchu kila wanapotaka kutoa wimbo lazima WASEME WAMEACHANA

    Naona ka Zuhura tayari kametangaza kuachana na Diamond. Wasanii wa Bongo bhana
  19. JamiiForums Tanzania Serikali lazima itambue BAKWATA ni dhehebu moja tu miongoni mwa madhehebu ya Kiislamu, wala BAKWATA haina haki wala sifa ya chombo cha Waislamu

    Kupitia jukwaa hili naomba, kuifahamisha Serikali...na isijifanye hailioni hili... BAKWATA ni dhehebu la TWARIQA, miongoni mwa madhehebu tu kama vile lilivyo, HIZB TAHRIIR, TABLIIGH, SALAFY, SHIA... Ndio maana hata namna yao ya kuendesha mambo yao na uteuzi wa watu wao kuanzia Mufti mpaka...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu mama ni shujaa "kwani mume wangu akipiga sehemu lazima nijue?"

    https://www.facebook.com/reel/2040320036421591
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…