Lazaro Samuel Nyalandu (born 18 August 1970) is a Tanzanian politician, former member of the Chama Cha Mapinduzi and former Minister of Natural Resources and Tourism. He represented the Singida North constituency in the National Assembly since 2000. He is currently a member of CHADEMA, an opposition party in Tanzania.
Kauli hii ya Nyalandu inatoa picha gani? Kuna nini anachokihofia kuelekea kura za maoni kumpata mgombea urais CHADEMA?
Kwa kauli hii atakubaliana na matokeo kweli ikiwa hatochaguliwa?
Hawa hapa
Mwingine huyu hapa anaitwa Jumbe ni mwakilishi wa Tundu Lissu
Kazi iliyobaki ni kwa Vikao vya chama kukamilisha mchakato .
Mungu ibariki Chadema
Ni ombi tu kwa wenyeviti wa vyama shirika katika uchaguzi mkuu ambavyo ni Chadema, ACT Wazalendo na Chauma.
Mara ya mwisho kushuhudia mdahalo wa wagombea urais ilikuwa ni 2015 kati ya January Makamba, Mwigullu Nchemba, Dr Hamis Kigwangalla na mzee Hashimu Rungwe ambao wote walifeli vibaya sana...
Kwanza kabisa sifikiri kama Tanzania kwa mwaka huu kwenye nafasi ya urais upinzani utashidwa. Pamoja na ukweli kwamba Magufuli kafanya zaidi ya Kikwete kwenye kipindi chake cha kwanza lakini Magufuli amekandamiza sana demokrasia kwa kipindi cha miaka karibu mitano sasa.
Lakini upinzani unaweza...
Nikitazama mwenendo wa kampeni za ndani kwenye Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA ] ambako kuna Wagombea wengi, unaona wazi kuwa Mgombea Lazaro Nyalandu amejipanga zaidi kiakili na uwezo kugombea Urais mwaka huu 2020.
Kwa namna anavyoandaa mikutano yake ya ushawishi, aina ya kampeni...
Mgombea urais mtarajiwa wa Chadema mh Lazaro Nyalandu kesho saa 11.00 jioni atazindua kampeni zake za kutafuta kuteuliwa na chama chake jijini Mwanza.
Nyalandu ataendesha kampeni zake kwa njia ya kidigitali kwahiyo wanachadema wote mnaombwa ushirikiano wenu.
Safari imeanza.
Maendeleo hayana...
VIDEO Courtesy: CHADEMA
Lazaro Nyalandu 2020
Mabibi na Mabwana,
Ndugu Wanahabari,
Leo natangaza rasmi azma yangu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA. Mapema asubuhi ya leo, nimemwandikia burua Katibu Mkuu wa Chama...
Mwanachama mwandamizi wa Chadema , Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu atazungumza na wanahabari Leo saa 12 kamili jioni.
Taarifa za uhakika ni kwamba mwanasiasa huyo kijana mwenye umaarufu mkubwa anatarajiwa kutangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia...
Wakati wowote kuanzia sasa aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya CCM na baadae kujiuzulu na kuhamia Chadema Mh. Lazaro Nyalandu atachukua fomu za kugombea urais.
Taarifa za chini ya kapeti zinasema Nyalandu ana baraka zote za uongozi wa juu wa chama chake na atakachosubiri ni kukubaliwa tu chama...
Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.
Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za...
Taarifa ya Haraka kwa Vyombo vya Habari Kuhusu Mgogoro wa Ardhi Loliondo
Sisi Viongozi wa Mila, Kisiasa, Wawakilishi wa Wanawake tumesikitishwa sana na Taarifa ya uongo aliyoitoa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu juu ya ukweli wa Mgogoro wa Loliondo. Ifuatayo ni ufafanuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.