latra

Latrás is a locality located in the municipality of Sabiñánigo, in Huesca province, Aragon, Spain. As of 2020, it has a population of 12.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Daladala Arusha, Dereva Daladala wailalamikia LATRA, wadai haiwatendei haki

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polis (ACP)Zauda Mohamed, amewaomba wamiliki na madereva wa vyombo vya moto vinavyotoa huduma za usafirishaji maarufu kama “daladala” mkoani humo kukaa pamoja na mamlaka husika, ikiwemo Jeshi la Polisi, ili kutafuta...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nchi inaendeshwa kihuni. LATRA website hakuna majedwali ya nauli za sasa. Wanaficha nini?

    Nchi ya wahuni, kila mtawala ni muhuni. Can you imagine website yao haina tables za nauli za sasa. Wanaficha nini? Wanalenga nini kutoweka nauli kwenye website yao. Kuna tables za 2024!
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Usafiri wa Arusha Mjini – Loliondo umepanda kutoka Sh 18,000 hadi 28,000, LATRA hii ni sawa?

    Jamani sisi Wanangorongoro tunateseka sana wakati wa kusafiri kutoka Arusha Mjini kwenda Loliondo, kinachotusumbua ni upandashwaji wa nauli kiholela bila ya kufuata utaratibu uliowekwa na LATRA. Kampuni ya Loliondo Coach ndiyo kampuni pekee inayotuhudumiwa. Nauli ilikuwa ni TSH 18,000...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna daladala ya Kinyerezi inatoza nauli tofauti na iliyopangwa na LATRA

    Hili gari linatoza nauli tofauti na kilichoandikwa hapo, abiria ukilalamika wanasema mafuta yako juu, kwani sisi wananchi sauti zetu tuzipaze wapi? Kinyerezi hadi Mlimani City abiria unakatwa shilingi 1,000 wakati ticket inasoma 900, hili gari konda na dereva wake wanajiona LATRA. Pia soma ~...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA watusaidie! Daladala za Kisemvule - Gerezani haziji kituoni, zinapaki kona ya Gold Star

    Daladala za Kisemvule - Gerezani zimekuwa kero, tangu nauli zimepanda Mei 1, 2026 haziji kituoni badala yake zinapaki kona ya Gold Star na nauli watu wanalipishwa sh 1,900 ukiifata kule kona swali langu ni je, LATRA wanalifahamu hili? Je, wanatusaidiaje kwenye hili, muda mwingine unaweza...
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania LATRA Kinodoni ipo liziki?

    LATRA Jiji la Dar es salaam inasemekana ipo likizo. HALIMA LUTAVI ambaye ni kaimu mkurugenzi usafiri wa barabara , sijui kama yupo ofisini ama likizo ya masomo, kwakuwa DALADALA zinakatisha ruti na uongozi upo, hatutaki kumuingiza mkurugenzu mkuu kwakuwa ana majukumu mengi na ndio sababu...
  7. MURUSI

    JamiiForums Tanzania LATRA Arusha ni wameshindwa kusimamia Daladala kuhusu kujipandishia nauli kiholela?

    Hawa LATRA Arusha ni kama wana share kwenye vyombo vya usifiri au kuna bahasha wanapitiziwi ili wakae kimya. Nauli mpya zimeanza kutumika mei mosi, ila cha ajabu Arusha ndio sehemu pekee Dalaladala wana kiwamgo chao cha nauli nje ya nauli zilizo tolewa na LATRA na mbaya zaidi LATRA wapo...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Sasa LATRA wamekunjua Makucha. Tuliwaonya Madereva hawakusikia

    Sasa LATRA wamekunjua Makucha. Tuliwaonya Madereva hawakusikia SOMA HAPA. Sasa kila Dereva anayekamatwa analialia kusamehewa eti hakuwa na taarifa.. Hadi wengine wanajifanya kutoa Rushwa. Nani alimwambia LATRA wanapokea Rushwa? Nawaonya tena, wale Madereva wanajifanya kutoa chai pale...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Upandishwaji nauli kiholela jijini Arusha

    Habarini wanaJF, Mimi ni mfanyakazi katika jiji hili la Arusha,ninaishi maeneo ya sakina silent inn huku kazi nafanyia Sanawari. Hapo kabla hata ya mamlaka zinazohusika (LATRA)kupandisha nauli,watoa huduma hii ya usafirishaji yaani daladala ndani ya mkoa huu walikua tayari wamekwisha pandisha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Wahariri lalaani kuvunjwa kwa ofisi za gazeti la Pambazuko

    Pia soma: Ofisi za gazeti la Pambazuko zavunjwa, waibiwa Kompyuta, Kamera, Nyaraka
  11. JoJiPoJi

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa LATRA, mgomo wa wasafirishaji unakuja, wasafirishaji hawatanii

    Kutokana na hali ya kupanda kwa bei ya mafuta duniani, inayochangiwa na mvutano unaoendelea huko Iran, wadau wa sekta ya usafirishaji nchini wanakumbwa na changamoto kubwa za uendeshaji. Mnamo tarehe 08 April 2026, LATRA iliitisha kikao na wadau wa usafirishaji kwa lengo la kujadili hali hiyo...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LATRA: Kupanda kwa bei ya Mafuta sasa, hakuathiri Nauli

    MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafirishaji Ardhini (LATRA), Habibu Suluo, amesema kuwa kupanda kwa bei ya Mafuta ya sasa haiathiri nauli hivyo nauli zitaendelea kubaki vile vile. Suluo ameongeza kuwa nauli zinaweza kupandishwa ikiwa bei ya Mafuta itapanda kwa kiwango kikubwa...
  13. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania LATRA toeni ufafanuzi kuhusu nauli wanazotoza mabasi ya costa ya Moshi kwenda Arusha

    Niwaombe mamlaka ya LATRA waingilie kati maana costa za Moshi Arusha wamejipangia nauli wanavyo taka hii imekuwa ghali kuliko. Naomba Latra wafuatilie hili au wapange nauli halali kama inavyo takiwa. Shukran
  14. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania LATRA na kupanda kwa nauli

    Nimeona tangazo LATRA inataka kukaa na wadau ili nauli zipande heti! Hii Nchi hawa viongozi hawana huruma na wananchi au? Mafuta yashaanza kushuka huko duniani, wao wanawaza kupandisha nauli.
  15. M

    JamiiForums Tanzania LATRA kupokea maoni ya nauli kuanzia April 8, 2026

    MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) leo itaanza mchakato wa kupokea maoni ya wadau kuhusu uwezekano wa kufanya mapitio ya nauli za usafiri wa umma, baada ya kupanda kwa bei ya mafuta na wadau kulalamika kunachangia kuongezeka kwa gharama za uendeshaji kwa watoa huduma. Taarifa ya umma...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LATRA: Wasafirishaji wawaoneeni huruma Watanzania, msiongeze nauli hadi tuzungumze, hatujui mwezi ujao itakuwaje

    Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Habibu Suluo, ametoa rai kwa wasafirishaji nchini kutokuchukua maamuzi ya kupandisha nauli bila kufuata utaratibu uliowekwa kisheria, akisisitiza umuhimu wa utulivu huku mamlaka ikiendelea kufuatilia mwenendo wa gharama za...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi LATRA: Asipandishe mtu nauli kwa kusingizia mafuta kupanda

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewataka wadau wote wa sekta ya usafirishaji nchini, kutopandisha nauli kwa kigezo cha kupanda kwa bei za mafuta na badala yake wafuate utaratibu rasmi utakaowekwa na watakaopandisha hawatasita kuwachukulia hatua kali za kisheria. Akitoa kauli hiyo...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma Mbovu za Magari ya NEW BEST LINE, ruti ya Tarime - Dar es Salaam

    HAWA JAMANAA WANA HUDUMA MBOVU 🤮🤮🤮 .. NIMELIPIA BUS LUXURY VIP NAULI 85,000 KUTOKA BARIADI KWENDA DAR, BUS IMEFIKA IMECHELEWA, KUINGIA NDANI KUNA JOTO AC HAWAWASHI .. VUMBI NJIANI MTU UMETOKA MZIMA UNAFIKA NA MAFUA .. UKIULIZA KWANINI HAMUWASHI AC, UNAJIBIWA ITAWASHWA .. NA SASA TUMEFIKA...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Tanzania kaa chonjo.. Kuanzia Aprili kiama kinakuja kama hujajisajili LATRA

    Salaam Wakuu, Naona LATRA imeamua kula sahani moja na Madereva, Safari hii itakuwa kumbakumba nguo kuchanika. Ipo hivi; Kuanzia mwezi wa nne 2026, kama wewe ni Dereva na haujajisajili LATRA, Au unenunua vyeti feki, Madereva mnaonunua barua za uhakiki na hamna vyeti, madereva wanaonunua...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ukikamatwa na Afisa wa LATRA barabarani, tulia kama unanyolewa. Sheria imewapa nguvu sana

    Tanzania bora ukamatwe na Polisi sio LATRA. Kwanza hawahongeki, hawazoeleki, hawaonei wala hawana huruma. Hata haya mambo ya Foleni wakiachiwa kazi LATRA, mambo yatanyoka. Afisa huyo wa LATRA akikukamata, atakusalimia kisha atakuomba kukukagua. Mfano kwa wanaobeba abiria, atakagua...
Back
Top Bottom