LATRA Kinodoni ipo liziki?

LATRA Kinodoni ipo liziki?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
16,275
Reaction score
24,675
LATRA Jiji la Dar es salaam inasemekana ipo likizo.

HALIMA LUTAVI ambaye ni kaimu mkurugenzi usafiri wa barabara , sijui kama yupo ofisini ama likizo ya masomo, kwakuwa DALADALA zinakatisha ruti na uongozi upo, hatutaki kumuingiza mkurugenzu mkuu kwakuwa ana majukumu mengi na ndio sababu amekaimisha kwa wengine.

Daladala za KAWE-GEREZANI , ikifika saa nane mchana, pale Kariakoo zinaita abiria Mwisho KONONDONI BIAFRA.

Zikifika Biafra Zinashusha na kuingia kama zinakwenda Leaders , Block 41 then zinabeba Abiria kuanzia MORROCO -GEREZANI kwa nauli ya 800/ .

Hii inafanyika mchana, sasa hata hili Mtukufu HABIBU SALUO , unataka tusubiri ziara ya Mh MWIGULU NCHEMBA tutoe dukuduku letu?

Mwigulu kila siku anasema msisubiri mpaka aje , nakuombeni jamani, sisi tunaofanya kazi KAWE ikifika saa nane hakuna gari ya GEREZANI kumbe zinaishia MOROCCO.

Naomba mtu yeyote asimfikishie HUU UJUMBE MH MWIGULU, acheni ifike KESHO alhamisi kama isipo fanyiwa KAZI afikishewe kesho JIONI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom