Salaam Wakuu,
Naona LATRA imeamua kula sahani moja na Madereva, Safari hii itakuwa kumbakumba nguo kuchanika.
Ipo hivi;
Kuanzia mwezi wa nne 2026, kama wewe ni Dereva na haujajisajili LATRA, Au unenunua vyeti feki, Madereva mnaonunua barua za uhakiki na hamna vyeti, madereva wanaonunua...
Tanzania bora ukamatwe na Polisi sio LATRA. Kwanza hawahongeki, hawazoeleki, hawaonei wala hawana huruma.
Hata haya mambo ya Foleni wakiachiwa kazi LATRA, mambo yatanyoka.
Afisa huyo wa LATRA akikukamata, atakusalimia kisha atakuomba kukukagua.
Mfano kwa wanaobeba abiria, atakagua...
Sasa kumekuwa na uhuni wa MABASI yote ya MIKOANI kutoza nauli kubwa bila nauli husika kwendana na viwango vya huduma.
Basi linatangazwa kama VVIP ila nje ya Bus kuwa jipya na choo ndani hamna jipya zaidi. Viti vimebanana mno wala havipo comfortable.
Juzi nimelipia ticket 2 kwaajili ya wazazi...
Route mpya ya Mbezi hadi Kidimu Mkombozi Kibaha imeanza. Hatimae Latra wameikumbuka Kibaha na kuanzisha route mpya inayotoka Mbezi Luis hadi Kidimu Mkombozi kupitia Loliondo imeshaanza. Wakazi wa Kibaha kwa sasa watapata unafuu wa usafiri kuelekea mjini, pia mji utaendelea kukua kwa kasi. Latra...
Siku za hivi karibuni inapofika majira ya Saa Tatu na Usiku niligombana na kondakta wa daladala wakati natoka Kawe kwenda Segerea, alidai nauli ni ni Sjilingi 1,000 badala ya Shilingi 800, akisema kwa sababu ni usiku. Baada ya kuvutana akasusa nauli yangu.
Hii si mara ya kwanza, imekuwa kawaida...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema kwa sasa nauli ya mpito kwa mabasi ya mwendokasi kwa baranara ya BRT 1 Kimara, Morocco pamoja na ile ya BRT 2 inayohusisha Mbagala hadi Kivukoni itakuwa ni shilingi elfu moja baada ya mapendekezo yaliyoletwa na DART.
Akizungumza baada ya...
Kama inavyosomeka hapo juu, jana na_scan kadi yangu pale Ubungo Maji naona 1000 imekatwa. Nauliza mhudumu inakuaje ananiambia nauli 1000.
Abiria mwingine naye ananiambia tangu usafiri umerudi ndio nauli wanayokatwa. Naambiwa hiyo haijawahi hata tangazwa.
Sasa Hawa LATRA wanafanya kazi gani...
Hqbari wakuu.
Nimenunua bajaj kutoka kwa mtu, sasa nataka kubadili jina la umiliki, kwa maana kadi isome jina langu. Mwenye anafahamu taratibu na gharama za kubadili kadi anijuze.
Pia hii bajaj haina bima nataka niikqtie bima, hivyo anaejua gharama za bima kubwa kwa upande wa bajaj anijuze pia...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) itatoa vibali kwa daladala kwa njia ya Kimara ili kusaidia usafiri kutoka eneo hilo, awali abiria wa eneo hilo walitegemea usafiri kutoka kwenye mabasi yaendayo haraka maarufu Mwendokasi.
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imeeleza kuwa nauli ya mabasi ya mwendo wa haraka itaendelea kuwa shilingi 750 hadi pale watakapojiridhisha kuwa changamoto zote za usafiri huo zimekwisha. Baada ya hapo, nauli hiyo itapandishwa na kufikia shilingi 1,000.
Kauli hiyo imetolewa na...
Na utaambiwa mamla husika haioni haya?
Gari mbili tofauti na zina plate number moja zinatamba barabarani alafu utaona trafic wako busy kukamata daladala na vyombo vya usafiri vya watu wa hali ya chini.
Mamla husika tafadhali mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Haiwezekani hawa big fish...
Mwenye uelewa na haya mambo, nakumbuka zamani haikuwa issue kubadili lori na kuwa basi la abiria kwa kuunda na kuvisha bodi.
Je hili linawezekana leo? manake unaweza kubadilisha alafu ukaambiwa haijakidhi viwango. Mwenye taarifa sahihi weka mezani. Asante
Usafiri wa gari za kutoka Jiji la Mbeya kuelekea Wilayani Kyela uliyumba kwa saa kadhaa jana Agosti 7, 2025 baada ya madereva wa magari ya abiria kugoma, wakilalamikia kero, usumbufu na faini kubwa zisizoendana na uhalisia na hali ya kipato chao kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
Siku chache baada ya Mwananchi kutoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuhusu njia ya Makongo Juu kuwa na uhaba wa Daladala mamlaka hiyo imetoa mwongozo ukiwataka Wadau kujitokeza kuongeza huduma ya usafiri katika njia hiyo.
Taarifa ya LATRA imeeleza "Katika hatua ya...
Kwa Mwaka wa tatu sasa mtawalia sisi wakazi wa Makongo na Makongo Juu hadi Goba, barabara inayoenda hadi mzunguko wa GOBA CENTRE tumelalamika sana kwenu kwa barabara yetu kukosa daladala.
Ahadi zenu zote zimekuwa HEWA mpaka sasa.
Kila mara tunapopiga simu dawati lenu la HUDUMA KWA WATEJA...
Yaani Jiji la Mbeya kuna mambo ambayo siyo mazuri na tukikaa kimya yataendelea, mojawapo ni hili suala ninaloenda kulizungumza leo.
Hivi LATRA Mbeya mmeshindwa kabisa kutatua hii kero ya Daladala kukatisha route?
Yaani Daladala inatoka Uyole inaishia Kabwe, abiria wanapata shida huku wengine...
Ukiwa unasafiri kwa mabasi ya kwenda mikoa mbalombali kuja video za muziki, filamu au vichekesho huoneshwa humo kuburudisha wasafiri. Lakini kwa baadhi ya video maudhui yanawwza kutazamwa na rika miaka zaidi ya 18.
Katika mazingira ya basi ambapo kuna watoto na wanandugu wanasafiri ni muhimu...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema magari ya usafiri wa Umma yatakayokatisha au kubadili “ruti” kinyume na Leseni zao, yatachukuliwa hatua na kufungwa kwa kifaa cha VTS ambacho kinafuatilia Mwenendo wa Magari.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Udhibiti Usafiri wa Barabara kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.