lady

The word lady is a term of respect for a girl or woman, the equivalent of gentleman. Once used to describe only women of a high social class or status, the female equivalent of lord, now it may refer to any adult woman. Informal use of this word is sometimes euphemistic ("lady of the night" for a prostitute) or, in American slang, condescending (equivalent to "mister" or "man").
"Lady" is also a formal title in the United Kingdom. "Lady" is used before the family name of a woman with a title of nobility or honorary title suo jure (in her own right), or the wife of a lord, a baronet, Scottish feudal baron, laird, or a knight, and also before the first name of the daughter of a duke, marquess, or earl.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    Namtafuta Bantu lady

    Namtafuta Bantu Lady hivi mme muona wapi ?
  2. Papillon 1906

    Why do you cry like the lady who is crying for ghee when she has butter in her hand

    You can have extraordinary power of concentration, strong will and a perfectly healthy and strong body by practicing pranayama. When you advance in your concentration and practice you can cure many diseases by mere touch, in the advanced stages many diseases are cured by mere will. You will...
  3. LIKUD

    20-Year-Old Nigerian Lady Wins Inter Award For Speaking 11 Foreign Languages

    Without ever leaving Nigeria, extraordinary 20-year-old Favour Chisimdi Nwobodo made history by becoming fluent in 11 foreign languages. Chisimidi is a linguist prodigy who speaks fluent Korean, Swahili, Shona, Indonesian, Filipino, Spanish, German, French, Chinese, English, and Igbo. She...
  4. W

    PreGE2025 Mbunge Msambatavangu: Mtu mkorogo umedunda, sijui alisahau kupaka poda anataka kuja kutuchonganisha

    Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya === Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea. "Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka...
  5. M

    A Serious Lady is needed kutoka maeneo ya Moshi

    Nahitaji Mdada aliyekuwa serious ninayeweza anzisha naye mahusiano ya uhakika. Mwenye umri kuanzia miaka 20-30.
  6. Waufukweni

    Watu Milioni 2.1 wahudhuria Tamasha la bure la Lady Gaga nchini Brazil

    Zaidi ya watu milioni 2.1 walihudhuria tamasha la bure la Lady Gaga katika ufukwe wa Copacabana, Rio de Janeiro, Brazil, lililofadhiliwa na jiji hilo kwa lengo la kukuza uchumi wa ndani, ambapo umati mkubwa wa watu ulijaza ufukwe huo siku ya Jumamosi wakati nyota huyo wa muziki wa pop alipopiga...
  7. HORSE POWER

    First lady anayejitambua barani Afrika

    Fisrt lady (Mke wa Rais) wa Siera Leone, Fatma Maada mwaka jana alipokuwa akifanyiwa mahojiano alielza mambo mbalimbali ikiwemo kueleza kuwa yeye kama mke wa Rais si sehemu ya serikali ila anazungumza kwa niaba ya watu. Pamoja na hayo alieleza ni kwa namna gani Africa inaweza kujikomboa
  8. Damaso

    Lady Jay Dee walikutenda nini wanaume mpaka ukawa hivi?

    Huyu Mwanamke sijui wanaume tulimkoseaga nini? Sijui Marehemu Gadner alimfanya kitu gani bibiye? Ama wajomba wengine walimfanyia mambo yapi kiasi kwamba kila chuma lazma avunje yai viza kwa wanaume. Yaaani nyimbo zake ni za kuwasema wanaume haswa; 1. Yahaya 2. Siwema 3. Usiusemee Moyo 4. I...
  9. Waufukweni

    Mali za Zari The Boss Lady hatarini kupigwa mnada. Anashtakiwa na SARS kwa kukwepa kodi ya TSh. Milioni 729

    Mamlaka ya Mapato ya Afrika Kusini (SARS) imechukua hatua za kisheria dhidi ya reality TV star na mfanyabiashara Zarinah Hassan, kwa kukwepa kulipa kodi takriban TSh. milioni 729. Kutokana na deni hilo, mali zake zinadaiwa kuwa hatarini kupigwa mnada ili kufidia deni hilo. Hata hivyo, Zari...
  10. Just Pray

    Dkt. Tulia Ackson: Wanaume wasaidieni wanawake kiuchumi

    Spika Wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson amesema licha ya kuwepo kwa Juhudi mbalimbali za kuwainua Wanawake Katika Nyanja Mbalimbali Ikiwemo Uchumi na uongozi lakini bado kundi la Wanaume wana wajibu wa kuendelea kuwasaidia Wanawake ili...
  11. Mwanadiplomasia Mahiri

    Hatimae dada mkuu, Lady Jay Dee ni mjamzito

    Mungu ni mwema kila wakati. Hakika usimkatie mtu tamaa. Inasemekana dada mkubwa, binti komando, ni mjamzito. Ikumbukwe ni muda sasa anatafuta mtoto, hatimae mungu amesikia kilio chake. Dada mkubwa anajiandaa kupata mtoto wakati wowotr kuanzia sasa!! Kila hatua dua. Kila la heri kwako.
  12. Faana

    Huyu lady soloist ni nani na anatokea nchi gani?

    Msikiliziseni na kumtazama msimsumbue
  13. Teslarati

    Lady Gaga karudi, sio kwa hii Pop "ABRACADABRA"

    Hii ngoma video imetoka jana, itoshe kusema ni matata sana japo imekaa kishetani shetani ila hii ndio miondoko ya Pop original sasa. Lady Gaga yule wa 2009 - 2013 naona karudi japo uzee unamsogelea ila lile vibe halizeeki kamwe, muangalie hapa...
  14. W

    Lady Gaga - Abracadabra

    Lady Gaga Abracadabra Mp3 Download Unveiled through a MasterCard commercial, Gaga treated her high-octane new single to an artsy music video that trades primarily in red, black and white hues. “The category is: dance or die,” Gaga proclaimed at the visual’s onset — donning an oversized red...
  15. L'AMOUR

    cashier (preferably a lady living in Arusha)

    Wakuu habari, Anahitajika cashier wa duka lililoko Arusha. Upendeleo maalumu ni kwa binti wa kitanzania aishie Arusha aliye mwaminifu kwenye masuala ya pesa na kuhudumia wateja pamoja na uzoefu wa angalau miaka mitano (5 na kuendelea). Mshahara ni kati ya Tsh. 200,000 hadi Tsh.250,000...
  16. Mejasoko

    Lady Jaydee mwimba Chorus Bora wa kike kupata kutoka Tanzania na Afrika Mashariki na Kati, tumuite ndio Hip Hop Soul Queen wa Bongo?

    Uzuri sauti yake inambeba kuingia kwenye mifumo ya genre nyingi na content tofauti za muziki Nyimbo alizoua Chorus na kishirikishwa 1.Bongo DSM na Prof Jay 2. Alikufa Kwa Ngoma na Fa 3. Machoni Kama watu Na Ay 4. Nyaluland na Mike T 5. Ama zangu Ama zao na Gk&ECT 6. Sikiliza Na Ngwea 7. Hawajui...
  17. BabaMorgan

    Ukipata Fursa ya kwenda Thailand kuwa makini Lady boys is real story

    Hususani wale wazee wa kimasihara unaweza kujiona bonge la mjanja kwa kujiokotea dodo la kula kimasihara kumbe na wewe upo kwenye menu kutesa kwa zamu sasa toto kama hilo juu na lenyewe lina machine. NB. BONGOZOZO alishawahi kumhoji lady boy huko Thailand ukienda kwenye page yake utayaona...
  18. R

    Kuna aliyekutana na GALAXY LADY wa Telegram!!!!

    Habari Kuna mwanadada mmoja anajiitwa Galaxy lady username telegram ni santie360. Wadau kama umewahi kukutana nae naomba taarifa zaidi yupp na umemuonaje.
  19. 90sgeneration

    ANAHITAJIKA MTU WA MARKETING IN SOCIAL MEDIA HARAKA.

    Happy Sunday Binti wa sales and marketing (msichana) anahitajika kwenye kampuni. Hakuna vigezo vingi -awe anajua vizuri kutumia social media (instagram, facebook, x (twitter), ticktock nk. -Awe anajua vizuri kufanya sales na on time in social media. location : Darces salaam Salary kwa...
  20. ukwaju_wa_ kitambo

    LADY JAY DEE ndani ya bongo fleva Honoros usiku wa leo

    LADY JAY DEE NDANI YA BONGO FLEVA HONOURS USIKU HUU... Kuanzia ‘siku hazigandi’ hadi ‘ndindindi’, kupita kwenye ‘wangu’ hadi ‘mambo matano’ hizo ni baadhi tu ya nyimbo kutoka kwenye collection ya Malkia wa Bongofleva, Dada mwenye ukuu wake kwenye dunia ya Bongofleva Lady JayDee ambaye leo...
Back
Top Bottom