Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,240
- 5,248
Kama hili nililosikia lina ukweli basi hali ni tete sana katika utaratibu wa ajira sahizi. Imagine nafasi ziko 350 tu ila raia wanaowania kinyanganyiro wanakaribua 20K..
Niwatakie kila la heri wadogo zangu najua sio kosa lenu ila ndio hali ya maisha ilipofikia hapo!
Wale wenye uwezo msisite kuwapa nauli na accomodation madogo maana Ijumaa patasheheni hapo Dodoma mjini.