kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Sasa CHADEMA kwenda mbali zaidi na kuanza kujipanga kususia muhimili mwingine ambao ni Mahakama

    Wakati CHADEMA kikiwa kime susa mara kadhaa katika muhimili wa Bunge sasa kimeamua kwenda kuonyesha umaahili huo katika muhimili wa pili ambao ni mahakama. Tabia hii au sera hii kwa chama hicho kikubwa cha upinzani huko bungeni ilikuwa kususa na kuweka plasta midomoni. Sera hii ambayo labda...
  2. M

    Wana Simba SC mnaoweweseka na Tetesi za Clatous Chama kwenda Yanga SC mmeanza Kuijua na Kuifuatilia Simba SC lini? Mnaniangusha

    Yawezekana 95% ya Vijana mnaoifuatilia na hata Kuishabikia Simba SC wengi wenu miaka yetu mlikuwa bado katika Zipu za Baba zenu wakitafakari wawalete duniani au waghairi tu. Nimeshangaa na Kushangazwa mno kuona wana Simba SC leo wakiwa wameshtushwa na wengine hata Kuogopa baada ya Tetesi za...
  3. R

    Hukumu kutoka High court kwenda Court of Appeal

    Nimefuatilia kwa makini sana hukumu zinazotoka Mahakama Kuu Tanzania na kuona haya: 1. Nyingi huwa zinatenguliwa 2. Zikikubakila huwa ni for different reasons/reasoning Mana yake nini? Bado concrete reasoning ya majaji wetu haija kaa sawa. Kwanini? elimu duni ya siku hizi imesambaa maeneo...
  4. Kwa akili ya kawaida, watu wa maeneo ya Tandale, Temeke, Buza, Buguruni na Uswazi yooote wataweza kwenda Coco Beach kununua bidhaa?

    Huku ni kukosa mipango ya kiuchumi na mipango miji
  5. Loan Board mnatutesea Watoto. Jitahidini kwenda na muda

    Nashauri kama hari ndio hii basi vyuo visiwe vinafunguliwa hadi pale Loan Board inapokamilisha ugawaji wa mikopo na kuhakikisha kila anayestahili kupata amepata na kisha kutangaza kufunga dirisha la kupanga mikopo. Wanafunzi wanateseka hawajapewa mikopo/accommodation huku masomo yameshaanza...
  6. Wenyeji wa Dar, kati ya Tabata Segerea na Kimara, ni wapi mbali kwenda Ubungo

    Habari wakuu. Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo. Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini. Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu...
  7. Ni basi gani zuri la Dar - Mwanza?

    Naomba kuuliza ni bus gani zuri luxury lenye choo ndani linalo toka Dar kwenda Mwanza. Asante
  8. Azam Marine boresheni vyoo vilivyoko kwenye boti zenu za Unguja kwenda Pemba

    Nimesafiri na Boti za Azam kutoka Dar kwenda Unguja mara nyingi, wamefanikiwa kuwa wasafi, ndani ya boat na hata kwenye vyoo vyao. Zile "boat" zinazofanya safari ya Unguja kwenda Pemba na Pemba kuja Unguja kwa kweli ni chafu. Ni chafu kuanzia kwenye viti hadi vyooni. Sielewi ni kwa nini...
  9. Form 4 mwenye ndoto za kusomea IT usipoteze mda wako kwenda form 6, nimekupa ramani nzima hapa

    π™π™Šπ™π™ˆ 4 π™ˆπ™’π™€π™‰π™”π™€ π™‰π˜Ώπ™Šπ™π™Š π™•π˜Ό π™†π™π™Žπ™Šπ™ˆπ™€π˜Ό 𝙄𝙏 π™π™Žπ™„π™‹π™Šπ™π™€π™•π™€ π™ˆπ˜Ώπ˜Ό π™’π˜Όπ™†π™Š π™†π™’π™€π™‰π˜Ώπ˜Ό π™π™Šπ™π™ˆ 6, π™‰π™„π™ˆπ™€π™†π™π˜Ύπ™ƒπ™Šπ™π™€π˜Ό π™π˜Όπ™ˆπ˜Όπ™‰π™„ π™‰π™•π™„π™ˆπ˜Ό π™ƒπ˜Όπ™‹π˜Ό Muhimu; Kama una changamoto za kiuchumi ni vyema ukasome form 6 kwenye shule ya serikali uliyochaguliwa ili umalize form 6 na ujaribu bahati yako kuomba mkopo wa serikali ili usome chuo, Post hii...
  10. B

    Hii system ya kwenda kusoma chuoni, huenda itakuja ku-collapse siku moja

    Huu upepo umeanzia Marekani, Nlisoma mtandaoni kua mamilioni ya vijana wengi wa kiume Kule united states hawaendi tena chuo, kijana akimaliza high school, anaingia kitaa Anajiajiri kwa kupiga mishe zake Binafsi, vijana wa USA wanaona kugraduate chuo unadaiwa $60,000 na kazi hazilipi ni ujinga...
  11. D

    Naomba kujua ubora wa ujenzi wa visima au vihifadhi maji vya kwenda juu (tank la kujengwa)

    Nimezunguka sehemu nyingi Hasa mikoa ya pwan naona wanajenga vihifadhi maji vya chini. Ndan ya ardhi. Sasa mimi nimeona kwangu havitanifaaa. Nataka nijenge kisima Cha kuhufadhi maji Cha juu, sio Cha ardhini chini. Sasa nataka kujua ubora wake na nini Cha kuzibgatia Kwan nataka nitumie tofali...
  12. Vijana mfikirie usafiri wa wake zenu kwenda na kurudi kazini hasa siku za mvua

    Siku za mvua zina vishawishi vingi sana, ukifikiria usafiri wa kufika Mbagala, mabasi yamejaa na miundo mbinu yetu ilivyo rafiki. Mvua imeanza mchana na umefika ofisini na high heels zile ulizonunua juzi kutoka Uturuki. Kuna kijana hupendi sauti yake lakini ana IST, mbona unaweza kumtafuta...
  13. Misri kuwazuia wafanyakazi ambao hawajachanjwa kwenda kazini

    Misri itawazuia wafanyikazi wa umma ambao hawajachanjwa dhidi ya kuingia katika majengo ya serikali kutoka katikati ya mwezi ujao. Ilani ya baraza la mawaziri Jumapili ilisema wafanyikazi watalazimika kupewa chanjo au kufanyiwa vipimo vya Covid kila wiki ili waruhusiwe kuingia kwenye majengo...
  14. Kama Makonda alikupora mali zako, unasubiri nini kwenda Mahakamani?

    Huyu bwana alipokuwa mfalme wa jijini kila mtu alilia kilio chake hasa matajiri wa mjini, tulisikia kuna waliolazimishwa kutoa sehemu ya mali zao ili waendelee ku-survive, kuna waliobishana naye wakaukimbia mji. Badala ya kumwambia Mama amkamate wakati tunajua kila kitu ni ma-evidences, mama...
  15. M

    Wakina Halima Mdee wamekataa kwenda kumsalimia Mbowe Mahabusu?

    Wahenga walisema ukistaajabu ya Farao utashangaa ya Musa. Najaribu kutafuta picha kama akina Mdee na wenzake kwa jinsi walivyokuwa kindakindaki na utii ndani ya chama na mwenyekiti, wadada wa Bawacha walikuwa na makesi kibao ya kumtii Mwenyekiti lakini leo kunauadui zaidi ya ule wa chui na paka...
  16. Nataka kwenda Botswana, natakiwa kuwa na Visa?

    Wakurugenzi nimepata mchongo Nampula Botswana je hints nafikaje huko? Ubalozi wao upo wapi hapa Tanzania? Naona hapa pananifaa. Vigezo gani vya kuingia huko? Nimetenga 1500$ Kama safari alafu 1000$ ya kukaa miezi mitatu rental
  17. Video: Kumbe kabla Rais Samia kwenda kwenye UNGA - New York , waziri Liberata Mulamula alitangulia mwezi mmoja kabla. Why..?

    You may not like this. But it happened... Kumbe bwana, kabla ya Rais Samia Hassan kuhudhuria summit ya kikao cha UNGA, NewYork wiki kadhaa zilizopita, balozi Liberata Mulamula, waziri wa mambo ya kigeni alitangulia mwezi mmoja kabla.... Shida siyo Balozi Mulamula kuwahi kutangulia mwezi mmoja...
  18. Watumwa walikuwa wanaamini wazungu wanawanunua ili kwenda kuwala

    Enzi za utumwa hali ilikuwa ni mbaya sana. Mtumwa alikuwa ni mtu wa hofu kwenye safari yake yote. Nafikiri alipofika anapokwenda alipumua kwa ahueni baada ya kujua kuwa ameenda kulima. Inasemwa kuwa mara tu walipofika pwani na kuona meli huzuni kuu iliwaingia. Macho yao yalionyesha kukata tamaa...
  19. Askofu Mwamakula: Sisi viongozi wa dini tumesitisha safari ya kwenda Mbweni na kwenda kumuona IGP Sirro!

    BAADA YA WANAWAKE WA CHADEMA KUACHIWA, SISI VIONGOZI WA DINI TUMESITISHA SAFARI YA KWENDA MBWENI NA KWENDA KUMUONA IGP SIRRO! Jumapili tulitangaza kuwa kama siku ya Jumatatu Jeshi la Polisi lisingeliwaachia viongozi wa CHADEMA 7 na Waandishi wa Habari 2 waliokuwa wanashikiliwa katika Kituo cha...
  20. Cable ya kutoka katika IP board kwenda katika scan board pana pamoja na cable ya kutoka scan board kwenda ADF ya IR 2520 machine inahitajika

    Nawasalimu nyote kila mmoja kwa nafasi yake , kama nilivyoeleza hapo juu , kwa yeyote anaweza kupata hizo cable za photocopy machine IR 2520 -cable ya kutoka kwenye IP board kenda katika scan board pana na cable ya kutoka scan board kwenda ADF. Nipo Dar maeneo ya posta -0753390827
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…