kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni ulimbukeni kwenda sehemu za starehe (kula bata) siku za sikukuu

    Watanzania wengi baadhi yetu ni washamba wa starehe,hivi kwa akili yako kabisa unaweka pesa ili ukatumie siku ya sikukuu hizo ni akili za kitoto. Siku za sikukuu ni za watoto au vijana wanao ishi kwa wazazi wao kwenda kuenjoy Mana ni siku yao ya kuwa free. Ukiwa na mwanamke anawaza siku ya...
  2. JamiiForums Tanzania Machozi ya mtoto wa jirani yangu yamenisikitisha sana

    Habari muda huu Wana JF, Kuna kisa nilileta hapa kuwa mtoto wa Jirani yangu amezoea kuniita baba. Jana majira ya saa 5 asubuhi, ilibidi niwaage Jirani zangu baadhi ambao tumeishi vizuri muda wote niliokuwepo hapa, sehemu niliokuwa naishi Ina nyumba 3 Ila ziko kwenye fensi moja Jirani yangu...
  3. JamiiForums Tanzania Clouds FM inapoteza mvuto au imeshindwa kwenda sawa na mabadiliko na uwepo Radio nyingine?

    Kama ni mfuatiliaji mzuri wa vipindi vya Radio, utagundua kuwa kuanzia saa 12 asubuhi kipindi cha Good Morning kutoka Wasafi FM kinasikilizwa sana mitaani, kwenye madaladala, magari binafsi kuliko ilivyo Power Breakfast ya Clouds FM. Nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini kwa Clouds kupoteza...
  4. JamiiForums Tanzania Unaonaga aibu kununua kitu gani dukani ukikuta muuzaji jinsia tofauti na yako?

    Mimi nikikuta muuzaji ni ke au unamkuta mama flani hivi wa makamo Kama ya bimkubwa mood ya kununua vitu hivi inaisha.. Condom Boxer Pedi kwa ajiri ya mchumba Chupi kwa ajiri ya mchumba Dawa za gono Dawa za kuongeza nguvu za kiume Energy Rasta Mafuta ya kupaka baby care Je, wewe unaonaga aibu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ngorongoro: OCD Peter Lusesa, awaweka ndani Wananch 17 wa kisangiro kwa siku 8 na kuwatesa, kwa kosa la kwenda Dodoma kuonana na Waziri Mabula

    Kijiji chetu Kinaitwa Kijiji Cha kisangiro kata ya kirangi tarafa ya sale Wilaya ya Ngoro Ngoro. Kijiji chetu upande wa mashariki kinapakana na Kijiji Cha jema, kusini kinapakana na Kijiji Cha Oldonyo sambu, Magharibi kinapakana na Kijiji Cha Mgholo na Tinaga, kaskazini kinapakana na mpaka wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Kasi iliyopo ya viongozi kwenda Kwa wataalam huko Tanga mamlaka za uteuzi zisilalamikiwe bali tuziombee

    Ukikaa vijiwe vya Kahawa Tanga hasa kwamsisi, Handeni na Pangani ukasikiliza Stori za wananchi utatambua umuhimu wa kuziweka mamlaka za uteuzi mikononi mwa Mungu. Watu wanaratiba kabisa yakwenda kuongeza nguvu za kimamlaka wengine wanatumia magari binafsi huku wachache wakitumia magari ya umma...
  7. JamiiForums Tanzania Siku yako ya kwanza kuendesha gari ilikuwaje?

    Hello Africa, Week hii ni wiki yangu ya kwanza kuendesha gari, nimetoka nalo Mbezi mpaka Posta naona barabara nzito sana, naona bora niachane na kuendesha gari. Picha inaaza nimetoka nalo vizuri, ile nafika pale Kimara naona gari inataka nishinda kisa boda boda wanaingilia nisije kufa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya BBC na Waziri Tax yalipokwenda mrama

    Hii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani: Ama kwa hakika shughuli ipo. Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya vizuri. Ya CAG nani hajayasikia?
  9. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023

    Naona Itifaki imezingatiwa. VP Kwa VP. MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) mkoani Dar es Salaam. Serikali kupitia kwa Msemaji wake mkuu, Gerson Msigwa imemkaribisha...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kazi gani mtu anaweza kwenda kufanya ughaibuni akalazimika kupokonywa passport na kuzuiliwa kutumia WhatsApp?

    Kuna jirani yangu mmoja mwanae hakufanikiwa sana kimasomo kama wa kwangu Mimi nimepambana amefika mpaka chuo amepata degree ajira ndo Hana mpaka anatia huzuni Sasa mtoto wa jirani yangu aliishia form four alifeli akawa haeleweki tu sasa juzi kati kwenye story mbili tatu na jirani yangu...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Putin ana uwezo kwa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club akala bata

    Si rahisi kama weng wanavyofikiria, ICC haina ubavu wa kumshika Putin huyu jamaa ana uwezo wa kwenda Le Poisson Rouge night club, Manhattan Club Marekani na akala bata na hakuna wa kimshika. Miaka au hivi karibuni utaona atafanya hilo jaribio la kuingia maeneo tatanishi. Hii inasababishwa na...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kwenda shamba siyo ushamba

    “KWENDA SHAMBA SIYO USHAMBA, KWENDA SHAMBA NDIYO UJANJA COMPAIGN” UTANGULIZI Upatikanaji wa fursa za ajira kwa vijana wanaohitimu katika ngazi mbalimbali za vyuo imekuwa moja ya changamoto kubwa inayoikabili dunia ya sasa,ukosefu wa ajira kwa vijana umekuwa mwiba mchungu kwa serikali za nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Siku nikifa msiniombee kwenda peponi mimi ni wa motoni, uzinzi utaniua

    Unaujua wimbo wa Cassanova, ukienda Ulaya na America Cassanova ni jamaa mmoja enzi zake alisifika kwa uzinzi mpaka wazungu wakaona eti amevunja rekodi. Kilichonishangaza ni kuwa huyo bwana hakuwahi kufikisha wanawake 130. Mimi at this age nadhani ni 500+, Wazungu wanatuonaje? Ndani ya wiki...
  14. JamiiForums Tanzania Watu 34 wapotelea baharini wakivuka kwenda Ulaya

    Waliopotea ni wahamiaji kutoka Afrika ikidaiwa boti yao iliyokuwa ikitokea Tunisia kuzama baharini ikiwa ni ajali ya tano ya boti ndani ya siku mbili, watu saba wakithibitika kupoteza maisha na wengine 67 hawajulikani walipo. Mamlaka zinaamini boti hiyo ilikuwa inaelekea Italia, wakati huohuo...
  15. JamiiForums Tanzania Vodacom wamesitisha huduma ya kuhamisha bando kwenda namba nyingine bila taarifa

    hapo kabla kulikua na huduma ya kuhamisha bando (MB 250) kutoka namba moja kwenda namba nyingine sasa ivi naona hii huduma wamesha itoa bila hata ya taarifa. Pia hii ilikua ni amri kutoka TCRA kwamba ma kampuni ya simu yaruhusu luamisha bando naona vodacom wameamia kukaidi na kuondoa hii...
  16. JamiiForums Tanzania Nimemla shemeji mke wa kaka yangu baada ya kaka kwenda London

    Nilimuambia brother huyu mke wako nitamla ILa brother alikuwa mbishi na kiburi kwa sababu anasema mke ni mwaminifu nikasema bwana mke wako mbona ananitega? Kwasababu akienda bafuni anaenda na kanga moko halafu anitingishia matakro ila sijajua kwanini ananitega kwasbabu mimi nina akili au nini...
  17. JamiiForums Tanzania Sheria za Nchi zinasemaje kuhusu Wanawake wanaotukatia Viuno Madirishani katika Mabasi waliyokodi kwenda Shughulini?

    Nilikuwa ndani ya DalaDala naelekea Mjini kwa Mambo yangu ila baada ya Kupishana na Gari Moja limewabeba Wanawake wanakata Viuno Madirishani (tena Makusudi na kwa Kuturingjshia) huku ndani wakiwa na Madela ndani bila Chupi kiukweli Hamu ya Ngono nami imenipanda na nimeamua Kugeuza na kwenda nami...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimesikia Tanzania wametoa msaada wa Chakula kwenda Malawi baada ya kukumbwa na Kimbunga

    It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga. Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi. Ahsante Mama kwa Jambo hili.🙏
  19. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wanapata hasara kwa kutokujua kiwango cha kubadilishia pesa cha dola kwenda Yuan au shilingi kwenda Yuan

    Mfanyabiashara unaweza kupata taarifa ya viwango vya kubadili fedha kupitia simu yako, una-google, kutembelea mabenki n.k lakini cha muhimu zingatia utofauti wa kiwango cha kubadilishia fedha hiyo, Wafanyabiashara wengi mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka anakuwa haelewi kwa sababu hajui...
  20. JamiiForums Tanzania Ni nani analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA?

    Naona kimeibuka kikundi cha watu wanaolalamika kuwa mikutano ya CHADEMA inawapotezea watu muda wa kufanya kazi. Wapo wengine wanasema hiyo mikutano haina tija na ni upotevu wa hela za wananchi. Lakini kuna mtu analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA bila ya hiyari yake?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…