kwao

The following is a list of radio stations and translators in the United States broadcasting Air1 programming, which can be sorted by their call signs, frequencies, state, city of license and broadcast area.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtu kwao bhana! Tabasamu la Rais Samia akiwa zenji, hajawai lionesha akiwa bara tangu alipoapa kuwa Rais, nais lipo jambo.

    Mwenyezi Mungu Baba alituumba kwa mfano wake yeye mwenyewe, hii sio KAULI yangu ni ya Mungu mwenyewe, nenda kasome maandiko matakatifu. Sambamba na kufanana nae, pia alimpa mwanadamu akili za kutawala viumbe vyote ILA hapo si kwamba ukiwa Rais UNAKUWA na akili kuliko mpaka viumbe wenzako yaani...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Samia na Kikwete Madaraka kwao ni bora kuliko taifa

    Kama haukubaliani na mimi tueleze kwanini viongozi hawa wanaiba kura?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ukanda pwani kuoa na kuacha ni kama kumsukuma mlevi. Yaani mwanamke anaachika nakuolewa hata mara tano, kwao kawaida sana

    Wadau myimwike, Nimefanya kazi baadhi ya sehemu za pwani, wakati wadau humu wanazungumzia kuoa au kutoa kuoa singo maza Wenzetu pwani hawana stori hizo. Kuoa rahisi kuachana ni rahisi pia hawana mambo mengi. Hao masingo maza wanaolewa kila siku na wanaachika Kila siku. Kumkuta mwanamke...
  4. JamiiForums Tanzania Kukwepa kwao hata kutaja neno ‘mauaji’ ni jibu tosha kabisa

    Leo imezinduliwa tume nyingine kuhusu kilichotokea Oktoba 29! Sijui hizo tume zinazohusu Oktoba 29 zimefika ngapi na sijui ngapi zitaendelea kuundwa. Hii ya leo inaitwa “Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria” katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi wazungu huko kwao kuna supu ya utumbo?!

    Kama haipo ya utumbo na ya kongoro basi bora nibaki Afrika. Supu ya utumbo, maharage na chapati 2 mchambuko na maharage ya kumimina aah wee
  6. JamiiForums Tanzania Azam fc kubaki na Fei Toto ni hasara kwao kuliko faida

    Ujio wa Fei Toto kwenye timu ya Azam kutoka timu ya Yanga hakujaiongezea thamani timu ya Azam. Kiwango cha Azam kwenye ligi kimebaki kilekile kabla na baada ya kuja Fei Toto. Aliyefaidika ni Fei kuliko timu. Azam fc inashika nafasi ileile ya tatu nyuma ya Yanga na Simba hata baada ya Fei...
  7. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  8. JamiiForums Tanzania Dunia inazidi kuwabadilisha waislamu mambo mengi sana sasa washagundua mbwa sio haramu kwao kama mfugo

    Ilikuwa ngumu muislamu kusema afuge mbwa na kuweka mazoea naye. Ila kwa dunia ya sasa ukiangalia waislamu wameanza kugundua mbwa anaweza kuwa mlinzi wako na familia yako.Lile tukio lilotokea Venezuela la mbwa kumrinda mtoto we hapo unaweza kusema nini.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni jeuri ya pesa ? Gachuma, tajiri wa Mwanza kampeleka Diamond Tarime kwajili ya Birthday wakati angehitajika harusi ya mtoto wa tajiri wa Katoro

    Tajiri wa Katoro sio mtu wa kupenda unyonge! Hapana kabisa! hana dogo, anapenda kujulikana kwamba ana mkwanja mrefu kama mguu wa twiga! Na usidhani ni maneno tu, tuliona video wiki iliyopita zilizotuteka headlines mitandaoni. Kwenye sendoff ya mtoto wake alianza kwa kum book Ali Kiba na wala...
  10. JamiiForums Tanzania BSS 2026 grand finale wabongo wengi wame underperform round 1 ni vile tu mcheza kwao hutuzwa....

    Sherida ... Zacksoul... Wame UNDERPERFORM ila ni vile wabongo tunabebana.... The only good performer ni Samalerah this Round 1 na Comedian wa Mbeya kidogo na so fire.... Ila S2Kzy eti kingereza Chake Cha you are good perfom nyie....
  11. JamiiForums Tanzania Mcheza kwao Hutunzwa? G. Russell, L. Hamilton na L. Norris Wamefanya vizuri sana kwenye F1 British GP Leo!

    Kama kawaida Leo tena British GP imetawaliwa sana na Waingereza. P1 ingawa imechukuliwa na mtoto wa Monaco ila Waingereza wamefanya vizuri sana. Ingawa bado game mwanzo, tushashuhudia 8 GP bado 14 tu tukamilishe mwaka. Matokeo bado yanamfeva Kimi wa Mercedes. Dogo ataweza kuhold moto?
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke akiomba muachane, eti naye ana kwao, sijui nini, bro tuliza hasira, usikurupuke tu ondoka, labda kama umemchoka

    Kaka yangu alikorofishana na mkewe yani shemeji yangu, shem akabeba nguo zake akasepa kwao hapohapo dar, bro akawaomba masister zetu ushauri, dada zetu hawana dogo sister mkubwa akasema piga chini tafuta mwingine. Mara shem kapiga simu Kwa bro akamwambia amfate na gari Yao arudi kwake haraka...
  13. JamiiForums Tanzania Duh, kumbe ndege nao hufanya hii kitu!!! Halafu haina madhara kwao!!

    Masturbation among birds is ‘natural’ and should not be punished, say experts Study finds activity is not harmful or caused by stress of captivity – and is in fact more common in wild birds Mon 1 Jun 2026...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Msajili wa vyama vya siasa awaibukia CHADEMA Ofisini kwao

  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: Mwaka huu tutaanza kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta (Oil Refinery)

    Rais William Ruto amesema kuwa kuna upinzani kutoka kwa wafanyabiashara wenye nguvu wanaoagiza mafuta dhidi ya mipango ya kuanzisha kiwanda cha kikanda cha kusafisha mafuta kwa ushirikiano na mfanyabiashara bilionea wa Nigeria Aliko Dangote, lakini amesisitiza kuwa mradi huo utaendelea kama...
  16. JamiiForums Tanzania Eti kwakuwa Chadema waliamua wao kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025 wanalazimisha kila kitu kuwa ni haramu kwao

    Chadema kwa ujinga wao tu bila kuzuiwa na yeyote waliamua kutoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025. Waliamua kutosaini kanuni za uchaguzi, ilhali vyama vingine 18 vilisaini na kushiriki uchaguzi. Baada ya kujinyima haki hiyo wenyewe kwa mahaba yao, wameamua kuita kila kitu ni haramu, Wanataka...
  17. JamiiForums Tanzania Story ya binti alietoroka kwao baada ya kumaliza darasa la saba mwaka 2014. Baada ya kupatikana hiki ndio kisa chake.. Kuna kitu cha kujifunza hapa

    Shalom ndugu zangu. Nilipotelewa na mdogo wangu Lilian malisa miaka 12 ilopita. Mwezi ulopita niliomba msaada kwa wana FB kwa yoyote ambayo alimjua au kumwona. Nashukuru MUNGU kwa mawazo yenu, maombi yenu, na pia kwa yyte ambaye aliguswa kwa namna moja ama nyingine ili tu kunisaidia . MUNGU...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Simba inajiamulia tu mambo yake! Yaipiga Coastal 2-1 na kuongoza Ligi Kuu, leo Mei 21, 2026

    Simba yawakanda Coastal kwao, mechi yaisha 2-1 na kuongoza Ligi Kuu, leo Mei 21, 2026 Mechi iliyopigwa Uwanja wa Mkwakwani Tanga imewafanya Simba SC Kuibuka na Ushindi baada ya kusawazisha na kisha kuongeza Goli baada ya kutanguliwa kwa Goli 1. Ushindi huu unaifanya Simba kuwa juu ya Msimamo...
  19. JamiiForums Tanzania Elimu ya mjinga ni majungu, Bora ukose mali upate akili, yanga wamedhihirisha KUKOSA KWAO AKILI

    Eti sababu ya pesa zako unaenda kununua nyumba JIRANI ya uwanja wa meja isamuyo unaifanya sehem ya kubadilishia nguo. SIJAWAHI kuona upumbavu mkubwa kama huu duniani. TFF sio wajinga kuweka sheria, zilizotungwa na kusimamiwa na FIFA kua vyumba vya kubadilishia nguo ni ndani ya uwanja na...
  20. JamiiForums Tanzania Mama mzazi wa Damour aeleza kijana wake alivyochukiliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe

    Mama asimulia jinsi alivyoshuhudia kijana wake Damour Nyakairo akichukuliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe. Akizungumza na The Chanzo leo Mei 02, 2026, Lilian Swai ambaye ni mama mzazi wa Damour Nyakairo, ameeleza kuwa kijana wake amechukuliwa asubuhi ya leo na watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…