The following is a list of radio stations and translators in the United States broadcasting Air1 programming, which can be sorted by their call signs, frequencies, state, city of license and broadcast area.
Hii n changamoto sana hapa mjini kwa kwelii.....Najiuliza kwa nini mabosi wengi maofisini wana shida kubwa hawajengi makwao wanapotoka??[sio wote] Na sasa hadi wafanyabiashara wakubwa wanajaza majumba Dar wanazikwa kijijinI. Majuzi kati nilienda kumzika bossi mmoja Tanga aisee nilishtuka.
Dar...
Mambo ya IMANI yapinge Kwa IMANI
Mambo ya SAYANSI Kwa SAYANSI
Falsafa Kwa falsafa.
Kinyume na hapo hakuna kinachofanyavkazi unabaki na mtazamo wako na wao mtazamo wao.
Ukipingana kwa falsafa au fact za kisayansi, Kwa WATU WA Imani, mara nyingi watu wa imani hawatakubali kwa sababu msingi wao...
Kufuatia tukio la mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Murieti Jijini Arusha, aitwae Daniel Jeremia (15), kutoweka nyumbani kwao January 26, 2026, nakuacha ujumbe unaosema kuwa anamuonea mama yake huruma kwa namna anavyomuhangaikia maishani, hatimaye leo January 31...
Wakuu,
Nataka nifungue madai ya fao la kukosa ajira. Shida ni kwamba NSSF hawapokei simu wala kujibu emails.
Nimesikia kuwa siku hizi Madai ya NSSF yanafanyika Online kwa 100%. Hakuna haja ya kwenda Ofisini kwao.
Je, Kuna aliyewahi kutumia hii njia?
Attachment nilizonazo: Certificate of...
Nimeona Dw wanasema Zambia karibu 50% ya Dna test zinazofanyika wanakuta akina baba sio waliozalisha.
Hapa Tanzania ni zaidi ya 70% kaa na akina mama au akina dada watakupa ukweli wa mambo.
Hapa Bongoland hali ni mbaya zaidi kwa akina mama kupigwa nje kwa sababu mbalimbali.
Kama ni kweli ''wakoloni '' walikuwa ni wabaya kiihivyo kama communists walivyotuminisha, how is that elimu ambayo ilitolewa kwetu ndiyo ile ile iliyotolewa ulaya kwao wazungu waliotutawala? i mean, tulikuwa tunafanya mtihani mmoja cambridge same sylabus, kwa maana nyingine high school graduate...
Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya
Nipo na ujumbe muhimu sana kutoka kwa yuleyule atupae pumzi, na yule yule ajuae lini tutatoweka katika ulimwengu wa anasa n.k
Nataka kutana na uongonzi wa taifa ,namanisha top 3 .
Nimepeni utaratibu namna ya kuwaona ila mambo ya kutekana, kupotezwa...
Kwa akili zao kabisa wanaamini wanaweza pambana na Kanisa Katoliki lililoweza kupambana na Madikteta hatari zaidi duniani kama Adolf Hitler wa Ujerumani na Fujimori wa Chile na kuwashinda.
Wanaamini kabisa wanaweza kupambana na Kanisa Katoliki lililoweza kupambana na Dikteta katili zaidi wa...
Zama za mfumo wa chama kimoja nchini Malawi chini ya chama cha Malawi Congress Party (MCP) kilichokuwa kinaongozwa na Hastings Kamuzu Banda, siasa za nchi hiyo zilikuwa za kuogofya sana na zilijaa kila aina ya ukatili na uovu.
Katikati ya vurumai hiyo, kulikuwa na jumuiya ya vijana ya chama...
Kosa kubwa Waafrika wanalofanya ni kuwaamini sana Wazungu kiasi cha kuwapa siri za nchi zao
Uhuni walianza Wazungu enzi za Ukoloni, uhuni mlio nao ni mdogo sana mliojifunza kwao huku mkubwa wakibaki nao wao wakiutumia kuiba mali zenu kuwafundisha ufiraji na kuua nchi zenu
Jifunzeni kutatua...
Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu.
Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na makandokando. Ukiyatimba watakufuata popote pale.
Wewe unaua askari unakimbilia ghetto unataka...
Maandamano ni haki ya kikatika ila sasa kwa mikono yao iliyoshika damu na utamu wa madaraka unaweza kufikiri waka kubari.
Maandamano haya yanataka waachie nchi.Ndio maana wamejiandaa kwa propaganda,mauwaji,utekaji.
Hakuna mwanaCCM na fisadi wanaweza kukubari wabwage manyanga.
Bila damu D9...
Hili li muungano linaweza kufa wakati wowote na yeye atarudi kwao. Mtabaki na mfu CCM wenu peke yenu.
Mshaurini ukweli na utawaweka huru!
Nyote watatu semeni Amen.
Ninaandika nikiwa na furaha iliyopitiliza. Mimi na wazalendo wengine tumefurahishwa mno na kitendo cha META kufungia accounts zote za wanaharakati uchwara wanaochochea machafuko nchini. Mark Zuckerberg na kampuni yake wamefanya kitu sahihi katika wakati sahihi.
Mange na Maria ni maadui wa hili...
Huu ndio ukweli mchungu kwa mtu yeyote mwenye kuona mbali.
Majeshi yakigawika kwa misingi ya imani za kidini, hayawezi kuwa loyal kwa mujibu wa viapo vyao na itawaathiri hata wale wanaotegemea dola iwaweka madarakani.
Mtatoa order, ila askari kabla hajatekeleza hio order, atajiuliza kwanza...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, akiongea na wahariri pamoja na waandishi wa habari, leo Jijini Dar es Salaam, amesema maandamano ambayo waandamanaji wanaenda na silaha (kuwa ‘full armed’) sio maandamano, huku akibainisha kuwa idadi kubwa ya walishiriki...
Kuna mpuuzi mmoja nimekutana nae anasema eti waandamanaji walianza kupigwa risasi sababu ya wizi. Kama ni hivyo basi majizi yote yalioko serikalini nayo yapigwe risasi hadi nyumbani kwao tena mbele ya familia zao.
Ukitumia logic hio yaani kama mtu kuharibu mwendokasi kumefanya apigwe risasi je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.