kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 11,413 hawajaripoti Kidato cha Kwanza Rukwa

    Wanafunzi 11,413 ambao ni asilimia 45 ya wanafunzi 25,362 waliotakiwa kujiunga na kidato cha kwanza kwenye shule wa sekondari mkoani hapa hawajaripoti shuleni tangu shule hizo zilipofunguliwa Januari 9 mwaka huu. Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Queen Sendiga amesema hayo Februari 2, 2023 wakati akitoa...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake wa kwanza kuzaliwa (first born) sipatani nao na mahusiano hayadumu. Je, ni mimi tu au tupo wengi?

    Hello mambo JF Crew!! Hatari sana, wanawake first born imetokea sipatani nao kabisa mahusiano hayadumu nawapata kirahisi mno ila naishia kunyandua tunaachana wananikorofisha ujeuri, kibri na dharau nyingi, wanapenda kunyanduliwa hovyo hovyo hasa wenye majina E, A nikisikia herufi hizi nakata...
  3. JamiiForums Tanzania Wakwere mpo kwa mara ya kwanza natoa pengezi zangu za dhati kwenu

    Habari Wana MMU na kheri ya mwaka mpya binafsi nimekuja kutoa pongezi kwa mabinti wote wa kikwele kwani mmoja wenu kanipatia Mimi kijana wa Mara aisee sijawahi pata kwingine itoshe kusema nyie ni mafundi, mafundi mnajua kwakweli mapenzi yamezaliwa Pwani na siamini Pwani Mimi
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini tumekua wa kwanza kulaumu juu ya matatizo yetu kuliko kutafuta suluhisho?

    Wengi wetu tumekua wa kwanza kutafuta lawama kuliko kuangalia suluhisho, hii inatufanya kushindwa kuendelea kwa sababu ya kubaki na kinyongo. Tupambane tuachane na lawama zisizo za msingi.
  5. JamiiForums Tanzania Siku Nilipoiona Simu Kwa Mara ya Kwanza Odeon Cinema 1955 au 1956 au Nyuma ya Hapo Kidogo Sijavuka Miaka 4

    SIKU NILIYOIONA SIMU KWA MARA YA KWANZA ODEON CINEMA 1955 AU 56 AU NYUMA YA HAPO KIDOGO SIJAVUKA UMRI WA MIAKA MINNE Nakumbuka kama jana vile. Nilikuwa mgonjwa na baba yangu mdogo Mzee Issa akanichukua kunipeleka hospitali. Ilikuwa usiku lakini si usiku mkubwa kiasi cha saa moja hivi. Nina...
  6. JamiiForums Tanzania Watoto kutokuripoti kidato cha kwanza baada ya kupangiwa shule, serikali ndio sababu. Serikali isikwepe wajibu

    Habari! Nimefuatilia habari za mikoa mbalimbali na wilaya zake, watoto wengi ambao wamepangiwa shule za sekondari kuanza kidato cha kwanza hawajaripoti shule mpaka leo. Yawezekana wapo wazazi ambao wanajichanga ili wawapeleke watoto wao shule na pia wazazi wengine hawana mpango wowote. Yote...
  7. JamiiForums Tanzania Tems na Rihanna watajwa kwa mara kwanza kuwania Tuzo ya Oscar

    Mwimbaji Temilade Openiyi a.k.a #Tems kutoka Nigeria, ameweka historia ya kuwa msanii mwenye muda mfupi kwenye muziki na kufanikiwa kutajwa kuwania Tuzo maarufu ya #Oscar kupitia wimbo wa Lift Me Up alioshiriki kuuandika pamoja na #Rihanna. Licha ya Ukubwa wake kwenye tasnia ya Muziki, kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 716,664 Kidato cha Kwanza hawajaripoti shuleni hadi sasa

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumapili Januari 15, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msingwa, wanafunzi 354,277 wakiwemo wenye ulemavu 697, ndiyo walioripoti hadi sasa kati ya wanafunzi 1,070,941 wanaotarajiwa kuingia kidato cha kwanza sawa na asilimia 33 ya matarajio. Aidha amesema...
  9. JamiiForums Tanzania Nilikuwa mmoja ya watu wa kwanza kupinga usajili wa Bernard Morrison na kweli hajaniangusha. Huu ni uhuni kwa sisi Yanga

    Hawa watu niliwakataa 1. Haji Manara (huyu hana akili ila alituona sisi Yanga ndo hatuna akili. Simba wakamfukuza) sisi tukaona tumeokota Dodo. 2. Bernard Morrison (huyu alitudhalilisha sana...tulihangaika TFF, CAF na CAS. alikuwa anatuonesha dharau sana) ameachwa Simba tumemkimbilia ameanza...
  10. JamiiForums Tanzania DR-Congo: Mkenya akamatwa kwa kuhusika na Bomu lililoua watu 10 Kanisani

    Mamlaka zimetangaza kumshikilia mwanachama wa kundi la Kigaidi la Allied Democratic Forces #ADF kwa madai ya kupanga shambulizi la Bomu huko Kivu Kaskazini. Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Ugaidi Nchini #Kenya (ATPU) leo Januari 16, 2023 kimemtambua raia huyo kuwa ni Abdirizak Muktar Garad...
  11. JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Kwanza 2023 hawa hapa

    Wanafunzi 2,096 kati ya 2,194 waliofanya mtihani wa marudio wa darasa la saba, wamefaulu mtihani huo na kupangiwa shule za sekondari za serikali kuanza kidato cha kwanza. Wanafunzi hao 2,194 wakiwemo wavulana 1,117 na wasichana 1,077 walifanya mitihani yao Desemba 21 na 22, 2022 kwa sababu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Selim bin Abakari, mtu mweusi wa kwanza kufika Siberia Watu wa kule wakadhani ni Mungu

    Kuna huyu Mngazija mmoja mwenye akili sana aliyeitwa Selim bin Abakari. Wakati Wajerumani ndiyo wanaanza kutawala Tanganyika huyu Selim Alikuwa akifahamu kijerumani, hivyo akaajiriwa na afisa mmoja wa serikali ya Ujerumani kama mfanyakazi wake. walisafiri naye sana. Safari ya kwanza ilikuwa ni...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  14. JamiiForums Tanzania CCM, Angelina Mabula na Stanslaus Mabula, hizo nyumba zilizouzwa na Jiji la Mwanza zinaenda kuwa ajenda ya kwanza ya wapinzani. Mtatikiswa!

    Rais Samia amefungulia mikutano ya hadhara, na katika majiji ambayo Chadema wanajiwinda kuyadhibiti ni Mwanza, Arusha, Mbeya na Dar es salaam. Wanatafuta ajenda nzito za kutikisa na kuwashika wananchi. Arusha walifanya tukio, Sasa hivi wote wananyea debe, angalau wanaarusha wanaelewa hatua...
  15. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 4 kati ya 88 waripoti Kidato cha Kwanza Geita

    Ikiwa wiki moja imepita tangu kuanza kwa msimu wa masomo mwaka 2023 Tanzania, wanafunzi wanne kati ya wanafunzi 88 waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Izumachel iliyopo wilayani Geita mkoani hapo ndio walioripoti katika shule hiyo. Shule hiyo iliyoanza mwaka 2022...
  16. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 13,000 hawajaripoti kidato cha kwanza Songwe

    Zaidi ya wanafunzi 13,000 sawa na asilimia 63 wa kidato cha kwanza mkoani Songwe waliochaguliwa kuanza masomo Januari 9 mwaka huu, hawajaripoti shuleni hadi leo Ijumaa. Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Happiness Seneda amesema hayo leo wakati akitoa salamu za mkoa katika kikao kazi cha...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, uhai wako ni muhimu kuliko chochote, usije Tanzania kwa sasa, ngoja kwanza

    Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body. Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO...
  18. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waje na ajenda gani kwenye mkutano wao wa kwanza baada ya kutoka kifungoni?

    Kama ilivyosemwa kwamba chama hiki kikubwa kabisa cha upinzani hapa nchini kitaanza mikutano yake ya hadhara hivi karibuni, kutokana na hali ya mambo ilivyo Kwa sasa na mabadiliko makubwa ya kisiasa yaliyotokea baina ya utawala wa kikwete magufuli na hatimae Samia, ni hoja zipi unadhani zitaleta...
  19. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 4,224 pekee wachaguliwa Shule za Bweni Kidato cha Kwanza kati ya 50,475 wanaostahili

    Uchache wa Shule za Bweni nchini umesababisha Wanafunzi 46,251 kukosa nafasi ya kujiunga na Shule zenye huduma hiyo Nchini Idadi ya Shule za Serikali zinazochukua Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza mwaka 2023 ni 4,307 ambapo Shule za Kutwa ni 4269 na Bweni ni 38 zenye uwezo wa kupokea Wanafunzi...
  20. JamiiForums Tanzania Bashe: Kwa mara ya kwanza, tunafungua maghala ya chakula pasipokuwa na njaa

    Waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe akihojiwa na DW amesema hili kupunguza mfumuko mkubwa wa bei hasahasa ya chakula, serikali imeamua kufungua maghala yake kadhaa ya chakula nchini kwenda kupunguza mfumuko wa bei. Pia amedai ni nadra Sana kufungua maghala ila tu Kama itatokea njaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…